The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Ikumbukwe kwamba US hawana rafiki au adui wa kudumu, wapo KIMASLAHI zaidi
 
Gadafi anaua waandamnaji kwa kutumia ndege; hivi hao wandamanaji watapata wapi mizinga ya kutungulia hizo ndege? au watapata wapi ndege ili nao wamshambulie Gadafi?
Ili kutomwaga silaha za aina hii, ndiyo maana, US, UK na Arab league wameunga mkono wazo no fly zone.
Lakini kama hilo halitoshi Arab league wanacontemplate military action lakini iongozwe na wao na african union.
Tatizo la african union ni kutokuwa united; kuna kutofuata ukweli. Kwa mfano, nani anajua msimamo wa TZ juu ya Gbagbo? Jana nilikwa nasikiliza straight talk Africa (VOA), comment ya facilitator ilisema the african union is divided over Gbagbo; hi sighted some countries which he thought are in support of him (Gbagbo), including TZ!
Labda bunge litakapofunguliwa, kwenye masuali ya papo kwa papo PM aulizwe msimamo wa TZ
 
Dunia imejaa unafiki na uzandiki ukiongozwa na US na UK, haya ni mataifa kafiri yaliyojaa damu ya kishetani yanaua kila pahala ili mradi tu wawe na maslahi hapo ...wanataka mafuta ya Libya hakuna kingine, wanajua wakimtoa Ghadaff wao ndio watafaidi zaidi, ....kama ni kutoka kwann wasiache wananchi wamtoe?!! kwann wasogeze meli na madege makubwa?!! naililia Afrika tambala bovu hakuna hata kiongozi mmoja wa kusema huu ni uvamizi wa wazi naamini nyerere aua mzee mandela anagekua ana nguvu angesema japo neno tu kwamba hii sio sawa...

Hao wanaoitwa waaandamanaji wana silaha na mizinga na hizo zote wanasaidiwa na US na UK, kwanini hawa mabazazi ya US na UK yasimkamate JOSEPH KONY?!! Wangapi ameua huyu hapo uganda na Drc?!! AFRIKA itajuta sana kuruhusu ujinga huu wa marekani na uk!!
 
Ikumbukwe kwamba US hawana rafiki au adui wa kudumu, wapo KIMASLAHI zaidi

Siyo US tu ni nchi nyingi na watu wengi, na pia katika masuala mengi sana, Kwa mfano katika siasa (unaweza kulazimika kuunda serikali ya pamojana aliyekuwa adui yako)
N a kwakweli ukitaka kuishi vizuri , usiwe na adui wa kudumu; akijirekebisha anakuwa rafiki na kinyume chake pia!
 
Umeanza vizuri sana bandiko lako lakin mkuu umeshindwa kulimalizia kwani suluhisho lako ni tofauti na maudhui yako. Pole sana.

Kifupi nchi za Kiarabu zimeshagundua njama za nchi hizi za magharibi za kutaka kuzifarakanisha na viongozi na nchi kwa nchi ili damu imwagike,

Gadafi ni Gemedari na Kanali ndani ya jeshi tumwache tu awamalize wale vibaraka wa nchi za magharibi ndani ya Libya na kuendelea na utawala wake uliotukuka.

nashangaaaa. Pilipili yaliwa shamba au UK, USA na nchi za EU zinawawasha nini kama si kiherehere.

..mtu wa maudhui na umaliziaji.... wakati nikiamini mipasho ruksa, maana ndo wapinga mageuzi mnayotumia kila mara siku hizi-mpaka ikulu, nahamaki kukubaliana na wewe kwamba wanaokufa ni wageni wa kutoka nchi izo zenye (niruhusu nikunukuu) "viherehere". Infact wenye viherehere yapaswa tuwaite haohao walibya wanaolishwa, kuvishwa, kuozwa na kupumulishwa bure wkt huohuo wanaMPINGA huyo anaewapa vyote hivyo? Ku-make sense inahtaji uwe na sense pia, in the first place!
 
..mtu wa maudhui na umaliziaji.... wakati nikiamini mipasho ruksa, maana ndo wapinga mageuzi mnayotumia kila mara siku hizi-mpaka ikulu, nahamaki kukubaliana na wewe kwamba wanaokufa ni wageni wa kutoka nchi izo zenye (niruhusu nikunukuu) "viherehere". Infact wenye viherehere yapaswa tuwaite haohao walibya wanaolishwa, kuvishwa, kuozwa na kupumulishwa bure wkt huohuo wanaMPINGA huyo anaewapa vyote hivyo? Ku-make sense inahtaji uwe na sense pia, in the first place!

