Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa Gaddafi ameifanyia makubwa sana Libya kuliko sie tunaopokezana vijiti kwa miaka kumikumi, the guy did a tremendous developments to Libyans during his 42 years in power. Tukiacha ushabiki wa kukaa muda mrefu madarakani...Gaddafi hafananishwi na rais yeyote Arabuni/Africa kwa alivtyoiletea mafanikia Libya.
Makubwa yapi aliyowafanyia wakati watu anawabania haki yao ya kuwa huru? Watu wako radhi wawe huru kuliko kutokuwa huru na kupewa kislice cha mkate na maziwa kila siku.
Gadaffi na familia yake wameligeuza taifa la Libya kuwa kama kampuni yao. Miaka 42 ya wewe pekee madarakani halafu unasema kaifanyia makubwa!!! Uliza ndugu wa wale wote ambao wapendwa wao walifungwa, kuteswa, na kuuwawa kwa kuthubutu kumpinga Gadaffi...uliza usikie machungu yao.
Kiongozi yeyote akaaye madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni dikteta au ana chembe za udikteta.
vipi kuhusu chama kilichokaa madarakani miaka 50? namaanisha CCM? hata kisipochaguliwa kinajirudisha madarakani na wamegeuza nnchi kama mtaji wa mafisadi wa CCM. Mara mia Ghadafi walau anawapa chochote raia wake. Huyu jamaa watamkumbuka sana hawa walibya, ngoja waasi wachukue nnchi.
Makubwa yapi aliyowafanyia wakati watu anawabania haki yao ya kuwa huru? Watu wako radhi wawe huru kuliko kutokuwa huru na kupewa kislice cha mkate na maziwa kila siku.
Gadaffi na familia yake wameligeuza taifa la Libya kuwa kama kampuni yao. Miaka 42 ya wewe pekee madarakani halafu unasema kaifanyia makubwa!!! Uliza ndugu wa wale wote ambao wapendwa wao walifungwa, kuteswa, na kuuwawa kwa kuthubutu kumpinga Gadaffi...uliza usikie machungu yao.
Kiongozi yeyote akaaye madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni dikteta au ana chembe za udikteta.
ni kawaida yao kubagua,hata Iran walifanya hivyo baada ya uchaguzi ila kidume akawaweka sawa.... wao wanamtumikia kafiri wao na si Gadaffi.....mi nachoshindwa kuelewa Mpevu...hao al-qaeda na marekani wameungana au kila mtu na malengo yake wakishamtoa Gadaffi? mbona patakuwa hapatoshi? kuna hatari ya kambi moja kufanikisha malengo ya nyingine!!kazi kweli kweli!!!
Gaddaf-"we do not need money,food or medical supplies from outside"
na zile walizozi-freeze zilikuwa ni za nani??Gaddaf says he has no financial assets abroad-
Hivi kuna kati yenu humu anayemwona Gadaffi kuwa na akili timamu? Mimi nadhani huyu jamaa hamnazo kumkichwa au anatumia sana madawa ya kulevya. Mwangalieni kwa makini na mtaona ninachosema. Mtambo huyu jamaa!
wewe umesema kweli kabisa, jamaa anaonekana kama yuko desperate kabisa..
Anasema yeye sio Rais wala kiongozi
Anasema kama wanannchi wanahitaji Rais basi wafanye waonavyo ili wajipatie kiongozi wao
Anaseisitiza kuwa yeye sio kiongozi wa Libya
USA,EU wananchi wanahudumiwa bure???Walibya watamkumbuka sana Ghadafi, ngoja nnchi ichukuliwe na majangili.
Mara mia Gadafi aliewasomesha na kuwapa karibu huduma zote bure. Hata kama kaiba, lakini anawajali sana watu wake.
CCM huu mwaka wa 50, hamna kitu tunapata bure lakini bado tumeikumbatia.
Kweli mkataa pema pabaya panamwita
Nimemuona na kumsikia akisema hivyo. Sasa cha kujiuliza kama yeye si raisi wala kiongozi, yeye ni nani sasa? Ana wadhifa gani? Watetezi wake wanaweza kuja kusema yeye ni mwanamapinduzi na yadi yadi yada kama hizo.
Susan Rice alipatia aliposema jamaa ni 'delusional'
Aljazeera ya zamani sio sasa
duh kweli africa inalaana hata ngozi nyeupe ikiwa originated africa inautata sasa 42 yrs bado hajatosheka , hawa wanaponzwa na wapambe Wanaowadanganya bado wanapendwa na huwa hawaamini wengine kama mugabe wanajiona wanastahili pekee na wao tu ndio wenye uchungu na taifa
Huyo jamaa kwa ufupi tu ni mjanja sana na ana akili sio mchezo ila ana-pretend tu.
Si uliona mara ya kwanza kabisa alianza kulaumu USA kwa maandamano??
Alipoona Obama USA akiwa amekaa kimya tu basi akaanza kujirudi,akisema Aliqaeda aliwalipa vijana pesa, amewanywesha madawa ya kulevya ili waingie mtaani, bila ya kujua kuwa waliokuwa wanaandamani walikuwa ni kada za aina yote..
Amekuja kutoka na kuanza kulaumu Alqaeeda ,anasema its Alqaeda its Aliqaeda ..my people love me so much ..its alqaeda...
Akaendelea kusema mimi ni MWanamapinduzi(Revolutionarist) na si Rais wa Libya kwa hiyo siku zote mwanamapinduzi huwa haachii madaraka, kwa nini niachie madaraka? kwa sababu gani?? Im a Revolutionst.......
Haya yote ukiyafatilia utagundua kitu fulani, jamaa anaona akisema kuna Aliqaeda hata kama USA wangekuwa na mpango wa kumvamia basi wanaweza wakasita na kuona kumbe tukimtoa huyu jamaa kutakuwa na Radical group yamkini baya zaidi ya hili
This is some sort of protective ideas.
Nimekupata mkuu, jamaa kawafanyia mema ila wanavomfurumisha kama jambazi JK sio fresh. Hakustahili hii fedheha.
Ni kweli 42 yrs inatosha na pia democracy is needed in LIbya.
Itachukua muda sana kuwa stable ukizingatia USA na Al qaida wana interest zao Libya na sio kusaidia wanachi. Patakuwa kama Iraq wait and see.