The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Vita ya dunia kati ya nani na nani. Waarabu hawana uwezo wa kupigana na marekani kwani nyingi ya nchi hizo zinapata misaada ya kijeshi kutoka marekani. Vita ya dunia itatokea kati ya marekani na uchina au urusi.

Please take time out and refer to historical wars, and how they happened. Ingekua vita nni lazma ianzishwe na mataifa makubwa kwa makubwa, US na Urusi wangeshamalizana zamani sana
 
Kumbuka kombora likirushwa, au helkopta za kijeshi zikidondosha explosives haziwachagui hao mamluki na kuwaacha waLIBYA. unless uniambie hao mamluki wamejikusanya maeneo flani, na wamejitenga na raia, which is will something a stupid man will not struggle not to do! Au waLIBYA wote wamejificha ndani na walioko nje wanaoshambuliwa na sisi kujulishwa kwamba ni raiya mamia wameuwawa? think about that too
Gadaff personaly alidai wanataka kumpindua ni AL QAEDA ili kupata kibali cha ua ua
Sasa iwaje leo utuambie mipango ni ya US and UK.

US +UK wanataka kuzuia yasitokee ya RWANDA huko Libya.Kosa sio kosa kosa kurudia kosa
 
Gaddafi's Warplanes 'Bomb Key Rebel Town'
12:29pm UK, Thursday March 03, 2011


Libyan leader Muammar Gaddafi's forces have reportedly launched a fresh air assault against rebels who control the country's key eastern oil town of Brega.

15944863.jpg

Explosion after a suspected air attack in Brega


Air force warplanes bombed the town's airport, as the area was targeted for a second day, according to rebel Captain Bashir Abdul Gadr. There were also air strikes on a rebel position in the nearby town of Ajdabiyah, it was claimed. No-one was thought to have been hurt in the Brega attack.

But a few rebel fighters were taken to hospital after a mortar they were handling exploded. The latest assaults come after opposition groups repelled a ground and air attack on the town by troops loyal to Colonel Gaddafi on Wednesday. Opposition soldiers also said pro-regime forces had been pushed back to Ras Lanuf, home to another major oil terminal and 375 miles east of capital Tripoli.

Brega is the site of Libya's second-largest petroleum facility and has been held by the opposition since last week.
15944745.jpg

A rebel covers his ears as a Libyan plane drops a bomb near Brega

The rebels, armed with rocket launchers, anti-aircraft guns and tanks, control the east of the country. They have called for UN-backed air strikes against foreign mercenaries allegedly fighting for the Libyan leader. But Western officials expressed caution about any sort of military involvement, including imposing a no-fly zone. The Arab League said it was against direct outside military intervention, but could enforce a no-fly zone in co-operation with the African Union. But, realistically, only the United States could carry out such an operation.
For the past week, pro-Gaddafi forces have been focusing on Libya's west, securing capital Tripoli and trying to take back nearby rebel-held cities. But its forces have seemed to have struggled in cities largely defended by local residents using weapons looted from storehouses and backed by allied army units.

Meanwhile, Arab League Secretary-General Amr Moussa said a peace plan for Libya from Venezuela's President Hugo Chavez was under consideration. But Mr Moussa denied he and Col Gaddafi had already agreed to Mr Chavez's plan to send representatives from several countries to Libya. The chairman of the rebel National Libyan Council, Mustafa Abdel Jalil, has reportedly said he rejected the concept of talks with the Libyan dictator entirely.

Source
 
hapo hakuna cha World war III wala ni ni
EU/USA wakiamua kumng'oa huyo jamaa ni kazi ya siku moja tu
kwa sasa Nyambizi ndio inaingia karibu kabisa na Libya wakiwa na air craft carriers wth interceptions kwa hiyo likitokea lolote tu jamaa wanamaliza kazi.
Pia ukumbuke kuwa ile nchi kwa sasa imeshakuwa divided na wananchi wengi hawamhitaji jamaa ,
vita kama hii ni rahisi sana.
 
Bottom line!

Waisraeli ndio wanahali mbaya kwa mapinduzi ya waarabu ambayo .... yanawapa wananchi wa kawaida nguvu kubwa ..kuna siku peoples power ya waarabu itakomaa na wataingia TEL AVIV .. Ni kweli kwa sasa Waisraeli hawalali!! ...