Elewa kuwa shoka haliwezi kukata miti bila kuwekwa kipande cha mti yaani Mpini.

Sasa gadafi lazima awamalize hao vibaraka ndani ya walibya wanaoleta machafuko nchini mwake.

fahamu kuwa haijawahi kutokea kuwa na wakimbizi ndani ya Libya lakini sasa hao mamluki wametia doa ni lazima watafutwe kwa udi na uvumba na kisha wauwawe hata nchi mabwana zao za magharibi zikiwatetea ni lazima wafe tu.

Hongera sana Gadaffi.
 
Tutasema yote tuyasikiayo toka vyombo vya habari, tutasema yote tunayoweza sema lakini ukweli unabaki palepale kuwa Gadafi aliijenga nchi ya Libya kulikuwa na usawa tofauti na hapa kwetu. Kiongozi madhubuti lazima mataifa ya kibepari ymwite dictator. Gadafi alihakikisha kuwa mafuta ya Libya yanawanufaisha walibya kwa kiwango kikubwa na aliweka shria ngumu za uwekezaji katika bidhaa hiyo adhimu inayotufanya tuhangaike gizani waTZ ikiwa ni tofauti na hapa kwetu ambapo mafuta barrel 10 ndiyo gharama ya kumnunua onz moja ya dhahabu achilia mbali TZ pressures metal Tanzanite lakini hatufaidiki kwa lolote bali chochote.

Kumbukeni Baba wa Taifa la china and other asian tigers pamoja na cuba watu wana risk ndugu watu wanapata tabu viongozi wanasema tutaabike mwisho tuta au wajukuu zetu wataneemeka na watatutukuza. na wote hao hadi leo wanaitwa madictator, wasioheshimu haki za binadamu nk.

Sijasikia tukijiuliza ni watu wangapi wamshauawa tokea sadamu hussein auwawe kidhalimu, kama siyo zaidi ya mara 100 ya waliokufa enzi za uhai wake. watu wanauana na kila aina ya udahalimu lakini pamoja na yote hayo bado wamarekani na washirika wake hawajafanikisha mission yao. Sasa wanataka kuhamia libya kuvuna na kuiharibu nchi sisi tunafurahia kama hulka za mabeberu ambao siku zote ni wa binafsi. Ushahidi wa kutosha kuhusu hili angalieni DRC Kongo jinsi dhahabu inavyo vunwa lakini ikifika yanabaki mashimo tu nchi itakua na amani but with nothing inabaki kuwa ombaomba na soko ya wenyewe.

Swala la udini linaletwa kama divide and rule technique hivyo sidhani kama ni la msingi katika hili mada. Cha msingi ni sisi kuungana kupinga uvamizi wa kijeshi na wananchi waache kufuata mkumbo wa kuiba silaha na kupiga risas. Hawa raia waliopora silaha ambao kwa mujibu wa aljazeera wanapewa mafunzo ya siku mbili ya tatu wanachukua silaha na kuanza kupambana sasa ethics za vita hawajui wanapiga yoyote hata hao watu waliouwa hakuna anayeweza thibitisha kuwa wameuawa na wanajeshi watiifu kwa gadafi pekee au ni pamoja wa raia wanaompinga.

Kweli anachofanya gadafi cha kuwaua raia si cha kiutu angetumia inteligensia kupambana na waanzilishi.

Hayo ni maoni yangu.
 
Elewa kuwa shoka haliwezi kukata miti bila kuwekwa kipande cha mti yaani Mpini.

Sasa gadafi lazima awamalize hao vibaraka ndani ya walibya wanaoleta machafuko nchini mwake.

fahamu kuwa haijawahi kutokea kuwa na wakimbizi ndani ya Libya lakini sasa hao mamluki wametia doa ni lazima watafutwe kwa udi na uvumba na kisha wauwawe hata nchi mabwana zao za magharibi zikiwatetea ni lazima wafe tu.

Hongera sana Gadaffi.

Kumbuka kombora likirushwa, au helkopta za kijeshi zikidondosha explosives haziwachagui hao mamluki na kuwaacha waLIBYA. unless uniambie hao mamluki wamejikusanya maeneo flani, na wamejitenga na raia, which is will something a stupid man will not struggle not to do! Au waLIBYA wote wamejificha ndani na walioko nje wanaoshambuliwa na sisi kujulishwa kwamba ni raiya mamia wameuwawa? think about that too
 
Vita ya dunia kati ya nani na nani. Waarabu hawana uwezo wa kupigana na marekani kwani nyingi ya nchi hizo zinapata misaada ya kijeshi kutoka marekani. Vita ya dunia itatokea kati ya marekani na uchina au urusi.
 
