The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

lakini kumbuka pia al-jazeera wanaonyesha picha za maandamano na machafuko,na al jazeeera sizan kama watakuwa upande wa marekani au wa alqaeda

al jazeera ipo mara 2. ile iliyokuwa maarufu kipindi cha vita ilinunuliwa na wamarekani. ikawa copy and paste ya cnn. na kuna al jazeera nyingine lkn haipati uwezo wa kurusha dunia nzima. ukiacha hayo twapaswa tambua vita ni propaganda. haya mabadiliko yanatokea mashariki ya kati ni vita kama vita nyingine ambayo obama anapigana. anaweka watu watakao msikiliza pale anapotaka fanya jambo. vita ya marekani lzm ihusu mafuta. .
 
Kwa nini hao UN na EU wasiende kwa Bgabgo Ivory coast? kuna kitu kimejificha Libya hatukijui.

Hata mi napinga kuwa na double standards ktk mashirika tunayoyaamini kuwa na double stnds, mbona UN au AU hazfanyi ivo kwa obvious cases km Kodivwaa, Zim, Tz? Lkn pia, hata hao US&UK mbona wanariakt tu penye maslah. Na hii ndo chanzo cha hasira za Arab states/League...wanaagyu kuwa West wanasingzia mengine km extrimism&ugaid wkt wanataka kuaksess resources zao. Km tu ilivo apa kwetu, waislam kulaumu serkal na wakristo kwa hali yao ya maendleo na wakristo kuona waislam km tishio la amani kwa wao kudai fursa sawa! Nadiagnose tu wajameni.
 
U.S. fears Libya could become "a giant Somalia"

r

WASHINGTON | Wed Mar 2, 2011 12:11pm EST


WASHINGTON (Reuters) - One of Washington's biggest concerns is that Libya will slide into chaos and become a haven for al Qaeda much like Somalia though it does not now expect that, Secretary of State Hillary Clinton said on Wednesday.

"One of our biggest concerns is Libya descending into chaos and becoming a giant Somalia. It's right now not something that we see in the offing but many of the al Qaeda activists in Afghanistan and later in Iraq came from Libya and came from eastern Libya, which is now the so-called free area of Libya," Clinton told U.S. lawmakers said.

Source:


If this turns out to be the case then America will have herself to blame!
 
Napenda kusema kwamba haya mapinduzi ama machafuko ya mashariki ya kati kwa vyovyote vile lazima yaathiri dunia hasa katika sekta ya uchumi, mfano tazama Tunisia baada ya kuwa rais kuondolewa madarakani , baadhi ya watunisia wamepanda boti na kukimbilia Italy kiharamu kwa madai ya kuwa kuna machafuko katika nchi yao, mafuta nayo lazima yatatugusa hasa sisi nchi maskini sababu nchi za ulaya kama Ujerumani zilikuwa na taarifa za machafuko mapema sana, hivyo walikusanya mafuta ya kutosha na wao wana uhakika suala la mafuta halitawasumbua. kiujumla suala la ongezeko la bei ya mafuta kwa ulaya litawagusa kwa kiasi kidogo sana.

Machafuko haya hayakomei Misri na Libya tu! Lazima yatakuja polepole hata nchi zilizopakana na sisi, Sudan, Somalia na kadhalika, Hivyo hapa tutegemee wakimbizi na wahamiaji haramu.
 
al jazeera ipo mara 2. ile iliyokuwa maarufu kipindi cha vita ilinunuliwa na wamarekani. ikawa copy and paste ya cnn. na kuna al jazeera nyingine lkn haipati uwezo wa kurusha dunia nzima. ukiacha hayo twapaswa tambua vita ni propaganda. haya mabadiliko yanatokea mashariki ya kati ni vita kama vita nyingine ambayo obama anapigana. anaweka watu watakao msikiliza pale anapotaka fanya jambo. vita ya marekani lzm ihusu mafuta. .
Muheshimiwa naona umeamua kutudanganya.. Al Jazeera owner wake ni Sheikh Hamad bin Thamer al-Thani na Qatari Media Group. Kuna channel ya kiingereza na ya kiarabu sasa kama unazungumzia channel ya kiarabu obvious haipatikana dunia nzima kwa sababu ya lugha, sio kuwa hawana hela.
 
Hivi kuna kati yenu humu anayemwona Gadaffi kuwa na akili timamu? Mimi nadhani huyu jamaa hamnazo kumkichwa au anatumia sana madawa ya kulevya. Mwangalieni kwa makini na mtaona ninachosema. Mtambo huyu jamaa!

