Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Jamani ninyi mnao kaa huko Dsm mnajua idadi ya maloli yanayosafirisha mizigo mpaka mseme huenda kukawa hakuna mzigo wa kushiba? Ukikaa kahama au Tunduma ndio utajua umuhimu wa reli. Maelfu ya malori yanapita na kuharibu barabara.Mkuu Yusuf Kashaju , kwanza nakubaliana na wewe, sisi Tanzania tuna tatizo la kupanga mipanga mkakati bila wenyewe kujipanga kimkakati, tulikimbilia kununua mi dege, bila kuwa na business plan, as a results, midege imepaki tuu, huku hata timu zetu, zikikodi ndege za jirani kwa safari za kimataifa!. Ili SGR izalize kwa faida, ni lazima ipate mzigo wa kushiba, hivyo tulipaswa saa hizi tunavyojenga, at the same time tunajenga uwezo wa kuzalisha mzigo wa kusafirishwa na SGR. Kuchangamkia fursa: WaTZ tuna matatizo!. Pongezi Rais Magufuli kuwa M/Kiti SADC, usiposaidia WaTZ kuchangamkia fursa, tutaishia kuwa watazamaji tu!.
P
Nchi kama South Africa wanabarabara nzuri hii ni sababu ya mizigo mingi kusafirshwa na reli. Kwa hiyo pamoja na kusaidia kusafirisha mizigo,hata barabara za Tanzania zitadumu kwa muda mrefu.