Gaddafi ni miongoni mwa viongozi wanaoongoza vyema watu wake, na pia ni mwanademokrasia na mwanamapinduzi

daima nchi za magharib na ulaya huchochea ugomvi kwa maslahi yao. na hasa kwa vile pale pana mafuta


ila nnaamini gaddafi kwa hili atapita salama
uchochezi upi??
hao wanaoprotest kwanza waamesema hawataki kabisa msaada toka nje ya nchi
sasa huo uchochezi unatoka wapi??
mbona huwa hamkubali tu kuwa wananchi wake wamemchoka?
 
Ficha upumbavu wako.
Na kama huna la kuandika basi kachukue kopo ukachambe.
Na hiyo Nyambizi yenye Ndege za kivita zinazoweza kuzuia ndege nyingine kupaa ktk anga tofauti la kimataifa niya nani?

Usikurupuke tu kuandika ushuzi, hapa sio Facebook

Heshima kwako mjukuu,
mimi natoa fact tu wala sio hisia zako za mlengo wa kushoto,
Hiyo nyambizi ndiyo inaelekea kufika leo na itakuwa kule kuhakikisha usalama wa wananchi wote na kama akiendelea kuuua wananchi wake kipigo na akipate tu kwani yeye ni nani??/
Sadam aling'olewa sembuse na huyu amabye hata wananchi wake wenyewe wamemchoka?
 
Kwenye shuzi la Ivory Cost wako kimyaaa...
Ila kwa Muammal ona walivyo na kihelehele

je wananchi wa Ivory cost wameandamana kuipinga serikali kama walivyofanya Libya??
mda mwingine matatizo yanasababishwa na wahusika wenyewe
ukiangalia wananchi wengi wa huko wako kimya na kama mtu huhitaji msaada mimi niliyewa nje nitakuja kukusaidia nini??
Nikija si utasema nakuja kujipendekeza??
kule Libya wananchi wenyewe wamejitoa kudai haki zao, na leo wameanzisha Interim-Gov
sasa fikiria wananchi walivyokuwa na shauku ya kuwa na serikali yenye democrasia ili wahusishwe na katika miradi yote ya nchi yao.
Kma USA/EU etc wanaona hiyo shauku ya wananchi ,kwa nini wasiwasaidie??
tumia akili kufikiria sio kutumia mdomo kuongea.
 
unahitaji msaada wadharula kama wa umeme wa Dowans
wewe amini unachoamini na kufahamu na sisi tuachie tuendelee kuamini tunachofahamu.....hatulipwi kuisingia USA wala kumtetea Gadaffi,hii ni forum tunabadilishana mawazo na ku=share tunavyoona mambo......kwanini marekani inasaidia mapinduzi kwenye nchi zenye mafuta tu?
 
Vita ya Dunia??? Hao uliowataja Us, Uk, Canada & co upande mmoja halafu upande wa pili nani? Hiyo bado sana mkuu. Pamoja na yote yaliyojificha, sidhani kuwa mataifa yenye nguvu yataangalia tu wakati Ghaddafi akiwachinja watu wa Benghazi.. Maswala ya Ivory Coast hata Tz ya Membe na kikwete inaweza kuyamalia! Si walipeleka majeshi Comoro? Wapeleke na huko sasa.
 
wakati mwingine hiyo marekani mnaipa credits kwenye mambo mengine ambayo haistahili mojawapo ni hili la north africa uprising, unless mnahesabu twitter na facebook kwa sababu ziko based in the us.

Hapa kama issue ni mafuta, nadhani US wangeshaivamia Saudi Arabia,Kuwait au Qatar ambao ni supplier wa kubwa wa mafuta kwa US ukilinganisha na hao Libya tukubali tu wananchi wamemchoka na wanataka mabadiliko. Issue ya Gaddafi ni kama kocha timu ya soka, timu inafanya vizuri lakini menejiment na baadhi ya wachezaji hawamtaki.
 
Samahani mkuu una assume mimi ni muislam? kama ni ndio naomba niombe radhi.

sidhani kama gadhafi ni Gaidi au inawezekana sijui maana ya Gaidi wana jamvi watanisaidia maana.
inategemea unalichukulia vipi neno gaidi ila miaka ya 70 na 80 gaddafi alikuwa ana bankroll the so called wanamapinduzi kwa mfano black september, jamaa walioteka ndege ya air france wakaipeleka entebbe, carlos, vikundi vingine vidogo vidogo. Alimpa idd amin msaada wa wanajeshi, fedha na zana za kivita ili atupige kwa sababu gani siju.
 
Back
Top Bottom