Kwamba Jux alikuwa anamsubiri Vee warudiane? Jux kwa yule demu wake hakuna mapenzi? Kwanza Vee mwenyewe kauli zake zilikuwa zinaonesha hana future na Jux mara zote amekuwa akisema hawawezi kuoana kwa sababu wana imani tofauti na yeye mama ake ni mlolkole hawezi kuwa mwislamu kumfuata Jux, so hata Jux alikuwa anajua anasafisha rungu tu kwa muda uliopo then party ikiisha poa.Yaani Vee kanifurahisha sana kwa hilo. Jux atakuwa kazima data kwa muda
Na wanaija wanavyojua kudekeza na kudanganya... Kwa Vee ni raha tupu
,