The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

The Shade Room: Mwanamuziki Vanessa Mdee adaiwa kuwa kwenye uhusiano na muigizaji wa Series ya Power

Vijana wetu wa singeli waliisubiria sana hii nafasi
 
Rotimi aka Dre. Jamaa ni Mnigeria na amecheza kama snitch kwenye hiyo series ya Power.

Ni mshikaji sana na 50 Cent in real life ndio maana fans wameanza kulalamika kwamba jamaa anapendelewa kwenye hiyo series kuliko hata main characters.

Kama sikosei ni mwanamuziki pia!
 
Mara nyingi mapenzi ya hivi hayadumu kabisa soon watapigana chini mwache jamaa asafishe rungu kama spicy alivysafisha rungu kwa binti machozi.
 
Sijui kwanini watu uwa mnadhani ile series ni ya 50cent wakati siyo kweli 50cent alikuwa actor na director msaidizi kwasababu kapitia maisha ya kitaa lakini series siyo ya kwake Interest
 
Back
Top Bottom