The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

This means...watu wa magharibi wanabagua kuonyesha protests za wanaomuunga mkono.
hii statement yake iunaendana sawa na ya mtoto wake wa alipokuwa anahojiwa na sky news-yeye alilaumu al-jazeera kwa kuchochea machafuko
 
This means...watu wa magharibi wanabagua kuonyesha protests za wanaomuunga mkono.

ni kawaida yao kubagua,hata Iran walifanya hivyo baada ya uchaguzi ila kidume akawaweka sawa.... wao wanamtumikia kafiri wao na si Gadaffi.....mi nachoshindwa kuelewa Mpevu...hao al-qaeda na marekani wameungana au kila mtu na malengo yake wakishamtoa Gadaffi? mbona patakuwa hapatoshi? kuna hatari ya kambi moja kufanikisha malengo ya nyingine!!kazi kweli kweli!!!
 
Said foreigners want him to resign-but he is only symbol of the people,added their system is based on the authority of the people
 
"media were wrong when said peaceful protests were fired by regime"
 
ni kawaida yao kubagua,hata Iran walifanya hivyo baada ya uchaguzi ila kidume akawaweka sawa.... wao wanamtumikia kafiri wao na si Gadaffi.....mi nachoshindwa kuelewa Mpevu...hao al-qaeda na marekani wameungana au kila mtu na malengo yake wakishamtoa Gadaffi? mbona patakuwa hapatoshi? kuna hatari ya kambi moja kufanikisha malengo ya nyingine!!kazi kweli kweli!!!
lakini kumbuka pia al-jazeera wanaonyesha picha za maandamano na machafuko,na al jazeeera sizan kama watakuwa upande wa marekani au wa alqaeda
 
Aninikumbusha wakati wa "Vita ya Iraq" kulikuwa na Waziri mmoja wa Saadam Hussein (RIP) akitoa propaganda kama hizo! Wakati serikali ilikwisha poteza uwezo wa kutawala kabisa!
 
The USA pamoja na Al-qaeda wote wana malengo tofauti ya kimaslahi juu ya Libya, Ukifanya uchambuzi utagundua mpaka muda huu ni kwamba al-qaeda hawajatoa tamko lolote lenye kuhusu hali ya Libya na midle east in general. Kitakachotokea pale ni nchi kuendeshwa na vibaraka wa pande zote hizo mbili, kwa hali ya Libya jinsi ilivyo ni rahisi sana kwa makundi kama al-qaeda kujipenyeza na kuwa na himaya yao ndani ya nchi...'ukizingatia vijana wanataharuki na hawajui pakwenda'.
Pale midle east ndio kila kitu kilianzia pale, mitume wakuu wote wametokea pale, machafuko mengi yanatokea pale, unyama unatokea pale, miji mitakatifu ipo pale, masinagogi ya mitume yapo pale, misikiti mitakatifu ipo pale, makanisa makuu yapo midle east...basi inabaki ni mitazamo yetu tu wanaadam.
Ni rahisi sana kwa Gaddafi kuegemea upande wa al-qaeda kama akishawishika vizuri kuliko kuungana/kuwakubalia wakuu wa magharibi.
 
Huyo waziri alikuwa akiitwa 'al-Sahhaf'
 
lakini kumbuka pia al-jazeera wanaonyesha picha za maandamano na machafuko,na al jazeeera sizan kama watakuwa upande wa marekani au wa alqaeda

hivi Al-jazeera ni ya magharibi? CNN,BBC,SKY etc ndo za magharibi navyojua.....ok,kweli Al-jazeera wanajitahidi ila nao kuna wakati wako biased!!!!!
 
