VUVUZELA
JF-Expert Member
- Jun 19, 2010
- 3,103
- 798
Of course, who else's, do you think?
Unfortunately, He's done! He'll be going down the toilet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course, who else's, do you think?
What's wrong with you? Why don't you read my postings before responding? In this case, you are just contradicting yourself!Unfortunately, He's done! He'll be going down the toilet
Hapana! Lakini walikuwa na interests katika eneo lile.US alivyoenda Bosnia kuna mafuta?
What's wrong with you, why don't you read my postings before responding to them? You are just contradicting yourself!
US kuna reserves kubwa za mafuta ambazo hawajaanza kuzigusa, Canada wana reserves kubwa za mafuta kuliko ata za Libya hawa waungwana wataendelea kupata mafuta tu.Ni kweli kabisa lakini ujue kuwa kama Ulaya watapungukiwa mafuta inabidi wabanane na US huko Saudi Arabia, Iraq na Kuwait mwishowe US pungukiwa na ugavi.
Start enriching your uranium and I bet you, you'll see their nose all over you like cheese on pizza.How i wish the Tz Goverment were also "evil" had national interests and acted on these interests!!!
Tz Government can not afford to be "evil" as long as it is on the receiving end! Omba omba hawezi kuwa na roho mbaya (if you know what I mean!)How i wish the Tz Goverment were also "evil" had national interests and acted on these interests!!!
Dogo, nisome vizuri!He's done. Period!!
Tz Government can not afford to be "evil" as long as it is on the receiving end! Omba omba hawezi kuwa na roho mbaya (if you know what I mean!)
Mi kweli lakini uelewe kuwa tatuzo siyo supply bali ni faida. Kwa sasa gharama ya mafuta kutoka mashariki ya kati kwenda US ni ndogo (chini ya $100 kwa pipa) kuliko kuyeyusha mafuta yaliyo ganda kwenye barafu huko Canada. Ila mafuta yakifika $170 kwa pipa utaona watu wakikimbilia huko.US kuna reserves kubwa za mafuta ambazo hawajaanza kuzigusa, Canada wana reserves kubwa za mafuta kuliko ata za Libya hawa waungwana wataendelea kupata mafuta tu.
Kumbuka waisraeli wameshika uchumi wa US na nchi nyingi za ulaya. Remember the origin of the word "jewel"? Jew! Sidhani kama tunaweza kujifananisha na hao jamaa katika fani ya omba omba! Sisi tunatembeza bakuli kwa kwenda mbele!!!!Serikali ya Israeli inapokea misaada mingi sana kutoka USA!! Lakini vinanguvu za ajabu!!...nikiasi cha kutumia akili kidogo hatakama niombamba! Inahitaji viongozi wenye upeo kidogo...wenye uwezo wa kucheza chess kwenye jukwa la ulimwengu!
Dogo, nisome vizuri!
Here we go distorting, the argument is he shouldn't cry wolf kwa sababu anapewa kipondo yeye mwenyewe amefadhili watu kwenda kushambulia nchi nyingine na nimetolea mfano wa vita ya Kagera, wanasema "history has a nasty way of repeating itself" nionyeshe wapi niliposema watu wa Libya wafe kwa sababu rais wao alituma mercenaries.all this arguments ni kwa kuwa alimtumia Idd Amin na hakuomba msamaha? so watu wa Libya wafe kwa kuwa Gaddfi rais wao alimtumia Idd Amini na hakuwaomba watanzania msamaha????? be objective for once,acha kinyongo eti what goes around comes around :lol::smash::lol:
Either that au wanasubiria yaanze kupungua uko mashari ya kati ili nao waanze kuumiza watu vichwa, whatever it is siri wanaijua wao wenyewe kwa nini hawataki kuchimba mafuta yao wenyewe.Mi kweli lakini uelewe kuwa tatuzo siyo supply bali ni faida. Kwa sasa gharama ya mafuta kutoka mashariki ya kati kwenda US ni ndogo (chini ya $100 kwa pipa) kuliko kuyeyusha mafuta yaliyo ganda kwenye barafu huko Canada. Ila mafuta yakifika $170 kwa pipa utaona watu wakikimbilia huko.
Check the first post on this thread and you will see that I already said then that Gaddafi's days are numbered. That's why I am saying I don't know what you're at/who are you talking to? Cool down and let us move forward, no need for name calling! Don't start to get cheap now!whatever, dude! Colonel is going under!
mtaishia kukoment kiushabiki bila kuangalia kiundani hili suala la libya, kila mtu anasema gaddafi ni dikteta lakini tunasahau kuwa tunatumia tafsiri na criteria za ulaya kujua yupi ni dikteta na yupi ni mwana demokrasia, katika hili tumeridhia fikra zetu kutekwa na wazungu na kuona kwamba wao ni exceptional kila watakachosema kinakuwa sahihi, mimi bado siamini kama ni kweli wananchi wengi wa libya wanamchukia gaddafi kama ambavyo vyombo vya habari vya kimagharibi vimekuwa vikiripoti na bila kusahau wamagharibi wana chuki na gaddafi, gaddafi ataondoka madarakani coz hakuumbwa kutawala milele ila kuna mambo mengi ya msingi ya kimaendeleo aliyowafanyia mwanachi mmoja mmoja ndani ya libya ambayo hata huyo ufaransa mwenye kimbele mbele kwenda kushambulia libya hajawahi kuwafanyia wananchi wake.
Check the first post on this thread and you will see that I already said then that Gaddafi's days are numbered. That's why I am saying I don't know what you're at/who are you talking to? Cool down and let us move forward, no need for name calling!
Wananchi wa Libya ndio wanajua matatizo yao na ndio walioamua kuandamana nakushangaa wewe unayemtetea dikteta sijui kama up stairs ziko sawasawa, in short he has to go tena wamemchelewesha sana na baada ya kuondoka The Hague inamsubiri.usiwe na mawazo na fikra kama za mtu aliyejikwaa kwenye jiwe na kulaumu na kulalamikia ugumu wa sehemu aliyoangukia!,
atakae koma sio Gaddaf peke yake,hata wewe unayechangia gharama ya mafuta utaonja gharama ya vita inayoendelea,ila ukiwa na fikra mgando unadhan anayekoma ni gaddaf peke yake!!,