The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

Sijui kwanini watu uwa mnadhani ile series ni ya 50cent wakati siyo kweli 50cent alikuwa actor na director msaidizi kwasababu kapitia maisha ya kitaa lakini series siyo ya kwake
50 cent ni Executive producer wapo 3 kwenye Power.
 
Uko sahii kabisa
 
Huyu demu angepata watoto wa2 sasa,atakuja kustuka umri kwa kheri,watoto watamwita bibi
[emoji23][emoji23] ataitega kwa huyo Rotimi akitoka hapo na mimba juu maana yy anaweza ona bongo hakuna mwanaume wakuzaa naye.
 
Anasambaza miwaya tuu! Dogo kaisha nasa! Zamani tulikuwa tunaondoka na kilo, Sasa hivi tunaondoka wazima! Huyo v mapesa ni live wire!
 
Ni mmarekani aliyezaliwa na wazazi wanigeria, kazaliwa na kukulia marekani sema jamaa anaupenda uafrica and that's why now days anasafiri mara kwa mara Naija, safari yake kubwa ilikuwa mwanzoni mwa mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…