Western wana mtu wao, Alqaeda wana mtu wao.... ikumbukwe Libya ni nchi pekee ya Arabuni ambayo alqaeda are not welcome, of cousre ilikuwemo pia Iraq ya Sadam hussein.
With Ghadafi out of the way Libya nu unlikely kuwa na amani
 
Aninikumbusha wakati wa "Vita ya Iraq" kulikuwa na Waziri mmoja wa Saadam Hussein (RIP) akitoa propaganda kama hizo! Wakati serikali ilikwisha poteza uwezo wa kutawala kabisa!
hizi propaganda kweli ni controversial,maana anasema hakuna maandamano nchini mwake-maana "TERRORIST HAWAFANYI MAANDAMANO.WANA-ACT TU,
sasa najiuliza hiz picha za maandamano zinazoonyeshwa kwenye tvs zinatokea wapi?kama yeye anasema nchini mwake hakuna maandamano?
 
hivi Al-jazeera ni ya magharibi? CNN,BBC,SKY etc ndo za magharibi navyojua.....ok,kweli Al-jazeera wanajitahidi ila nao kuna wakati wako biased!!!!!
Nimekupa mfano wa al jazeera ambayo si ya magharib ili kuweka sawa hio statement aliyosema kuwa westerners wapo biased-ndo nikatoa mfano wa al jazeeera ambao si westerners lakini pia wanatoa habari za gaddafi-MAY BE NA HAWA AL JAZEERA PIA HAWAMTAKII MEMA GADDAFI
 
Gaddaf insists there were no peaceful protests in libya
 
The USA pamoja na Al-qaeda wote wana malengo tofauti ya kimaslahi juu ya Libya, Ukifanya uchambuzi utagundua mpaka muda huu ni kwamba al-qaeda hawajatoa tamko lolote lenye kuhusu hali ya Libya na midle east in general. Kitakachotokea pale ni nchi kuendeshwa na vibaraka wa pande zote hizo mbili, kwa hali ya Libya jinsi ilivyo ni rahisi sana kwa makundi kama al-qaeda kujipenyeza na kuwa na himaya yao ndani ya nchi...'ukizingatia vijana wanataharuki na hawajui pakwenda'.
Pale midle east ndio kila kitu kilianzia pale, mitume wakuu wote wametokea pale, machafuko mengi yanatokea pale, unyama unatokea pale, miji mitakatifu ipo pale, masinagogi ya mitume yapo pale, misikiti mitakatifu ipo pale, makanisa makuu yapo midle east...basi inabaki ni mitazamo yetu tu wanaadam.
Ni rahisi sana kwa Gaddafi kuegemea upande wa al-qaeda kama akishawishika vizuri kuliko kuungana/kuwakubalia wakuu wa magharibi.

Al-qaeda wako smart strategically....na sasa wamepata pa kuotea mizizi,manake Gadaffi at least alikuwa moderate.....navyoona ni rahisi kwao kufanikiwa kuliko marekani hata kama Gadaffi ataondoka......tusubiri tuone.....wamarekani kujidai wanatupenda jamani???anyway,ukiwa maskini wakati mwingine huna choice!!!!!!!!!!!!!
 
Nimekupa mfano wa al jazeera ambayo si ya magharib ili kuweka sawa hio statement aliyosema kuwa westerners wapo biased-ndo nikatoa mfano wa al jazeeera ambao si westerners lakini pia wanatoa habari za gaddafi-MAY BE NA HAWA AL JAZEERA PIA HAWAMTAKII MEMA GADDAFI

nashukuru,nimekuelewa....
 
Al jazeera wameweka partition ya picha hapa-as anazungumza-wanaonyesha mji wa bengaz jinsi watu wanavyopinga hayo asemayo sasa,kwa maana hiyo watu wa bengaz nao wapo live wakimpinga
 
Aninikumbusha wakati wa "Vita ya Iraq" kulikuwa na Waziri mmoja wa Saadam Hussein (RIP) akitoa propaganda kama hizo! Wakati serikali ilikwisha poteza uwezo wa kutawala kabisa!
Naona huyu mkuu anawamwagia civic education Libyan Style!

Aki-survive hii uprising basi Gadaffi atakuwa kama Chavez. Atakuwa mchungu sana kwa Marekani na nchi za ulaya.

Na wote wale wanaomtaka aondoke madarakani.

Inaonekana waandamanaji wote wako mipakani wanataka kuhama Libya. NI kusema jamaa ana nafasi kaasilimia fulani cha kusurvive hii hitu.
 
Back
Top Bottom