The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Gaddaf-any one who opens door o international aid will be regarded as traitor"
 
Huyu jamaa Gaddafi ameifanyia makubwa sana Libya kuliko sie tunaopokezana vijiti kwa miaka kumikumi, the guy did a tremendous developments to Libyans during his 42 years in power. Tukiacha ushabiki wa kukaa muda mrefu madarakani...Gaddafi hafananishwi na rais yeyote Arabuni/Africa kwa alivtyoiletea mafanikia Libya.

Makubwa yapi aliyowafanyia wakati watu anawabania haki yao ya kuwa huru? Watu wako radhi wawe huru kuliko kutokuwa huru na kupewa kislice cha mkate na maziwa kila siku.

Gadaffi na familia yake wameligeuza taifa la Libya kuwa kama kampuni yao. Miaka 42 ya wewe pekee madarakani halafu unasema kaifanyia makubwa!!! Uliza ndugu wa wale wote ambao wapendwa wao walifungwa, kuteswa, na kuuwawa kwa kuthubutu kumpinga Gadaffi...uliza usikie machungu yao.

Kiongozi yeyote akaaye madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni dikteta au ana chembe za udikteta.
 
vipi kuhusu chama kilichokaa madarakani miaka 50? namaanisha CCM? hata kisipochaguliwa kinajirudisha madarakani na wamegeuza nnchi kama mtaji wa mafisadi wa CCM. Mara mia Ghadafi walau anawapa chochote raia wake. Huyu jamaa watamkumbuka sana hawa walibya, ngoja waasi wachukue nnchi.
 
CCM na hawana tofauti sana na Gadaffi na wananchi wenyewe ndio wanawaendekeza.
 
Makubwa yapi aliyowafanyia wakati watu anawabania haki yao ya kuwa huru? Watu wako radhi wawe huru kuliko kutokuwa huru na kupewa kislice cha mkate na maziwa kila siku.

Gadaffi na familia yake wameligeuza taifa la Libya kuwa kama kampuni yao. Miaka 42 ya wewe pekee madarakani halafu unasema kaifanyia makubwa!!! Uliza ndugu wa wale wote ambao wapendwa wao walifungwa, kuteswa, na kuuwawa kwa kuthubutu kumpinga Gadaffi...uliza usikie machungu yao.

Kiongozi yeyote akaaye madarakani kwa zaidi ya miaka 10 ni dikteta au ana chembe za udikteta.

Mkuu,
mantiki yangu ni kwamba..mfano ni hapa kwetu Tanzania. Nchi yetu inanusu karne sasa na bado tuna hali mbaya sana kiuchumi, kimaendeleo, huduma duni za afya, elimu duni etc.
Pale Libya ni kwamba elimu ni bure, afya bure, huduma zote muhimu zinapatikana, makazi bora ya wananchi, miundombinu ya uhakika, uchumi imara kabisa etc. Ndio point yangu juu ya huyu kiongozi wa miaka 41 vs sisi wenye demokrasia tulio na miaka 50.
Nchi zetu hazikosi kutesa raia wake aidha wawe na makosa ama la, mfano mdogo ni babu seya na family yake kwa hapahapa nchini mwetu, wazee wa EAC na kuvurumishiwa virungu juu ya madai ya haki zao etc...
Hivyo basi, jambo la demokrasia ni kweli halipo pale Libya lakini jambo muhimu la kujiuliza nchi ile itakuwa ni yenye hali tete saana na itawachukua miongo kurejea katika ukawaida, ambapo maangamizi yatakuwa ni maradufu kwa yanayojiri sasa.
 
hAPO hakuna cha Alqaeeda wala USA, tatizo liko kwa Ghadafi wenu huyo,
si wananchi wote hawamtaki na si wannchi wote wanaomtaka.
Ila kwa ujumla ni kwamba wananchi wengi wameshamchoka.
Hivi mbana ninyi kila kitu ni kusingizia USA tu??
ni kawaida yao kubagua,hata Iran walifanya hivyo baada ya uchaguzi ila kidume akawaweka sawa.... wao wanamtumikia kafiri wao na si Gadaffi.....mi nachoshindwa kuelewa Mpevu...hao al-qaeda na marekani wameungana au kila mtu na malengo yake wakishamtoa Gadaffi? mbona patakuwa hapatoshi? kuna hatari ya kambi moja kufanikisha malengo ya nyingine!!kazi kweli kweli!!!
 
