The so called 'GOD' from religions

The so called 'GOD' from religions

your wrong ndugu,..
Mungu alimtuma YESU kuja ulimwenguni kukomboa kizaz kilichopotea
sababu hayo uliyoyaandika wewe leo na kupotosha watu
yalikuwepo tangu zamani,,,...
YESU Alikuja kukomboa kizaz kilichopotea na aliteseka kwasababu wanadam walikataa kumuamini na wakamtesa na wakamuua Yesu na alipokufa alienda kuzimu kuchukua funguo za mamlaka kutoka kwa ibilisi,..ALIKUFA ILI MAANDIKO YATIMIE ndugu,...
yote aliofanyiwa YESU yalitabiliwa na mitume waliofunuliwa na MUNGU mf:isaya,..sasa wewe unapotosha watu kuwa hamna Mungu,...
umepotoka ndugu,...
MUNGU YUPO Na evidence ni;
wewe umeumbwa na unapumua hiyo pumzi imetoka wapi ni MUNGU ndugu,...
pili,..utakufa tu wewe na jeuri yako ya uzima na kutangaza hakuna Mungu..
kitendo cha kufa ni evidence ya kuwa YAHWE yupo,.ambaye alikucreate wewe na aliye create ndo mwenye uwezo wa kukudestroy na kuchukua nafsi yake
hapo utakapofika kwake ndo utajibu vizuri..,..
jichunguze ndugu unatumiwa na shetani kuhubiri kuwa hamna MUNGU,...
MUNGU AKULEHEMU,..
Angalia unaweza ukaona kawaida unayoyaandika ila madhara yake ni makubwa,..
AKILI ZA KUGOOGLE CHANGANYA NA ZAKO,..MUNGU YUPO
Naomba unijibu maswali haya yafuatayo:
From the bible,Huyo mungu alimtuma yesu kuja kuokoa ulimwenguni au wana wa israel??
How kama evidence ya kuwa nimeumbwa na mungu kuwa ni kupumua?embu nielezee vizur kwa kutumia hiyo biblia kua hewa ninayopumua imetoka kusikojulikana(from so called god),,hivi unajua hata basics of biology?

Kwa maelezo yako,,we unaogopa kifo sio mungu,,kwa maana nyingine umemaanisha kifo kwako ni mungu, unaweza kusibitisha kifo ni mungu??na kama ni mungu,huyo aliye mbinguni ametoka wapi?

Zingatia,ukibisha vitu uwe na facts,jenga hoja yenye mashiko,,ukomo wako wa kufikiri ndiko kunakofanya ujue kuna chanzo kimoja tu cha kujifunza(google),,naomba nikuweke sawa,,google si chochote bali ni search engine,ukiendelea kukariri google ni kitu kama kitabu unaenda kukisoma tu utakua ni mpumbavu!narudia tena,GOOGLE ni SEARCH ENGINE,,hii pia iende kwa watu kama wewe wanajua kuwa google ni a sort of kitabu.
 
kama mnaemzungumzia ni mungu na sio MUNGU,..sawa
MUNGU Yupo na ndiye atakayehukumu ulimwengu,..
nyinyi jidanganyeni na kupoteza watu wenye imani haba,,..
kumuamini MUNGU ni wajibu wa mtu,..
mwanadamu alipewa nafsi huru na kufanya anachotaka,..
ila angalieni msimdhihaki MUNGU,.MUNGU hazihakiwi hata siku1,.
huo uzima usiwape jeuri,..unamwisho huo uhai,..

