TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....
Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana sana na hili swala,...
RUMI14:11-2Kwakuwa imeandikwa kama niishivyo,anena BWANA(YAHWE)
kila goti litapigwa mbele za Mungu ,na kila ulimi utamkili MUNGU
Mstari wa 12-bas ni hivyo kila mtu miongoni mwenu atatoa habari zake mwenyewe mbele za MUNGU,..
SIMAMA kwa zamu yako simamia nafsi yako siku ya hukumu kila mtu atatoa hesabu za matendo yake mbele
za Mungu,....
MUNGU Yupo na hawa watu ukiwapa evidence kimaandiko wanakwepa wana
taka kufos kwa namna ya kibinadamu,...WAKAti Mungu huwezi kumuelezea indeep kwa naamna ya kibinadamu istead of kimaandiko,..
NASISITIZA TUWE MAKINI SANA VIJANA,WAZEE NA MALIKA YOTE UKSIKUBALI KUPOTOSHWA,...
Kwa msaada zaidi
1WAKORINTHO 2:10:11b:13-16
tusifatishe roho chafu za ibilisi,..zinazotenda kazi