amedanganya tu hayo, ukweli ni kuwa wananchi wengi tu kwa sasa hawana chakula,
shirika la chakula limeshaanza kusambaza chakula kwenye mpaka wa tunisia-libya yaani watu wameonyeshwa ni wengi sana hawana chakula na pa kulala, sasa anataka hao watu wafe??/
Gaddaf-"we do not need money,food or medical supplies from outside"
 
Hivi kuna kati yenu humu anayemwona Gadaffi kuwa na akili timamu? Mimi nadhani huyu jamaa hamnazo kumkichwa au anatumia sana madawa ya kulevya. Mwangalieni kwa makini na mtaona ninachosema. Mtambo huyu jamaa!

wewe umesema kweli kabisa, jamaa anaonekana kama yuko desperate kabisa..
Anasema yeye sio Rais wala kiongozi
Anasema kama wanannchi wanahitaji Rais basi wafanye waonavyo ili wajipatie kiongozi wao
Anaseisitiza kuwa yeye sio kiongozi wa Libya
 
Nimemuona na kumsikia akisema hivyo. Sasa cha kujiuliza kama yeye si raisi wala kiongozi, yeye ni nani sasa? Ana wadhifa gani? Watetezi wake wanaweza kuja kusema yeye ni mwanamapinduzi na yadi yadi yada kama hizo.

Susan Rice alipatia aliposema jamaa ni 'delusional'
 
Tayari miji yote,viwanja vya ndege na visima vya mafuta vimerudi mikononi mwa Gadhafi.
Kanali Ghadhafi anasema damu itamwagika iwapo Marekani itaingilia kati.Zaidi ya hivyo makampuni na mabenki ya kimagharibi yatabadilishwa na yale ya kutoka China,Urusi na Brazil.
 
Walibya watamkumbuka sana Ghadafi, ngoja nnchi ichukuliwe na majangili.

Mara mia Gadafi aliewasomesha na kuwapa karibu huduma zote bure. Hata kama kaiba, lakini anawajali sana watu wake.

CCM huu mwaka wa 50, hamna kitu tunapata bure lakini bado tumeikumbatia.

Kweli mkataa pema pabaya panamwita
USA,EU wananchi wanahudumiwa bure???
Tatizo sio kuwahudumia bure tatizo ni je kuna ushirikishwaji wa hao wananchi katika mali zao??
Libya ni kweli imepiga mbali sana katika maendeleo lakini hali ya hivi sasa tangu economic crisis 2008 hali za maisha za wananchi ni mbaya sana, na watu wengi hawajui huo ukweli wanachukulia tu hali ya zamani.
Kwa sasa wananchi wengi hawana kazi
Kuna wasomi wengi sana,maprofesa na madaktari,engineer etc lakini wengi wao hawana kazi, sasa unadhani wanafurahia kupewa nyumba na mkate kila siku huku wakiona watoto wa Ghadafi wakialika akina Maria Carey kwa gharama za 1.2mil USD??
Unadhani wanafurahi kuona kiasi kikubwa cha mafuta kikiingia mikononi mwa Ghadafi bila hata kujua pesa zinazobaki zinatumikaje??

Kama hujui,Makampuni yanayochimba mafuta wameajiri watu wengi kutoka nje ya nchi( ndio maana unaona kuna mass evecuation karibu kuliko sehemu yeyote duniani,mfano China tu ilikuwa na wananchi zaidi ya 32,000 na mpaka sasa bado utoaji wa watu unaendelea bado nchi za ulaya kama UK,Italy,Germany etc)

Hivyo utanikubalia kuwa wananchi wengi hawana kazi na wamekaa tu mitaani wakiangalia barabara nzuri etc.
 
Nimemuona na kumsikia akisema hivyo. Sasa cha kujiuliza kama yeye si raisi wala kiongozi, yeye ni nani sasa? Ana wadhifa gani? Watetezi wake wanaweza kuja kusema yeye ni mwanamapinduzi na yadi yadi yada kama hizo.

Susan Rice alipatia aliposema jamaa ni 'delusional'

Huyo jamaa kwa ufupi tu ni mjanja sana na ana akili sio mchezo ila ana-pretend tu.
Si uliona mara ya kwanza kabisa alianza kulaumu USA kwa maandamano??
Alipoona Obama USA akiwa amekaa kimya tu basi akaanza kujirudi,akisema Aliqaeda aliwalipa vijana pesa, amewanywesha madawa ya kulevya ili waingie mtaani, bila ya kujua kuwa waliokuwa wanaandamani walikuwa ni kada za aina yote..
Amekuja kutoka na kuanza kulaumu Alqaeeda ,anasema its Alqaeda its Aliqaeda ..my people love me so much ..its alqaeda...
Akaendelea kusema mimi ni MWanamapinduzi(Revolutionarist) na si Rais wa Libya kwa hiyo siku zote mwanamapinduzi huwa haachii madaraka, kwa nini niachie madaraka? kwa sababu gani?? Im a Revolutionst.......

