The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Je hii ya Gaddfi kufa ni misinfo au propaganda?

Kama ni NTC, US-NATO misinfo basi wanastahiki Nobel peace Prize kama ya Obama

Gonga hapa Libya S.O.S.
 
Where is the value of Sovereignty in Africa kama wewe unashangilia yaliyofanywa na Western countries in Libya?

Sovereignty gani hiyo ya kulinda maslahi ya mtu mmoja tu kutawala? Kwani lazima atawale YEYE tu? 42 years? Cammon men be serious! Kama hiyo ndio sovereignty hatuihitaji.
 
Je hii ya Gaddfi kufa ni misinfo au propaganda?

Kama ni NTC, US-NATO misinfo basi wanastahiki Nobel peace Prize kama ya Obama

Gonga hapa Libya S.O.S.
Yaani Nonda unataka kusema huyo kwenye hayo mapicha yote yaliyozagaa kwenye mtandao ni Carlos Santana?
 
Fuatilia history ya US vyema mkuu.Na reference yangu haikuwa kipindi cha uhuru.Historia ya kupigania uhuru ya wamarekani ni tofauti na historia ya serikali dhidi ya native indian.Apples to apples mkuu.

Mfano wangu ulijikita zaidi kwenye ukweli kuwa uhuru tunadaiwa kuwa nao lakini hatuna maamuzi.Wahuni wakajiita watanzania wakasaidiwa wanaweza kuwaondoa hata viongozi wenu.(Sina maana napenda serikali yetu inavyofanya kazi)

Nina amini pia bila ya msaada mkubwa wa kuiharibu nchi hiyo ya Libya kwa kiasi walichofanya,wasingeweza kuiangusha serikali ya Libya,pi kwa upande mwingine,hata hayo yangekuwa yanatokea kwao wasingeungana.

Ustake kuniambia hujui kuwa mataifa hayo hayataki kabisa idea ya eti Afrika kuungana.

Sasa mfano mwingine ni hao wa wallstreet.Wakitokea wahuni wakawalima askari wa marekani risasi,askari hao waka retaliate na raia wakafa,je serikali nyingine ie uchina wanaweza kwenda kuwatetea wananchi hao kwa kuiondoa serikali iliyopo madarakani?

Kama kuna mtu angekuwa na malengo dhabiti kabisa dhidi yao kama ilivyo kwetu,basi narudia tena,US isingekuwa US hii unayoifahamu.

Ndo ukweli huo.

Ungesoma tokea mwanzo hii issue imeanzaje ungenielewa. Kuna mdau alisema Gaddafi alikuwa anataka kuanzishwa kwa United States of Afrika lakini viongozi wengine wa Kiafrika wakam let down. Mimi nikamjibu kuwa they way Gaddafi alivyotaka kuanzishwa kwa United States of Africa was wrong na isingefanikiwa ahat kama angepata support toka kwao. Nikasema kuwa intergration is a process inayo involve stages mbali mbali za integration na kuwa political union is the last stage.

Nikatoa na mfano wa European Union ambayo imefuata hizo stages lakini wameshindwa kuafikiana kwenye politcal union. Nikasema ambition ya Gaddafi ya kuwa na United States of Africa insinge suceed kwa sababu alitaka a-apply the integration process in a reverse order. Kuwa tuanze na political union then mambo mengine baadae. Nonda akaluliza vipi Marekani waliunganaje na kama walitumia hiyo integration process. Nikamfafanulia ni kwa nini hawakuitumia na ni kwa nini kama afrika walitaka kuitumia haita succeed. In short the sub-issue ilikuwa the creation of an effective United States of Africa.

Nikirudi kwenye point inawezekana uhuru tunadaiwa kuwa nao lakini hatuna maamuzi simply because we are still economically dependent. Hatuko huru kiuchumi. Sasa badala ya ku create chombo ambacho kitatu-united economically ili tuwe na voice moja kiuchumi, Gaddafi alitaka kuwa na chombo cha kisiasa zaidi kwa ajili ya interest zake za kisiasa.

Sijasema kuwa sitaki kujua kuwa mataifa hayo hayataki kabisa idea ya Afrika kuungana. Kama Marekani walikuwa hawataki the expansion of the European Union surely hawatataka muungano wa Afrika. Ndio maana unakuta kuna multilateral agreement ina deal na issue fulani halafu unakuta Marekani inaingia kwenye bilateral agreements na nchi hizo hizo ambazo zipo kwenye hiyo multilateral agreement.

Lakini point yangu ni kwamba integration has to start from somewhere. You can't just come to Afrika after being kicked by your fellow Arabs then utake kuanzishwa kwa United States of Africa, halafu uwe kiongozi wa hiyo organisation na makao yake makuu yawe kwenye mji uliozaliwa. Sidhani kama integration ya aina hiyo itafanikiwa kwa vile imejaa ubinafsi wa madaraka na siasa bila foundation yoyote. Na tumeona jinsi AU ilivyosepond kwenye mgogoro wa Libya.
 
