The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

War against Oil, Watu wanaleta ushabiki bila kujua kinachoendelea ndio maana China. Russia, German, wamekataa kushiriki vita vya kinafiki. Russia Chief off Staff General Nikolai Makarov, will not participate in Libaya military operations
 
Dah,dude lime crash afu hajafa mtu?
Hehe,ingekuwa ya nchi fulani hapo duh,majivi tu
sio siri yametengenezwa kwa ubora sana.
hata wangekufa isingeathiri operation hii ya kumwadabisha Gadaff kwa sababu operation yeyote ya kijeshi ni nadra kuepuka kifo.
Americans will die but pro-Gadaff will die too and suffer the most
 
Inaitwa operation odyssey down .ni kwamba huyo odyssey alikuwapo ni shujaa wa vita ugiriki,aliondoka kwa miaka 19 kwenda vitani,vita vya trojan amerudi akapokelewa na A THENA ,ambaye ni mwanamke ambaye sasa wanamuabudu kama mungu wa vita alizaliwa march,19 na birthplace yake ni libya.fanya research.
Hiyo ndege imepigwa waache longolongo.
Vita vinapingwana libya NO CEASEFIRE.history hii ni ya miaka ya 450 before jesus search
 
Chini ya jua hili,ukikalia cho chote cha maana ni lazima wababe wakulambe au mkubaliane kuiba pamoja basi. Gaddaf ametafutwa miaka mingi, sasa wamepata kisingizio cha kumlamba.

Na sisi tujiandae na uranium huko Namtumbo na wapi sijui, tunaweza tukalia.
 
Kwanini wamarekani wanakua wababe juu ya mataifa mengine? Je wanataka kumuua Gaddafi km walivyomnyonga sadam Hussein bila kupata walichoita silaha za maangamizi? AU nini maana ya uwepo wake km hawana maamuzi ktk hili?

safari hii wamedai Gadaffi sio target they are just protecting civilians from Gadaffi......Gadaffi aliposema its a long war watu bado hawajamulelewa,yeye kwake kufa si ishu....ila hapa wanandaliwa kina Osama wengine....watakaokuwa permanent enemies wa Marekani kama ilivyo kwa wale waasi kule Afghanistan......ndo yale kama ya Lockerbie bombing.....mi kuna wakati nasema kama watu kule Iraq wamekufa wengi hivyo na wanaendelea kufa......na wanaouwaua ni wamarekani......iweje leo wawe na uchungu sana na wa Libya? wale kule ni samaki na wa Libya ndo watu? hapana......OIL :washing:
 
sio siri yametengenezwa kwa ubora sana.
hata wangekufa isingeathiri operation hii ya kumwadabisha Gadaff kwa sababu operation yeyote ya kijeshi ni nadra kuepuka kifo.
Americans will die but pro-Gadaff will die too and suffer the most

:lol::lol:.....wanaokufa Libya si pro Gadaffi tu....hata rebels na wale wasio na msimamo wanakufa.....makombora hayajui ku-identify pro Gadaffi,wakishaamua wana target sehemu fulani wao wanaenda....hivi wewe kule Iraq wanaokufa hadi leo ni Pro Saddam Hussein? si alishanyongwa siku nyingi....leo miaka kumi na usheee wanaokufa ni kina nani???wananchi wa kawaida.....Afghanistan je....? majengo yanayoharibika,miundombinu na watu kukosa huduma muhimu zinawakuta pro-gaddafi tu,ni Libya yote:washing:
 
Inaitwa operation odyssey down .ni kwamba huyo odyssey alikuwapo ni shujaa wa vita ugiriki,aliondoka kwa miaka 19 kwenda vitani,vita vya trojan amerudi akapokelewa na A THENA ,ambaye ni mwanamke ambaye sasa wanamuabudu kama mungu wa vita alizaliwa march,19 na birthplace yake ni libya.fanya research.
Hiyo ndege imepigwa waache longolongo.
Vita vinapingwana libya NO CEASEFIRE.history hii ni ya miaka ya 450 before jesus search

yaweza kuwa kweli Elungata....na bado :smash:
 
I agree with farrakhan, but one thing he failed to mention. Gaddafi and his advisors wanted to use extra force against his people to suppress those who are against him. Gaddafi should have seen this in advance that, if people are demontrating the solution is not to kill them but give them freedom to do so until when they are tired. No crackdown, no targetting.

Gaddafi kawapa sababu ya kulipiza kisasi adui zake, lockerbie plane bombing and the reliese of Al megrah bado ilionekana kama ni ushindi kwa Libyajapo alilipa mabilioni ya fidia. I feel sorry for Gaddafi, but if he loves his country he should announce resignation and make National reconciliation.

Alipowekwa ni pabaya aki ceasefire rebels wanamshambulia akijikinga na kuwapiga UN wanasema hajatii UN resolution 1973.
 
Last edited by a moderator:
Wamarekani kamwe hawawezi kukubali kuwa ndege yao imedondoshwa na anti-aircraft missiles za Libya unless kuwe na indisputable proof! Na hata kama kuna indisputable proof bado wata spin tu! Hivyo ndo vita zilivyo...full propaganda.

Kwanza nashangaa kwa nini mpaka sasa Ghaddafi hajajipa credit za kuitungua hiyo ndege.
 
