The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Tatizo ni kwa wale walionja uhuru wa kuishi,hasa wale walioishi magahribi na nchi nyinmginezo zinazoamini katika uhuru wa kufikiri,kuabudu n.k.
 
Aksante bi mkora kwa kubainisha syntax errors.Nimerekebisha lakini nadhani semantically uliielewa ujumbe . Kama hukuelwa basi unahitaji msaada mkubwa zaidi yangu.....

Vile vile tatizo sio nini unatumia kutype tatizo ni kutype kisahihi. Unaweza hata kutumia miguu au jiti. Anyway Ngoja nitapendekeza waendeshaji wa JF tutengeneze plugin ya swahili spell cheker ili sisi tulioshia darasa la kwanza na tunapata matatizo ya kutype kwa miguu tusiwakere kina Bi mkora .

Mtazamaji why waisting your time and energy replying msg za kipuuzi umekuwa mstaarabu sana mkuu, hata ungetumia kucha what matter ni maana halisi imefika. Huyo bi Mkora as her name suggest ni Mkora kweli.... manake kuna watu wamo humu kichawi they arent ready to change hata kama umri wao umesogea ni wapuuzi tu wameshaifanya hii JF kama soga la majumbani kwao........
 
Evidence grows of Blair's links with Gaddafi

The former prime minister met twice with the Libyan leader after the Lockerbie bombing

By Brian Brady, Whitehall Editor Sunday, 18 September 2011


AP The former PM Tony Blair and Colonel Gaddafi shake hands on 29 May 2007 after an hour long meeting

Tony Blair's shadowy links with Muammar Gaddafi were thrust into the spotlight again last night after it emerged that he met the former Libyan dictator twice for secret talks in the run-up to the release of the man convicted of the Lockerbie bombing.

A collection of documents found in Tripoli have revealed that Mr Blair was flown to Libya twice on one of Colonel Gaddafi's private jets after he left office in the UK, according to a report in The Sunday Telegraph. In the letters and emails, Mr Blair's private office repeatedly refers to Gaddafi as "The Leader".

The meetings, in 2008 and 2009, came at a time when Libya was threatening to cut all business links with the UK if Abdelbaset al-Megrahi stayed in a British jail.

The correspondence, between Mr Blair's office, the British ambassador in Tripoli and the Libyan ambassador in London, raise possible conflicts of interest regarding his roles as Middle East peace envoy, philanthropist and consultant.

The former prime minister, who brought a US billionaire to one of the meetings, makes no reference to the trips on any of his websites.

Full story
 
Mafuta na uroho wa mali utaua na kuchukua damu nyingi kabla ya ukombozi wa haki kufika..Western nations ni mataifa rafiki wa shetani. period
 
Nato wameinglia kati leo wamepiga maobmu sirte na kuua watu 350,walijua rebel wakienda wenyewe watashindwa
 
Huyu kijana katika hii video, amebaini kitu kibaya sana wanachofanya NTC. NTC sio serikali, vita haijaisha na hali bado si shwari lakini NTC wanaingia mikataba na mataifa yanayoongoza udondoshaji wa mabomu Libya. Can you smell something?

Lakini pia kwa nini US-NATO wadondoshe mabomu kuondoa uhai kwa maelfu ya raia na kuharibu kila miundombinu halafu waje wasaidie " rebuilding of Libya", au reconstruction?

[video]http://www.youtube.com/user/108morris108#p/u/1/bzzha068vPA[/video]
 
Assault on Gaddafi bastion ends in chaotic retreat

Libyan interim government forces fled on Sunday in a chaotic retreat from the town of Bani Walid, after failing in yet another attempt to storm the final bastions of loyalists of ousted leader Muammar Gaddafi.
WRAPUP 4-Assault on Gaddafi bastion ends in chaotic retreat | News by Country | Reuters

Fighting reignites in Gaddafi's hometown of Sirte

Libyan interim government fighters fired rockets from the southern entrance to Sirte on Sunday and exchanged heavy fire with Muammar Gaddafi loyalists holed up in a conference centre.
"The situation is very, very dangerous," anti-Gaddafi fighter Mohamed Abdullah said on the edge of the coastal city, where the ousted leader was born.

"There are so many snipers and all the types of weapons you can imagine," he said, as rockets whooshed in the air and black smoke rose above the city, which is controlled by soldiers loyal to Gaddafi.

Fighting reignites in Gaddafi's hometown of Sirte | News by Country | Reuters

Inawezekana hawa rebels wanajaribu kwenda na kukimbia ili ku-expose targets kwa NATO.
Hali inakuwa ngumu kwa rebels na NATO kwa sababu sasa civilians fight to protect their cities.
NATO wanaua na wataua wananchi wengi sana ili waweze ku-declare ushindi kabla ya NATO mandate kwisha 27.9.
 
Back
Top Bottom