Ghadafi ana dharau sana ,aliwatusi wananchi wake ,akawaona wote hawajui kitu leo kuanzia benghazi, tripoli ban walid ni shangwe ,kwani muosha huoshwa ,wanaNTC wao hawajui matusi wamenyonga na kuua kabisa,anaungana na Rafikize saddam,Osama hili ni somo tosha kwa yule Rais wa Iran Ahmeidnijad anaye make noisy kuwa israeli ifutwe kwenye ulimwengu,ajipange maana watam-roast kama mshikaki naungana na wote wanamageuzi, wapenda uhuru, na kujali haki za msingi za raia kusherehekea ushindi huu wa kipekee!RIP GHADAFI kwa kiwango kile kile utakachopendwa ndivyo utakavyochukiwa!

We nawe naona sasa ndo unatutusi Najad kakufanya nini,unafurahia sana hii nchi inapokandamizwa kwa kujidhatiti,we nawe ni UN,hahaahah,jaribuni pale ile Uranium ina kazi maaalum na imekamilika,test mashariki ya kati,hakika hakuna anyependa kufo,ila anaye stahili kifo hata mie huwa silaumu.
 
'Gaddafi dead' story stinks? 'Skepticism over NATO & NTC reports'

The following content has been identified by the YouTube community as being potentially offensive or inappropriate.

Viewer discretion is advised.

Last edited by a moderator:
Posted at 01:27 PM ET, 10/20/2011
Saif Gaddafi on the run, Libyan prime minister says
By Melissa Bell

This post has been updated.
Depsite reports from al-Arabiya network that Saif al-Islam Gaddafi, the son of Moammar Gaddafi, may also have died in Libya Thursday, the Libyan prime minister Mahmoud Jibril told The Post's Mary Beth Sheridan that Saif Gaddafi managed to escape and was still on the run.
LIBYA-GADDAFI-SON.jpgLibyan leader Moammar Gaddafi's most prominent son, Saif al-Islam. (Chris Helgren/Reuters)

Saif Gaddafi had been seen as the heir apparent to his father. A fluent English speaker, Gaddafi once was considered as Libya's liaison to the West. In 2008, he called for political reform in his country.

However, during the civil war, Saif Gaddafi played a large role in the crackdown of the rebels. In one of the more dramatic twists in the war, when Tripoli appeared poised to fall to the rebels, Saif Gaddafi appeared outside a compound in the capital city, shaking hands with loyalists and telling the Western media that his family was still very much in control of the country.

RTRIDSP_3_LIBYA.jpgSaif Al-Islam Gaddafi, son of Moammar Gaddafi, greets supporters in Tripoli on Aug. 23, 2011. (Paul Hackett/Reuters)

Washingtonpost.blogspot

Ingawa Gaddafi ameondoka lakini ameiacha Libya katika hali mbya sana ya mgawanyiko wa kikabila ambao utawaletea taabu sana hawa waliompindua, hivyo nchi hiyo kutotengemaa kwa muda mrefu ujao kwani makabila mbali mbali yatagombana kupata sehemu ya rasilimali za nchi hiyo na hasa wale waliokuwa wapiganaji watataka malipo ya jasho lao na hapo ndio vurugu zitakapoanza. Kikwete kwa kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini yao anapandikiza mbegu za vurugu hapa nchini. Hajateua wenyeviti wa bodi nyingi zilizo kwisha muda wake simply because hawajapatikana waislam wenzie wa kujaza nafasi hizo, anangoja pengine mpaka wazaliwe; hii ni hatari kwake na kwa nchi pia!!
 
'Gaddafi dead' story stinks? 'Skepticism over NATO & NTC reports'

The following content has been identified by the YouTube community as being potentially offensive or inappropriate.

Viewer discretion is advised.

huyu babu yupo chicago lakini anaongea kama yuko libya. eti tripoli, misatra, bengazi, nk iko chini ya majeshi ya gaddafi. wakati mwingine ukweli unauma lakini sometimes you have to accept the reality.
 
Last edited by a moderator:
Sovereignty gani hiyo ya kulinda maslahi ya mtu mmoja tu kutawala? Kwani lazima atawale YEYE tu? 42 years? Cammon men be serious! Kama hiyo ndio sovereignty hatuihitaji.
Mbona hao wanaowaletea wananchi umasikini hawaondolewi?Kila nchi ina historia yake unique.Libya ni tajiri sana na hiyo mambo yenu kama mnayofanya kuuza nchi haiukuwepo.
 
watakuja juta waasi na walibya waliompinga mwanamapinduzi ghadafi,rest in peace baba tunakuheshimu,nabii hakubaliwi kwao wasubir kukamuliwa na kudhalilishwa na wazungu
 
New kutoka Libya mpya inayokataliwa na Membe kuwa Yule Mtoto Mbishi korofi fisadi Saif nae keshakamatwa Kwanza walimchapa risasi mguuni akafanikiwa kusepa na akakimbilia kwa hospital baada ya kuona damu zinamwagika kama mvua Sasa Libya ipo Huru 98% News zaidi Tutajuzana
 
Si kweli. Saif ametoroka. Labda useme Mutassim
 
Jamani mbona nimesikia hajafa wala kukamatwa?ikiwa hvyo mbona wazungu watakuwa wameumbuka,
 
May his soul rest in peace ..
Kuna watu hawana roho yaani ni wabaya kyasi kwamba hauwezi ukawapa jina litakalo fit description yao ..
Mungu atawaaonesha all those who were involved kumuua na pia you americans and wanaomhate ..
R.i.p
Imeniuma sana ..
 
