Ghadafi ana dharau sana ,aliwatusi wananchi wake ,akawaona wote hawajui kitu leo kuanzia benghazi, tripoli ban walid ni shangwe ,kwani muosha huoshwa ,wanaNTC wao hawajui matusi wamenyonga na kuua kabisa,anaungana na Rafikize saddam,Osama hili ni somo tosha kwa yule Rais wa Iran Ahmeidnijad anaye make noisy kuwa israeli ifutwe kwenye ulimwengu,ajipange maana watam-roast kama mshikaki naungana na wote wanamageuzi, wapenda uhuru, na kujali haki za msingi za raia kusherehekea ushindi huu wa kipekee!RIP GHADAFI kwa kiwango kile kile utakachopendwa ndivyo utakavyochukiwa!