Na Waisaraeli hatanyamaza ...watafanya watakachofanya ...na ambacho wamewahi kufanya huko nyuma...THEY WILL BE THE IMPOSSIBLE!!

Lakini nguvu moja ya waarabu inayopatikana kwa nguvu ya umma ikielekezwa ..Israeli vita ya 111 inaweza kutokea maana kuna watakao simama na waisaraeli na watakao simama na waarabu.

Mfano..Wachina na Warusi watakuwa na Waarabu ..and the rest will be with Israeli....
 
Vita ya dunia kati ya nani na nani. Waarabu hawana uwezo wa kupigana na marekani kwani nyingi ya nchi hizo zinapata misaada ya kijeshi kutoka marekani. Vita ya dunia itatokea kati ya marekani na uchina au urusi.

...punguza hisia, soma thread. Ref. reaction ya Arab League
 
ni kweli huu ni mchakato wakumuondoa kiongozi huyu,kutokana na utawala wake wa kimabavu usio timiza na kubana haki za wa libya,napia uwongozi wa raisi uyu wa libya ulinishtua pale alipochaguliwa kuwa mwenyekiti AU nakusema anaitaka afrika iwe moja chini ya uwongozi mmoja na yeye aikwa ndiye kiongozi,ni dhairi inaonyesha ni jinsi gani alivyokuwa na uchu wa madaraka, na zaidi ya hapo ni pale alipoingiza notion ya udini ambacho ni kitu kibaya ndani ya jamii endelevu,na hili ndo liinalochangia ata mataifa yenye nguvu kubwa(British,America etc) kupanga mbinu mbalimbali za kumuondoa,kwenye madaraka alikuwa nayo uku akijinufaihsha yeye na familia yake.
 
Azimio Jipya: unachokisema ndo haswa muelekeo wa mgawanyiko mambo yatakapoharbiaka zaid. Mchina amekua analetewa chokochoko sana na US, Urus ndo kwanza hamna swali. Nchi nyingi za Asia zna more in common na waarab zaid ya West. Na km Arabia wakiside strongly na Gaddafi, na West wakakomalia kulazmisha uvamiz, we know how big things start as small as a word!
 
Soma kitabu cha JOHN Hagee cha Jeruselem Countdown kinasema yote haya na mambo yote juu WWIII began na pia kutakuwa na battle sana maeneo yote ya mashariki ya kati hivyo sisi tuliona haya mapema sana na kujiandaa mapema sana
 
The Hague inamsubiri huyu mzee kwa hamu. Ni nini ambacho hajawafanyia wanachi wake ndani ya miaka 42 ambacho anahitaji kuomba aendelee kuwafanyia mpaka atumie madege ya kivita!
 
Ukifuatilia yanayojili kwa sasa nchini Libya;Gadaff anadai wa-EUROPA na magaidi ndo chanzo cha vurugu nchin mwake. Kamwe hakubali wala haamin kuwa amechokwa badala yake anadai ni uchochezi toka nje! Je, anaweza kuwa sawa?? Kwanin nchi za Ulaya na Marekan zimekuwa mbele kumtaka Gadaff aondoke? Ni huruma ya kweli kwa Walibya wanaopoteza maisha au kuna agenda ya siri hasa ukizingatia Libya kuna "MAFUTA MATAMU"! waasi(maana hawa si waandamanaji)silaha wanapata wapi?? Baada ya Gadaff ameandaliwa kibaraka wao au watafanya uchaguzi?? Kati ya UN na AU kipi kilitakiwa kiwe cha kwanza kumlaan Gadaf? Kwani Waafrika hatuwez kukemeana na kuuamua mambo yetu?? Mbona nchi zingine zilizotokewa na haya haikuwa haraka kwa US na Uk kuja juu??au T.BRAIR aliona kitu kule?? Maswali kama haya yananifanya nimuonee huruma Gadaff na Walibya wote kwa damu inayomwagika pengine bila wao kupenda!!
 
Azimio Jipya: unachokisema ndo haswa muelekeo wa mgawanyiko mambo yatakapoharbiaka zaid. Mchina amekua analetewa chokochoko sana na US, Urus ndo kwanza hamna swali. Nchi nyingi za Asia zna more in common na waarab zaid ya West. Na km Arabia wakiside strongly na Gaddafi, na West wakakomalia kulazmisha uvamiz, we know how big things start as small as a word!

