The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Shughuli imeanza.

 
Last edited by a moderator:
Sadam alionewa ila GADAFF alistahili kuuwawa tena kwa namna ya ukatili sana
 
Nimepoteza babu zangu kwenye vita ya Kagera na Ghadafi alimsaidia Nduli kupoteza roho za watanzania, leo hii unasema shujaa...? nimesubiri kwa muda mrefu sana, hatimaye misho wake umefika , natamani Nyerere angekuwepo hai ashuhudie kufa kwa adui wa taifa letu, huyu mtu alikuwa adui kwa taifa letu, nashangaa kuona rais wetu wa sasa jk ana urafiki na adui yetu
 
Mkuu Askari Kanzu

Umeshasema tuache ya Gaddafi tujadili mustakbali wa Afrika. Una input yoyote?
Nini mustakbali wa Afrika( somo la Libya) na nini tunakihitaji sasa na tutakifikiaje?

Au uliposema tujadili mustakbali wa Afrika ulikuwa unatania? Kama hukuwa unafanya "masihala". Weka desa (UDSM term) hapa.
Si lazima mimi kuweka desa (huu msemo wa kileo/kisasa? Haukuwepo enzi za Mwalimu). Kila mtu anao huo uhuru wa kudesa. Hata wewe pia. Hapa jukwaani hatulazimishani!
 
Kwangu mimi Gaddafi atabaki kuwa "HERO" aliyoyafanya nchini kwake hakuna nchi ya Afrika inaweza yafanya, aliwapa kipaumbele wa Libya kwenye Elimu, Makazi na Afya ndiambie ni nchi gani inatoa kipaumbele kwa wananchi wake kama Libya!! Unasoma BURE, Matibabu BURE, Umeme BURE, Maji BURE unapewa Nyumba ya kuishi BURE. Ingawa ana madhambi yake kama binadamu mwingine yule but kwangu atabaki kuwa HEROOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!

Libya itakuwa kama Afighastan kila kukicha vita vita vita kisa NCHI ZA MAGHARIBI zimewapekesha watakavyo nawaonea huruma sana.
Ikumbukwe damu iliomwagika kipindi cha utawala wake ni ndogo kuliko ile ya kumwondoa kimabavu. Damu hiyo ilio mwagika itawatafuma kidogokidogo hadi mwisho wa kiama.
 
in future atauawa mwingine utakuja hapa na kuandika tena hayo. Kwa staili hii utawa-RIP madikteta wengi. Shame on you.
Mkuu EMT,
Mimi siamini sana kama Gaddafi alikuwa dictator. Hii ni ideology created by Western allies tuamini hivyo. Kama ni mfuatiliaji mzuri wa report za WHO na UNESCO utakubaliana na mimi kuwa Libya was more far away in terms of development(Libya is considered to be the Switzerland African continent). In terms of Education wapo mbali soma link hii hapa http://stats.uis.unesco.org/unesco/..._Language=eng&BR_Country=4340&BR_Region=40525,World Bank Libya Country Brief. Sasa huo udictator wa Gaddafi unatoka wapi?
A lot have been done in Libya under Gaddafi regime na kama unataka nitakupa evidence nyingi tu. Kuna Professor mmoja kutoka Saint Mary's University in Canada tafuta article zake kuhusu Libya itakufungua sana.
 
Si lazima mimi kuweka desa (huu msemo wa kileo/kisasa? Haukuwepo enzi za Mwalimu). Kila mtu anao huo uhuru wa kudesa. Hata wewe pia. Hapa jukwaani hatulazimishani!
Mkuu
Hapa hulazimishwa. Unaombwa ufanye hisani. Usifiche elimu na maarifa huenda yakatusaidia katika kuitengeneza Afrika.
 
Khaaa, Dunia ina mambo kuna mwingine hapo juu kama ni kweli aliyoandika amewakaribisha mbu kusherehekea juu ya mwili wake na watoto wake kama anao! Na ajabu akishapata malaria itabidi atumie dawa ambazo pia zimepatikana kwa msaada wa watu wa Marekani!!! Vinginevyo kama hutaki ukachimbe mizizi ya mipapai uchemshe kabisa...!
 
Kisa mafuta
Wa Libya walikuwa wanaishi maisha ya raha bila kulipa kodi.
Sasa wanaingia katika maisha mapya ya kuanza kujitegemea watamkumbuka Gadaffi baada ya mwaka.
 
slide_188970_337830_free.jpg
 
huruma wapi ye kawaacha wangapi au kwa sababu c viongozi acheni hizo ukiua kwa upqnga utakufa kwa upanga
 
hakuna hero wala nn muuaji tu kama walomuua hero kina mandela bana hawaui mtu nA WANAHESHIMIKA MPAKA LEO
 
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha
Mirembe panakuhusu.
 
Back
Top Bottom