Haya yote ukiyafatilia utagundua kitu fulani, jamaa anaona akisema kuna Aliqaeda hata kama USA wangekuwa na mpango wa kumvamia basi wanaweza wakasita na kuona kumbe tukimtoa huyu jamaa kutakuwa na Radical group yamkini baya zaidi ya hili
This is some sort of protective ideas.
 
duh kweli africa inalaana hata ngozi nyeupe ikiwa originated africa inautata sasa 42 yrs bado hajatosheka , hawa wanaponzwa na wapambe Wanaowadanganya bado wanapendwa na huwa hawaamini wengine kama mugabe wanajiona wanastahili pekee na wao tu ndio wenye uchungu na taifa
 
Sijui anataka akae madarakani milele halafu akishakufa mwanae Saif al Islam Gadaffi arithi uraisi. Hahahahaaa
 
Huyo jamaa kwa ufupi tu ni mjanja sana na ana akili sio mchezo ila ana-pretend tu.
Si uliona mara ya kwanza kabisa alianza kulaumu USA kwa maandamano??
Alipoona Obama USA akiwa amekaa kimya tu basi akaanza kujirudi,akisema Aliqaeda aliwalipa vijana pesa, amewanywesha madawa ya kulevya ili waingie mtaani, bila ya kujua kuwa waliokuwa wanaandamani walikuwa ni kada za aina yote..
Amekuja kutoka na kuanza kulaumu Alqaeeda ,anasema its Alqaeda its Aliqaeda ..my people love me so much ..its alqaeda...
Akaendelea kusema mimi ni MWanamapinduzi(Revolutionarist) na si Rais wa Libya kwa hiyo siku zote mwanamapinduzi huwa haachii madaraka, kwa nini niachie madaraka? kwa sababu gani?? Im a Revolutionst.......

Haya yote ukiyafatilia utagundua kitu fulani, jamaa anaona akisema kuna Aliqaeda hata kama USA wangekuwa na mpango wa kumvamia basi wanaweza wakasita na kuona kumbe tukimtoa huyu jamaa kutakuwa na Radical group yamkini baya zaidi ya hili
This is some sort of protective ideas.

Nimekupata mkuu, jamaa kawafanyia mema ila wanavomfurumisha kama jambazi JK sio fresh. Hakustahili hii fedheha.
Ni kweli 42 yrs inatosha na pia democracy is needed in LIbya.
Itachukua muda sana kuwa stable ukizingatia USA na Al qaida wana interest zao Libya na sio kusaidia wanachi. Patakuwa kama Iraq wait and see.
 
Ni dhahiri kutakuwa na kipindi kigumu cha mpito. Baada ya zaidi ya miongo minne ya udikteta unadhani itakuwa abracadabra...kila kitu mswano overnight????
 
Source BBC: Marekani, Uingereza na nchi kadhaa za ulaya zinanuia kummaliza Gaddafi. Nyingine zimeshaanza kusogeza meli zake kuelekea mpakani mwa Libya tayari kutimiza nia zao. Umoja wa Waarab umekutana kupitisha azimio la kupinga uvamizi wowote wa kijeshi.

Historia za vita mbili za kwanza za dunia zilianza namna hii. Ukiangalia machafuko ya nchi za kiarabu na shutuma dhidi ya West, nashawishika kuna hatari ya vita?

Imekaaje hii? Inaweza kuchkua mrengo wa ubara, rangi, tajir/maskini au Imani? Ikiwa mrengo wa imani, je udini wa kikwete utadhihirika hapa kwetu? Au wa uswaz na maskini tutawavamia Masaki, mbez b nk? AU TUTASMAMA KM NCHI? KM ni kiNCHI, TUNA UZALENDO HUO WA KUIFIA NCHI HII ILIYOTUTOSA? Wataalam wa general reflections, analysis na political & historical diagnosis, kama mnaweza kuchkua break kidogo toka kwny hiz za upupu wa viongoz wa TZ na harakati za CDM kutimiza wajibu wao wa kikatiba&democracy, tafadhali.
 
The only option ni kumwondoa kwa nguvu. Gadafi lazima aondoke na hakuna taifa lolote--liwe la kizungu au kiarabu--linaloweza kuzuia. Mwangalie huyo jamaa, amejitokeza sana public jana na leo..huyo siyo kiongozi ila ni dictator!!
Hana chembe ya utu..
 
Back
Top Bottom