Mkuu you r very right,

Analisis zote zinaonyesha nguvu ya uchumi na kijeshi ya mchina, na kinachotakiwa ni set up ya namnafulani tu ya kuifanya uchina na marekani wawe in the opposite side of the argument...na kamchezo kadogo kanakotokea hapo uarabuni..kanaelekea kutupatia ..kinachohitajika

Urusi ther is no way watasimama na US...

Ukishakuwa na nguvu kubwa mbili Urusi na Mchina kusimama na Waarabu..ambao mpaka sasa hawaoni wanaelikia wapi...then ..rearengements nyine zinajimalizia zenyewe...

For sure Israeli wanaona kabisa hatari inayowanyemelea ... WAWEKE MIKATABA YA AMANI NA NGUVU YA UMMA????
Mwanzoni walijaribu kongea na kumtetea Mubarak etc...lakini muda unavyoendelea ..Israeli ianjikuta katikati ya Nchi za kiarabu zinazo badilika kwa nguvu kubwa na haraka na ya ajabu..na kubadilika kwenyewe...kunawapa watu wa kawaida nguvu kubwa sana....inayoweza kutumika kirahisi kuivamia Israel..
 
Hakuna nchi za kiarabu zitakazohitaji kuingia hasara kwenye vita. Pia watawala wa kiarabu hawatakuwa radhi kujiingiza kwenye migogoro hiyo maana wananchi wengi wa kawaida wanaamini tawala za kiarabu badhirifu. Sasa nani ataenda kuitetea Libya huku kwake moto ukiwaka. Katu haitotokea Waarabu kupinga uvamizi kwa mtutu, labda waongee tu kwenye majukwaa.
 
Mkuu kila nchi duniani ni nafiki, labda kasoro Tanzania tu.
 
Hakuna nchi za kiarabu zitakazohitaji kuingia hasara kwenye vita. Pia watawala wa kiarabu hawatakuwa radhi kujiingiza kwenye migogoro hiyo maana wananchi wengi wa kawaida wanaamini tawala za kiarabu badhirifu. Sasa nani ataenda kuitetea Libya huku kwake moto ukiwaka. Katu haitotokea Waarabu kupinga uvamizi kwa mtutu, labda waongee tu kwenye majukwaa.

kumbuka hofu ya US&UK ni jamaa wa Al Quaeda au other extremists kuwa watachkua Tunisia, Egypt na zngine zenye migogoro uko kati. So swala la nyumba zao nazo znawaka moto kinaeza kuwa kichocheo. Kumbuka cronic crisises ndo znakuaga chanzo cha vita, in the final analysis
 
Hakuna nchi za kiarabu zitakazohitaji kuingia hasara kwenye vita. Pia watawala wa kiarabu hawatakuwa radhi kujiingiza kwenye migogoro hiyo maana wananchi wengi wa kawaida wanaamini tawala za kiarabu badhirifu. Sasa nani ataenda kuitetea Libya huku kwake moto ukiwaka. Katu haitotokea Waarabu kupinga uvamizi kwa mtutu, labda waongee tu kwenye majukwaa.

kumbuka hofu ya US&UK ni jamaa wa Al Quaeda au other extremists kuwa watachkua Tunisia, Egypt na zngine zenye migogoro uko kati. So swala la nyumba zao nazo znawaka moto kinaeza kuwa kichocheo. Kumbuka cronic crisises ndo znakuaga chanzo cha vita, in the final analysis
 
Acha wajipange vizuri and rejoice you Zion for when you see these things happen remember your salvation is nigh! Lakini nasikitika injili bado haijahubiriwa kote duniani kwahiyo bado ni mipangilio tu the real thing is not yet to come
 
Wanataka kufanya kama iraki wakanyonye mafuta mpaka yaishe. Statistic zinaonyesha libya wana gdp nzuri tu na raia wake hawana maisha magumu kma yalivyokuwa egypt na tunisia. Hata waandamaji hamalalamiki kuwa maisha magumu bali ni mzuka wa mapinduzi ya waarabu wenzao wa tunisia,egypt na western countries demands! Ghadaf atakomaa nao mpaka mwisho!
 
Mwenye akili hashuturutishwi kufikiri...! Nadhani kwa wale wanaopenda kufutilia ma mambo wanajua what for real is going on..!! US n UK wana yao mambo n nat jambo....:A S 13:
 
Back
Top Bottom