Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
Nonda na wakuu wengine asanteni sana, manews kama tupo libya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwisho wa jamaa ushafika .. so haya mapinduzi yanaelekea chini nini.. i mean east africa?
Libya itakombolewa na waafrika.Na si waarabu.Ghaddafi alikuwa akiwapa kazi unadhani hawapi kazi kwa mara nyingine?Ndiyo maana hao NTC wakiwakamata hao weusi wanafanyia mbaya.Nina uhakika kama nlivyosema hapo nyuma.Gaddafi is very more likely to reclaim Libya.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...![]()
....Afrocentricity International condemns the attacks on africans in Libya
Libya itakombolewa na waafrika.Na si waarabu.Ghaddafi alikuwa akiwapa kazi unadhani hawapi kazi kwa mara nyingine?Ndiyo maana hao NTC wakiwakamata hao weusi wanafanyia mbaya.Nina uhakika kama nlivyosema hapo nyuma.Gaddafi is very more likely to reclaim Libya.
Na kauli ya Zuma haina maana kuwa hasapoti Gaddafi.Huyu mtu alikisadia chama chao dhidi ya makaburu undhani hawatatoa msaada kwa siri?Mugabe je?
Ngoma hawawezi kuachiwa kiurahisi kama wanavyodhani.Halafu hao green nadhani wana uchungu na taifa zaidi so wanapambana kwa moyo kuliko hao vibaraka.