Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Bahati yake. Walichomfanyia babaye kinafikirisha mara mbili mbili.Source: Sky news.
waacheni jamani na nchi yao watakavyoifanya ndivyo hivyo sisi tuangalie mwanzo wao na huo mwisho wao mimi ninaogopa isije Libya ikawa Second IRAQ?NTC katika mambo ya mwanzo waliyofanya,ni kuADOPT SHARIA LAW!
waacheni jamani na nchi yao watakavyoifanya ndivyo hivyo sisi tuangalie mwanzo wao na huo mwisho wao mimi ninaogopa isije Libya ikawa Second IRAQ?
By James Copnall
BBC News, Khartoum
He said God had given Sudan a chance to respond, by sending arms, ammunition and humanitarian support to the Libyan revolutionaries.
"Our God, high and exalted, from above the seven skies, gave us the opportunity to reciprocate the visit," he said.
Hao NTC si zaidi ya grupu la wahuni ambao wanapata taarifa kutoka kwa warlords wa factions za tofauti za kikabila na kiimani.Hayo ndio matatizo ya kupindua nchi kabla ya kujua mkiingia ikulu mtafanya nini.
Hawa NTC kila wanachojisikia kufanya wanajifanyia tu.
Dogo yule ni ceremonial figure hana nguvu ktka maamuzi ya kiserikali England wana uchaguzi wa pm kama israel, india, germany walivyo na Rais asiye na maamuzi ya kiserikali