The rise of Sauli luxury buses

The rise of Sauli luxury buses

Ndo shida ya wabongo tajiri akifa Hela za manyoka masikini akifa ni mipango ya mungu au alipita anakula maindi hapa kumbe ndo alikuwa anatuaga
Kwa tajiri akizaliwa mtoto mwenye matatizo ya afaya ya akili, maskini tunasema kamtoa kafara kwa mganga ili apate utajiri. Huku kwa maskini tunao hao watoto kibao na tunaona ni bahati mbaya tu.
 
Kwa tajiri akizaliwa mtoto mwenye matatizo ya afaya ya akili, maskini tunasema kamtoa kafara kwa mganga ili apate utajiri. Huku kwa maskini tunao hao watoto kibao na tunaona ni bahati mbaya tu.
Masikini tuna chuki sana
 
Kwa hali hii tafuta kidogo ule unywe ulale...
 
Unajua bus moja ni tsh ngapi katika hayo?maskini huwa mna wivu sana usio na sababu.

ukitaka kujua habari za tajiri
Tuulize masikini
Na updates zinasema zimebaki 4 na zote ziko garage
Kwahiyo kaa kwa kutulia mlugaluga
 
Alishapotea tayari.

Ila nasikia kuna chuma mpya alikuwa ameagiza. Sasa sijui itakuaje.
 
Nyingine zilikuwa za mkopo

Kama ile DXE aliposhindwa kurejesha ikapigwa mnada Katarama akainunua

Ile DWL ilipomshinda ikapigwa mnada Tembo Safaris wakainunua

Anyway mwamba kaacha watoto 16
Jaribu ushindwe, usishindwe kujaribu
 
Moja ya safari yangu Bora kabisa kuwahi kutoka mbeya kwenda dar ilikua ni mwaka 2022 nilipanda sauli Moja T,,,,DWL ilikua na dereva mwanyilu,,,tuta za igawa zile na iyovi ilikua ni moment nzuri sana ,,R.I.P SAULI
 
Back
Top Bottom