Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi "Miafrika" watu wa ajabu. "Berlin conference" nyengine imefanyika huko Ufaransa leo...Paris conference ya kuunda mkakati wa kuiba kwa style mpya mali za Afrika.
Je tunajiuliza masuali?
Je tunapata majibu?
Afrika ingekuwa na Gaddafi 5 tu, Hawa US na NATO wangetia akili.
there are tens of billions in frozen Libyan assets, held by countries including Britain, the U.S., France, Germany and Italy. France is currently working to unfreeze some assets and French foreign minister Alan Juppe said,
"[SUP]We have to help the National Transitional Council (as) the country is devastated." ÙÙÙØ§ : France to unfreeze over 2.0 billion in Libyan assets - Ø§ÙØ´Ø¤ÙÙ Ø§ÙØ³ÙØ§Ø³ÙØ© - 01/09/2011
Umefahamu kitu hapa? Mwizi akusaidie kwa hela alizokuibia. Tena kwa masharti.
Welcome to "Western Domocracy"! dear Libyans[/SUP]
Tangu lini wa-somali, wa-mali, wa-nigeria wamekuwa ndugu zako? Kama ingekuwa ni hivyo basi waafrica tusingekuwa tunapigana au kuchukiana. Hii ya kujifanya sote ni ndugu eti kwa sababu wote ni "weusi" ni akili potofu. Hakuna watu wanachukiana hapa duniani kama watu "weusi". Na ndio maana hatuendelei!...Wanaua ndugu zetu bure hawa jamaa. Wahuni tu!
duh,ndio maaana marais waliokaa mda mrefu hawataki kuachia madaraka,wanaishi maisha ya juu huku wananchi wao ni hoehae,na wanajigamba kuwa wanawahudumia kila kitu.hiii HAIKUBALIKI
Hossana Tech tujiulize pia je serikali za kiafrica zina akili kweli? Manaake raia wa nchi nyingine waliokolewa na serikali zao machafuko yalipoanza, kwa mfano China, India, Bangladesh na kadhalika. Serikali nyingi za kiafrica zimewatelekeza raia wake walioko Libya.waasi wana akili kweli? Ina maana Libya hakuna weusi au kabla ya vita hakukuwa na watu weusi? Wanaua ndugu zetu bure hawa jamaa. Wahuni tu!

Sasa kinachotufanya tusiendelee ni huko kuitana ndugu au...!?Tangu lini wa-somali, wa-mali, wa-nigeria wamekuwa ndugu zako? Kama ingekuwa ni hivyo basi waafrica tusingekuwa tunapigana au kuchukiana. Hii ya kujifanya sote ni ndugu eti kwa sababu wote ni "weusi" ni akili potofu. Hakuna watu wanachukiana hapa duniani kama watu "weusi". Na ndio maana hatuendelei!
Of course I do not condone the lynching of innocent Africans in Libya, but that is not because these people are my "ndugus". It has mainly to do with humanity than racial affinity.
Nami kuna wakati nilikuwa nafikiria hivyo kutokana na itikadi ya Pan-Africanism tuliyokua nayo tangu wakati wa uhuru. Lakini baada ya kukutana na kukaa na waafrica toka sehemu mbali mbali katika bara hili imenibidi nibadili mwangalio wangu. Anyway, naheshimu maamuzi yako ya kuwaita waafrica wote "ndugu".Rungu,
mimi nawahesabu ndugu. Sio lazima wawe ndugu zako pia. Nani anawajua ndugu zako? Inawezekana wale wahuni ndio ndugu zako. Kuwaua watu kwa sababu ya rangi zao kwako ni sawa?
Kabla hatujaenda mbali hebu kwanza tuanzie hapa hapa kwetu. Hivi ni kweli kila mtanzania ni "ndugu" yako? Kama ni hivyo kwa nini tunanyanyasana? Nadhani ni kujidanganya kufikiria kwamba msudani wa kusini ni ndugu yako.Ina maana wewe ulijisijae kuona Msuani ya kusini akiteswa na muarabu wa north? mimi niliona kama vile ndugu zangu wanaonewa!