rosemarie, kwanza hongera kuanzisha thread ya mambo ya maana hata kama jukwaa silo.
Pili hoja ya satelite ni kweli, ila sio dola 500 kwa mwaka, ni dola 500 kwa mwaka, ni dola laki 5!, yaani ni 500,000.
Ila sio hivyo tuu, ametaka kuanzisha muungano wa africa, united states of africa ili afrika iwe na nguvu kuliko marekani, alipanga kuanzisha bank of africa na african monetary fund ili bara africa tusiyategemee haya mashirika makubwa ya fedha ambayo ni ya kibeberu.
Kufuatia mipango hiyo, marekani na kimada wake uingereza wakaamua gadafi lazima aondoke!.
Its very sad waafrika hatulioni hili na tunawaacha wafanye wanavyotaka!.