TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....
Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana sana na hili swala,...
RUMI14:11-2Kwakuwa imeandikwa kama niishivyo,anena BWANA(YAHWE)