:lol::lol:.....wanaokufa Libya si pro Gadaffi tu....hata rebels na wale wasio na msimamo wanakufa.....makombora hayajui ku-identify pro Gadaffi,wakishaamua wana target sehemu fulani wao wanaenda....hivi wewe kule Iraq wanaokufa hadi leo ni Pro Saddam Hussein? si alishanyongwa siku nyingi....leo miaka kumi na usheee wanaokufa ni kina nani???wananchi wa kawaida.....Afghanistan je....? majengo yanayoharibika,miundombinu na watu kukosa huduma muhimu zinawakuta pro-gaddafi tu,ni Libya yote:washing:

Chelle...miaka kumi na ushee ya nini? Maana vita vya kumng'oa Saddam vilianza Machi 2003...au unazungumzia Operation desert storm?
 
Wamarekani kamwe hawawezi kukubali kuwa ndege yao imedondoshwa na anti-aircraft missiles za Libya unless kuwe na indisputable proof! Na hata kama kuna indisputable proof bado wata spin tu! Hivyo ndo vita zilivyo...full propaganda.

Kwanza nashangaa kwa nini mpaka sasa Ghaddafi hajajipa credit za kuitungua hiyo ndege.

ngoja ya pili itakayotunguliwa yataonekana majivu tu hapo propaganda zao zitakuwa Gaddafi lazima ashtakiwe kule the Hague kwa kuua watu.....:smash: kuna watu wawili tu natamani kusikia sauti zao kwa sasa.....Gaddafi au Osama.....hao tu!!!:washing:
 
Chelle...miaka kumi na ushee ya nini? Maana vita vya kumng'oa Saddam vilianza Machi 2003...au unazungumzia Operation desert storm?

Vita waga haianzii pale makombora yanaporushwa.....propaganda huwa zinatangazwa kuashiria vita.....inaanza vita ya propaganda,inapelekwa UN wanaongea weeee then vita ya makombora inaanza....na ndo maana yeye Gaddafi kasema ni vita ya muda mrefu, akijua hata pale mambo yatakapoonekana yametulia hali vita ya chini chini kama ya kulipua ndege mfano wa Lockerbie,kulipua bar na kuua watu wenye rangi fulani itaendelea.....:washing:
 
Nimekupata! Na ninakubaliana na wewe kuwa propaganda ni sehemu muhimu ya vita.

Na sasa hivi Marekani kuongoza mashambulizi dhidi ya Libya (licha ya kuwa sikubaliani na Ghaddafi) ndio kutazidi kuongeza maadui dhidi yake. Sitashangaa siku za hivi karibuni kusikia raia wa Marekani wamelengwa na shambulizi la kighaidi mahali fulani...
 
Mmarekani toka lini akipigwa anakubali? Ndege imetungiliwa hio.
 
Nimekupata! Na ninakubaliana na wewe kuwa propaganda ni sehemu muhimu ya vita.

Na sasa hivi Marekani kuongoza mashambulizi dhidi ya Libya (licha ya kuwa sikubaliani na Ghaddafi) ndio kutazidi kuongeza maadui dhidi yake. Sitashangaa siku za hivi karibuni kusikia raia wa Marekani wamelengwa na shambulizi la kighaidi mahali fulani...

Ubaya ni pale wanapokuwa na Rais dhaifu kama Obama,ambaye hata propaganda zimemshinda kuanzia ndani ya nchi yake,ni ajabu kuona democrats wanampinga na kusema tofauti naye,yeye aseme wako for humanitarian concerns,democrat mwenzie aseme ni mafuta tu..... pia ukisikiliza maneno ya Putin,Angela Merkel,India na China utajua kuwa hana hata uwezo wa kushawishi mataifa mengine makubwa kwenye mipango yake, kila siku ana sababu mpya ya kuipiga Libya...wamarekani wengine hawajui mission yake huko.....na kukosa support ya hizo nchi kunamweka pabaya hata kupata lengo lake la mafuta,sasa itaanza vita ya mafuta kati ya mataifa makubwa yenyewe kwa yenyewe.. na Libya ni nchi yenye ukabila ambao Gadafi aliufunika kwa kiasi kikubwa,.....in short its a stupid war.....alisemaga vita ya Bush Iraq was a dumb war....ya kwake is the Dumbest war ever!!!:washing:
 
The thing is, the US has no clear objective(s) in this war. Now the million dollar question is, what if Ghaddafi survives this onslaught?

Hahaaaa let me get my popcorn ready...
 
:juggle: it will be an embarrassment of a life time.....you can start having your popcorn from now.....let me finish :washing: then will have my popcorn too...:focus:
 
Nilikua namsupport sana Obama,bila sababu ya msingi (huenda ni ngozi yake) lakini nagundua huyu bwana ni mwepesi as well...tokea awali niko tofauti sana na western kwa namna wanavyoichukulia Afrika,tena kwenye maeneo yenye manufaa kwao..ni wafitini,wazandiki na wanaopandikisha chuki kwa watu dhidi ya viongozi wao ili kuwajengea picha mbaya na mwishowe kuanzisha vurugu ambazo nao huingia lakini lengo lao ni kuhujumu tu....
Nasupport viongozi imara.......western nia yao ni kuweka watu dhaifu kwenye uongozi ktk nchi wenye maslah ili kuendelea kuvuna rasilimali ilihali wenye nchi wakiomba misaada kila kukicha! Ipo siku Mungu atawaadhibu as well! Mungu ibariki Afrika, ashame upon u American na vibaraka wengine!
 
akishakuwa mmarekani hata kama ni mweusi huyo si mwenzio,ni ngozi tu ndugu yangu.....maslahi ya nchi yake kwanza....Mungu Ibariki Africa:washing:
 
Back
Top Bottom