Mnyonge tumnyonge lakini haki tumpe yeye siyo fisadi ni mfia nchi. Ameifanyia mengi Libya na Africa amesaidia wanyonge wengi na ni mwanamme. Namkubali sana bali kukaa madarakani muda mrefu ndo naoji hata hivyo kidogo tu.. Mungu atamsaidia
 
Mnyonge tumnyonge lakini haki tumpe yeye siyo fisadi ni mfia nchi. Ameifanyia mengi Libya na Africa amesaidia wanyonge wengi na ni mwanamme. Namkubali sana bali kukaa madarakani muda mrefu ndo naoji hata hivyo kidogo tu.. Mungu atamsaidia

Sio fisadi? Nadhani Walibya wenyewe tu ndo wenye nafasi nzuri ya kulitambua hilo! Au wewe ni Mlibya?

Ila pia ni vigumu kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 40 na usiwe fisadi! Ngumu sana hiyo.
 
Update ni kwamba jana usku makomandoo wa gadafi wamerudisha baadhi ya strategic towns wamewakatia laini ya mafuta waasi marekani wakaanza kujirudi kwamba ,ooh suala la ghadafi kuwa airbomb raia halijawa confirmed na kwamba UN imeweka sanction ila haijakubali foreign military inteference.Inaonekana defence secretary gate yuko against another US military inteference in middle east kuogopa kunasa miaka mingine kumi kama ilivowatokea irag.anyway sina mda wa kushusha issue yote hebu tafuta hapa kwenye espionage site ya waisrael.
DEBKAfile.com
 
hAPO hakuna cha Alqaeeda wala USA, tatizo liko kwa Ghadafi wenu huyo,
si wananchi wote hawamtaki na si wannchi wote wanaomtaka.
Ila kwa ujumla ni kwamba wananchi wengi wameshamchoka.
Hivi mbana ninyi kila kitu ni kusingizia USA tu??

Ficha upumbavu wako.
Na kama huna la kuandika basi kachukue kopo ukachambe.
Na hiyo Nyambizi yenye Ndege za kivita zinazoweza kuzuia ndege nyingine kupaa ktk anga tofauti la kimataifa niya nani?

Usikurupuke tu kuandika ushuzi, hapa sio Facebook
 
wewe amini unachoamini na kufahamu na sisi tuachie tuendelee kuamini tunachofahamu.....hatulipwi kuisingia USA wala kumtetea Gadaffi,hii ni forum tunabadilishana mawazo na ku=share tunavyoona mambo......kwanini marekani inasaidia mapinduzi kwenye nchi zenye mafuta tu?

Kwenye shuzi la Ivory Cost wako kimyaaa...
Ila kwa Muammal ona walivyo na kihelehele
 
...marekani na UK bana penye maslah, hasa km mafuta, atafanya lolote ulafi wake uridhiwe. Unakumbuka kuna kipind walikua wanampinga Gadafi, lkn alipochkua hatua za kulinda maslah yao waka-mute. The recent case ya kumrelease mtuhumiwa wa Locabie? kwa sababu izo izo also applies. So km wanaona kuna uwezkano wa kumpata mwingine mwny maslah zaid ya Gadafi, watamwondoa tu, hawajali. Km walivowafanyia wengi, incl. Osa... Remember: America na washrika wake have permanent interests, not permanent friends!
 
...Kama tukianza kutwangana, Watanzania tutakua kitu kimoja kweli...say tusaidie Arabs au Western countries? Imani (specifically "Udini wa JK") unaweza kuplay part katika choice za ushirika wetu? In the past world wars, tuliwatetea na kuwapigania (ashakhum si matusi) mabwana zetu wa enzi izo. JK ata-side na washrika wake anaowatembelea kila siku wa US au ataingia kiIMANI zaidi? Au tutagawanyika hata humu ndani kwa misingi ya matabaka niliyoainisha apo juu na zaidi?

Kwa waliosoma historia, wanajua inamaanisha nini kujua yaliyopita na yanayoendele ili kujua yatakayoendelea!!!
 
Gaddaf ameshauwa maelfu ya Raia wake and as it appearz Nguvu ya Umma haiwezi kumbandua kwenye kiti chake;atawaua wengi zaidi!!

In light of that,I fully support Us/Uk Millitary intervention against the Gaddaf Regime!!!
 
Gaddaf ameshauwa maelfu ya Raia wake and as it appearz Nguvu ya Umma haiwezi kumbandua kwenye kiti chake;atawaua wengi zaidi!!

In light of that,I fully support Us/Uk Millitary intervention against the Gaddaf Regime!!!


Kwa ivo wakivamia ndio hao watu hawatakufa zaidi? In reply, please refer to cases in Iraq & Afghanistan..
 
