Mbona naonekana kama anacheka?![]()
Sijui kama hii picha says it all au vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona naonekana kama anacheka?![]()
Sijui kama hii picha says it all au vipi
Umzike wewe na nani?Acha upambe na maudenda yako.Andaa matanga ya ubongo wako mfu!Duh kuna watu mna mapenzi....nyie kama mnampenda sana andaeni matanga yake mapema au kama vipi tutamzika baharini kama Osama aliwe na samaki.
| NTC military chief says toppled leader died of wounds following capture near his hometown of Sirte. |
Asante ufaransa. Hapo safi. Bado uganda na kule zimbabwe. Dawa yao ndio hiyo maana kwa sanduku la kura hawataki kutoka
NTC OFFICAL. Gaddafi body has being taking away by elikopter to unknown location.
National Transitional Council after a two-month siege today, reports suggested Gaddafi had been seized, wounded in both legs, after trying to flee in a convoy targeted by Nato. Other reports suggested that Gaddafi had died…