Ungesoma tokea mwanzo hii issue imeanzaje ungenielewa. Kuna mdau alisema Gaddafi alikuwa anataka kuanzishwa kwa United States of Afrika lakini viongozi wengine wa Kiafrika wakam let down. Mimi nikamjibu kuwa they way Gaddafi alivyotaka kuanzishwa kwa United States of Africa was wrong na isingefanikiwa ahat kama angepata support toka kwao. Nikasema kuwa intergration is a process inayo involve stages mbali mbali za integration na kuwa political union is the last stage.

Nikatoa na mfano wa European Union ambayo imefuata hizo stages lakini wameshindwa kuafikiana kwenye politcal union. Nikasema ambition ya Gaddafi ya kuwa na United States of Africa insinge suceed kwa sababu alitaka a-apply the integration process in a reverse order. Kuwa tuanze na political union then mambo mengine baadae. Nonda akaluliza vipi Marekani waliunganaje na kama walitumia hiyo integration process. Nikamfafanulia ni kwa nini hawakuitumia na ni kwa nini kama afrika walitaka kuitumia haita succeed. In short the sub-issue ilikuwa the creation of an effective United States of Africa.

Nikirudi kwenye point inawezekana uhuru tunadaiwa kuwa nao lakini hatuna maamuzi simply because we are still economically dependent. Hatuko huru kiuchumi. Sasa badala ya ku create chombo ambacho kitatu-united economically ili tuwe na voice moja kiuchumi, Gaddafi alitaka kuwa na chombo cha kisiasa zaidi kwa ajili ya interest zake za kisiasa.

Sijasema kuwa sitaki kujua kuwa mataifa hayo hayataki kabisa idea ya Afrika kuungana. Kama Marekani walikuwa hawataki the expansion of the European Union surely hawatataka muungano wa Afrika. Ndio maana unakuta kuna multilateral agreement ina deal na issue fulani halafu unakuta Marekani inaingia kwenye bilateral agreements na nchi hizo hizo ambazo zipo kwenye hiyo multilateral agreement.

Lakini point yangu ni kwamba integration has to start from somewhere. You can't just come to Afrika after being kicked by your fellow Arabs then utake kuanzishwa kwa United States of Africa, halafu uwe kiongozi wa hiyo organisation na makao yake makuu yawe kwenye mji uliozaliwa. Sidhani kama integration ya aina hiyo itafanikiwa kwa vile imejaa ubinafsi wa madaraka na siasa bila foundation yoyote. Na tumeona jinsi AU ilivyosepond kwenye mgogoro wa Libya.
Mkuu nimekupata,however fuatilia vizuri historia ya kuungana kwa wamarekani.Hawakuungana kwasababu eti walikuwa masikini tu.

Waliungana kwasababu maendeleo yaliongezeka and so therefore a need to unite arose...Na willingness pia ilkuwepo.

Marekani iliunganishwa na bishara na si mapenzi kati ya watu wa state to state.

Ndo ukweli mkuu,fuatilia issues,ie Supremacy clause utajuwa nachomaanisha.
 
gadafi-calvat.jpg

Madikteta wengine hujificha chini ya mahandaki kama alivyofanya Sadam Husein, kinyume cha hao Gadafi alijiamini mno kiasi cha kutoandaa mahandaki ya kujificha, akaishia kujificha kwenye mifereji (karavati) kama inavyoonyeshwa kwenye picha alipouawa.
 
Dakika za mwisho wakati Gaddafi yu hai!

Hii video ita wa hunt hawa waasi maisha yao yote....Wamechemsha.

Ninaamini walimwua baada ya kumakamata.Reconciliation itakuwa ngumu sana.

Stability will take very long to be accomplished given this actings....And only if they can achieve peace.

Nawaonea huruma,sikutegemea wangemfanyia hivi mtu aliyeijenga nchi yao kiasi hicho.

Huu ni uhuni tu....Si juzi tu walikuwa wanakumbatiana naye?Kina Condi na kina Hillary?Juzi tu!Sasa huo ubaya wa kumfanyia haya mambo ya kinyama ulianza juzi?
Kwa upande wa walibya wenyewe,ngoja tuone hiyo demokrasia itakavyofanya kazi kwenye ukabila.

Tuone jinsi watakavyoachiana madaraka kidemokrasia.

Tuone kama wakipiga kura,halafu aingie madarakani rais ambaye ni anti west kama watafanya nini tena!

This was not the way to go,period.Sana sana watakaonufaika ni walio invest pesa,kina Sarkozy na wenzao, na sasa watalipwa maradufu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom