Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si ndiye alikuwa anatangaza igunga kwamba mgombea ubunge kupitia chadema kajitoa....lolUthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.
So far i haven't seen any pictures zaidi ya reports zinazosema he's dead halafu wanakwambia he's wounded in both legs picha hakunaIko wapi?
Live blog: Libyan TV reports Gadhafi dead; report unconfirmed – This Just In - CNN.com Blogs
Bado kuna utata NN...lakini msemaji wa NTC alikuwa akizungumza BBC dakika chache zilizopita na kuthibitisha kwamba Gaddafi amefariki. Tusubiri picha ya mwili wake labda itapatikana mtandaoni muda mfupi ujao kabla ya mwili wake kwenda kutupwa baharini.
BAK,kuna picha wameitoa looks valid.Wameshatangaza rasmi.Wamemua.Wanaonekana wamemkamata kama wanachinja mbuzi kwenye hiyo picha,blood everywhere!This photo looks credible.Hao NTC kwangu walishapoteza credibility kwa kiasi Fulani tokea wajigambe kumuweka Saif chini ya ulinzi wakati haikuwa hivyo. So mine here is a wait and see approach.
Hata mwanawe walisema hivyo hivyo mwisho wakasema ametoroka
Hebu tuwekee ushahidi wa picha. Inawezekana ikawa propaganda tu
Inawezekana NATO wamechanganyikiwa baada ya Jeshi la Gaddafi na wapiganaji wanaomuunga mkono kubadilisha njia za mawasiliano na hivyo wanajaribu kutafuta vyanzo vya mawasiliano na hivyo kujua locations ambazo zitakuwa targets.
Upande wa Gaddafi wametoa amri ya kusitisha kutoa taarifa za mwenendo wa mapigano na movements of troops. Kabla kila ilipotokea mtu alitoa updates kutoka location moja, siku hiyo hiyo, NATO wanadondosha mabomu.
Taarifa sasa ni kwamba hawajui kama yuko hai ama kafa.Huu kweli upuuzi!Yani hawa hawana simu za kuwasiliana na video and pics?eEti they think its Gaddafi,kwani they cant see?labda wawe wanataka ku confirm through DNA.
Mnakumbuka ilisemekana kuwa kulikuwa na duplicates (watu waliofanana na Gaddaffi) ambao mara nyingi walikuwa wanatumika kumreplace yeye katika baadhi ya matukio? Isijekuwa wamekamata au kuua one the the duplicates.
Let's wait kwani bado ni fununu tu hakuna picha yoyote.
Duh kuna watu mna mapenzi....nyie kama mnampenda sana andaeni matanga yake mapema au kama vipi tutamzika baharini kama Osama aliwe na samaki.Uthibitisho wa aina gani? Picha ya maiti yake au maneno ya watu? Manake isije ikawa kama yale mambo ya Saif kukamatwa halafu kesho yake jamaa anaonekana mtaani akitanua na SUV.
Hao NTC kwangu walishapoteza credibility kwa kiasi Fulani tokea wajigambe kumuweka Saif chini ya ulinzi wakati haikuwa hivyo. So mine here is a wait and see approach.
Weka picha tafadhali