Gaddafi ni miongoni mwa viongozi wanaoongoza vyema watu wake, na pia ni mwanademokrasia na mwanamapinduzi

daima nchi za magharib na ulaya huchochea ugomvi kwa maslahi yao. na hasa kwa vile pale pana mafuta


ila nnaamini gaddafi kwa hili atapita salama
 
Mimi naona US,UN,AU,UK wote ni wanafiki na wamekaa kimaslahi zaidi,walikuwa wapi siku zote hizi mpaka waje kuibuka leo na kujifanya wanataka demokrasia?US natambua kuwa wanataka kumiliki kampuni za mafuta Libya sawa sawa na UK nao lengo lao ni hilo tu.
Ingawa inasemekana Gaddafi ni dikteta lakini wananchi wake wamekuwa wanapata huduma zote muhimu bure kama vile umeme,maji,hospitali,kwa wasio na ajira wanalipwa mishahara,wanandoa wanapewa nyumba na kama huna kazi unatafutiwa na kulipwa mshahara wa kujikimu na maisha,yote haya yamepatikana chini ya dikteta huyu ambaye wana Libya hawamtaki.
Nasubiri kuona chini ya demokrasia waitakayo sasa kama hawataanza kuchangia huduma huku nchi za magharibi zikifaidika na rasilimali za walibya.
Siombei na sidhani kama kutatokea vita ya 3 ya dunia,Mungu atuepushe na janga hilo.
 

A police coastguard boat travels past US amphibious assault ship USS Kearsarge as it sails through the Suez canal in Ismailia, about 120 km (75 miles) north of Cairo, March 2, 2011. [Photo/Agencies]


TRIPOLI, Libya - Two US warships were heading toward Libya on Wednesday as the West started flexing its military muscle and rebels fighting Muammar Gadhafi's regime began organizing the trappings of parallel government.
The USS Kearsarge and the USS Ponce carrying marines and equipment entered the Mediterranean Sea en route to Libya, the Suez Canal Authority said.
 
The Kearsarge amphibious ready group, with about 800 marines, a fleet of helicopters and medical facilities, could support humanitarian efforts as well as military operations.

"We're certainly moving assets to be closer (to Libya)," a US defense official said in Washington on Tuesday. "A ship like the Kearsage is capable of many types of missions."
Western powers are arguing over imposing a proposed no-fly zone over Libya to support rebels fighting Gadhafi's regime. Some opposition figures in Libya have begun calling for air strikes.
Protesters against Gadhafi's four-decade rule have seized control of most of the country despite a fightback by his forces. Tripoli remains under his control and largely peaceful. Key oil fields in the east have fallen to the opposition.
A hardline Gadhafi
Muammar Gadhafi repeated in a speech at a ceremony in Tripoli on Wednesday that he holds no real power in Libya, as rebel forces repelled an offensive by his forces east of the capital.
"The world must understand this truth: There is no place for a president, a king, or a leader in the Jamahiriya system," he said in front of dozens of supporters at the ceremony to mark 34 years of "people power".
The ceremony was aired live on Libyan television on Wednesday.
The event marked the anniversary of the launch of the People's Committees, according to the broadcaster.
Reading from a prepared text, Gadhafi's speech was frequently interrupted by chants, which he duly praised.
"The Libyan people challenge ... even Muammar Gadhafi who has no power," said Gadhafi, who rose to power after a coup against Libya's monarchy in 1969.
"When the People's Committees issue something, it becomes law and is implemented for all Libyans. No one can declare war or peace unless the People's Committees decide," the Libyan leader said.
"Muammar has no real power to surrender."
Rebels keep fighting
Forces loyal to Muammar Gadhafi battled government opponents for control of a key oil installation and an airstrip on Wednesday on the Mediterranean coast in a counter-offensive against the rebel-held eastern half of the country.
The fighting was centered on the oil facilities at Brega, which the opposition has held for days. In the morning, witnesses reported that it was retaken by a large convoy of pro-Gadhafi forces. But hours later, witnesses on the outskirts of Brega said fighting resumed.
They said some of the regime forces were surrounded by rebels. The sound of screaming warplanes and the crackle of heavy gunfire could be heard as the witnesses spoke to The Associated Press by phone. Opposition fighters at checkpoints outside Brega said the opposition had retaken the oil facilities and the airstrip.
Brega lies at the western edge of the swathe of opposition-controlled territory of eastern Libya. At the nearby rebel-held city of Ajdabiya, pick-up trucks full of anti-Gadhafi fighters carrying automatic weapons, along with a tank, sped out toward the oil port, 70 km away.
AFP-AP
 
Back
Top Bottom