The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Nchini Libya hali ya usalama imezidi kudorora, kutokana na mapinduzi yaliyopangwa kufanyika na Ghaddafi dhidi ya NATO na Rebels!! Mapinduzi hayo ambayo yamekua Branded 14-October-Uprising, ni kwa ajili ya kuondoa kabisa uwepo wa NATO nchini Libya..

Mapinduzi hayo yalitangazwa na msemaji wa serikali ya Libya(Ghaddafi) wiki hii.. Channel ya Al Arabia ambayo ndo imekua ikitoa taarifa kuhusu Ghaddafi imekua jammed kwa muda kadhaa, kutokana na kile kinachoelezwa kuzuia upatikanaji au usambazi wa 14-Uprising!! Nchini Tripoli leo Uprising imeanzia Abu Salim, na watu kutoka maeneo yalio nje ya Tripoli wamekua wakiandamana!! Makabila kadhaa ikiwemo Warshefalla wametiririka kuelekea Tripoli kwa ajili ya ku push liberation of all the cities!! Mapigano yanazidi kuendelea katika maeneo mengine nchini Libya katika majiji mbali mbali...

May God bless all Libyans!!

PressTV - Fighters, Gaddafi forces battle in Tripoli

BBC News - 'Gaddafi loyalists' and Libya NTC trade fire in Tripoli

http://uk.reuters.com/article/2011/10/14/uk-libya-tripoli-idUKTRE79D34820111014
 
Jeshi la Wamarekani wametua Uganda tangu juzi na shughuli ni pevu mno maene yote hayo nyuma ya pazi!!!!!!!!! Kwao wao wafuga magaidi ndio basi tena.
 
[h=2]Gaddafi forces claim 200 rebel soldiers killed in Tripoli[/h]­Forces loyal to ousted Libyan leader Muammar Gaddafi claimed they had killed more than 200 rebel soldiers in fighting in the capital Tripoli on Friday. The colonel's troops told reporters they are battling through the city and are approaching the Rixos Hotel, where many foreign journalists are stationed. Libya's National Transitional Council confirmed that forces loyal to the former regime seized the town of Gharyan 100 kilometers south of the capital, the Itar Tass news agency reported. Gaddafi's green flags can be seen flying all around Gharyan.

October 15, 2011 — RT News line
 
libyan-rebels-killing-blacks-300x200.jpg
20110328082102_97936.jpg
images

Libyan-rebels-guard-Black-Libyans-accused-of-being-mercenarites9-300x225.jpg
Libya-rebels-may-be-killing-blacks-G6BAQEN-x-large.jpg

ipad-art-wide-56libya-420x0.jpg
rebelles-libyens-5.jpg
2_libye_massacre_noirs4.jpg
...

....Afrocentricity International condemns the attacks on
africans in Libya
 
Libya itakombolewa na waafrika.Na si waarabu.Ghaddafi alikuwa akiwapa kazi unadhani hawapi kazi kwa mara nyingine?Ndiyo maana hao NTC wakiwakamata hao weusi wanafanyia mbaya.Nina uhakika kama nlivyosema hapo nyuma.Gaddafi is very more likely to reclaim Libya.
Na kauli ya Zuma haina maana kuwa hasapoti Gaddafi.Huyu mtu alikisadia chama chao dhidi ya makaburu undhani hawatatoa msaada kwa siri?Mugabe je?
Ngoma hawawezi kuachiwa kiurahisi kama wanavyodhani.Halafu hao green nadhani wana uchungu na taifa zaidi so wanapambana kwa moyo kuliko hao vibaraka.
 
Mkuu ni kweli unachoongea. Mwanzoni mathaba nilikuwa siwaamini amini lakini kadili siku zinavyosonga mbele nazidi kuwaamini kwa habari zao, maana vyombo vya west wanavyofanya ni ku swap-over. Yani upande wa mathaba walipowaweka green resistance wao wanaweka rebel na sehem walipoweka rebel wao wanaweka green.
 
Back
Top Bottom