Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Daima ndege za Marekani huwa hazitunguliwi na adui. Huwa zinaanguka tu zenyewe au hutunguliwa na wenzi wao katika kile kinachoitwa friendly fire.
Inasemekana katika any war the first casualty is the truth -- na Marekani kwa propaganda za kivita huwa hakuna wa kumfikia hata kwa asilimia mbili. Marekani itajiona vipi iwapo ndege hiyo ilikuwa imetunguliwa! Aibu kubwa kwa taifa kama hilo.
Kwani kweli haiwezi kutunguliwa? Mwaka 1986 wakati wa uchokozi wa Reagan dhidi ya Libya -- kuna ndege moja ya Marekani ilitunguliwa na Libya -- kama kukmbukumbu zangu bado zinafanya kazi.