Kwamba Jux alikuwa anamsubiri Vee warudiane? Jux kwa yule demu wake hakuna mapenzi? Kwanza Vee mwenyewe kauli zake zilikuwa zinaonesha hana future na Jux mara zote amekuwa akisema hawawezi kuoana kwa sababu wana imani tofauti na yeye mama ake ni mlolkole hawezi kuwa mwislamu kumfuata Jux, so hata Jux alikuwa anajua anasafisha rungu tu kwa muda uliopo then party ikiisha poa.Yaani Vee kanifurahisha sana kwa hilo. Jux atakuwa kazima data kwa muda
Na wanaija wanavyojua kudekeza na kudanganya... Kwa Vee ni raha tupu
Iweke jombaajamaa anajua kuimba sana tafuta ngoma yake inaitwa love riddim ni hatari aisee
Ila huyu Vanessa anawachelewesha watoto wake kuanza shule
vunja kibanda, jenga ghorofa...hahahaaHvyo ndo inavyotakiwa, unatoka na mtu mpaka ex ajione fala 😳
hahahhaaa... jamaa kanusurika kifo zaidi ya mara 10.. hahaa roho ya paka.Rotimi aka Dre. Jamaa ni Mnigeria na amecheza kama snitch kwenye hiyo series ya Power.
Ni mshikaji sana na 50 Cent in real life ndio maana fans wameanza kulalamika kwamba jamaa anapendelewa kwenye hiyo series kuliko hata main characters.
Kama sikosei ni mwanamuziki pia!
Sasa je!vunja kibanda, jenga ghorofa...hahahaa
Hivi mbona Episode ya 9 haijatoka wiki ya pili sasa hii inakata? Nini kinaendelea nijuze tafadhali kama unafahamuhahahhaaa... jamaa kanusurika kifo zaidi ya mara 10.. hahaa roho ya paka.
Na this week Ghost kam-frame jamaa anachomoka tena kiaina.hahahhaaa... jamaa kanusurika kifo zaidi ya mara 10.. hahaa roho ya paka.
50 cent ni Executive producer wapo 3 kwenye Power.
50 cent ni Executive producer wapo 3 kwenye Power.
Nadhani ni kwa sababu yeye ndio ameibeba kuanzia kwenye production mpaka marketing.
Kemp amecreate tu idea na anashiriki kwenye kuirun lakini aliyeibeba na kuifikisha ilipo sasa ni Curtis mzee.
Sijajua shares zimekaaje lakini 50 ana SAY kubwa sana pale na hata washiriki wengi wanamrefer kama Boss.
Watch interviews!
Uko sahihi mkuu 👍Binti akipigwa chini na mwansume aliyempenda sana, hugeuka mwehu...
Most of the time mahusiano yake ya kwanza yanayofuata baada ya kutoswa huwa ni ya show off...
Kemp ni Creator na Showrunner. Anaweza kuwa ndio CEO lakini MD akawa 50.
Kimsingi, hakuna Power bila 50 Cent. Sio mahaba, yeye ndio Executive Director & Master Marketer.
Hii ni akaunti yao rasmi ya Twitter. Wenyewe wameandika original series from Curtis Jackson (50cent) & Courtney Kemp.
Sasa wewe ndugu yangu elmagnifico upo Tabata Matumbi hapo unapingana na wenye chao?View attachment 1247213
Nope! Jux ndo kacheza heko, kwa sababu kama wasingepigana chini kitambo, haya yangekuwa ni maumivu kwa Jux kwa sababu sioni ni namna gani Vanessa angemchomolea Rotimi kwa sababu ya Jux!!!Yaani Vee kanifurahisha sana kwa hilo. Jux atakuwa kazima data kwa muda
Na wanaija wanavyojua kudekeza na kudanganya... Kwa Vee ni raha tupu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aliachana na Jux tu akapta madongo kwenye mtandao mpaka akaugua, sasa akiachanana huyu atahimili vishindo vya mitandao kweli? Kila la heri kwake.
Unless wawe wamebadilisha hivi sasa lakini miaka ya mwanzoni ya show, 50 alikuwa Executive Producer! In Hollywood, kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mtu awe na EP Credit... wakati mwingine, jina tu linaweza kutumika as EP!Nadhani ni kwa sababu yeye ndio ameibeba kuanzia kwenye production mpaka marketing.
Kemp amecreate tu idea na anashiriki kwenye kuirun lakini aliyeibeba na kuifikisha ilipo sasa ni Curtis mzee.
Sijajua shares zimekaaje lakini 50 ana SAY kubwa sana pale na hata washiriki wengi wanamrefer kama Boss.
Watch interviews!
ishatokaHivi mbona Episode ya 9 haijatoka wiki ya pili sasa hii inakata? Nini kinaendelea nijuze tafadhali kama unafahamu