Inahuzunisha sana kumkataa MUNGU,...
Mungu awasamehe sababyu shetani anawatumia kupenya roho chafu kwenu,..
wakuu Kiranga , einstein newton ,hivi nyie mnawezaje kuendelea kubishana na watu wa design hii??ndo yale yale niliyosema,,kwenye scale ya 1 to 10,unatoka nao 1 mpka 9.9 then ghafla unarudishwa 1,,inakatisha tamaa,kila muda inabidi urudie mambo yale yale uliyotoka kueleza dakika mbili zilizo pita,mtu anavamia uzi from no where anaanza kupost same pumba ili tu aonekana naye amechangia!kwa style hii,tutabakia same place,,watu hawaji na hoja za maana za kuprove uwepo wa mungu wao,,wanakuja kusujudu.
 
Uwiiiiii....kweli the world is near tribulation...i see storm coming...it funny how you find this type of people who want to impeach God and even hilarious those who question his existence...in this age ignorance is choice..
Do you even know the meaning of ignorance??
who is ignorant here?The one questioning the true existence of something or the one who choose to believe what he was just told with someone else without having the prove?
 
wakuu Kiranga , einstein newton ,hivi nyie mnawezaje kuendelea kubishana na watu wa design hii??ndo yale yale niliyosema,,kwenye scale ya 1 to 10,unatoka nao 1 mpka 9.9 then ghafla unarudishwa 1,,inakatisha tamaa,kila muda inabidi urudie mambo yale yale uliyotoka kueleza dakika mbili zilizo pita,mtu anavamia uzi from no where anaanza kupost same pumba ili tu aonekana naye amechangia!kwa style hii,tutabakia same place,,watu hawaji na hoja za maana za kuprove uwepo wa mungu wao,,wanakuja kusujudu.
Hawa mpaka waelewe tu.

Uzuri ni kwamba, hawawezi kujibu maswali ya msingi na mimi sina tatizo kurudia maswali haya ya msingi. Na kila ninaporudia, mtu mwingine ambaye alikuwa hajaona anaelimika.

Nimeuliza kama kuna mtu anaweza kuthibitisha uwepo wa mungu, hakuna aliyethibitisha.

Nimeukiza, kama mungu yupo, anajua yote, anaweza yote na ana uoendo wote, jwa nini kaumba ulimwengu ambao maovu na mateso yanawezekana wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao maovu na mateso hayawezekani?

Sijaona majibu ya kueleweka.
 
wakuu Kiranga , einstein newton ,hivi nyie mnawezaje kuendelea kubishana na watu wa design hii??ndo yale yale niliyosema,,kwenye scale ya 1 to 10,unatoka nao 1 mpka 9.9 then ghafla unarudishwa 1,,inakatisha tamaa,kila muda inabidi urudie mambo yale yale uliyotoka kueleza dakika mbili zilizo pita,mtu anavamia uzi from no where anaanza kupost same pumba ili tu aonekana naye amechangia!kwa style hii,tutabakia same place,,watu hawaji na hoja za maana za kuprove uwepo wa mungu wao,,wanakuja kusujudu.
unaomba msaada kwa jamaa zako mje mshirikiane kupinga uwepo wa MUNGU,...
KAMA UMESHINDWA kuamini uwepo wa Mungu,..mimi sikulazishi coz mimi ntataka kukupa points kutoka ktk maandiko,.
ila wewe huamini Mungu,..
1wakorintho 2:14
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu,maana kwake huyo ni upuuzi,wala hawezi kuyafahamu
kwa kuwa yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni,..
najua hata nikitumia maandiko kma UNaamini hamna Mungu utaaona upuuzi,..
ila jua jambo1
kwamba Mungu yupo,..na hayo unayofanya ni kupotosha wengine
MATHAYO 23:13
INASEMA-Ole wenu mafarisayo na waandishi,wanafiki kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni,.
ninyi wenyewe hamwingii wala wanaoingia hamwaachi waingie,..
check it out,...
usitumiwe na ibilisi kupoteza na watu wengine wasimjue Mungu,...
HUKUMU YA MUNGU IPO.,...
NAWEWE MRUDIE MUNGU UOKOKE,...
UACHE KIBULI CHA UZIMA HUO UZIMA UNAMWISHO
 
Uwiiiiii....kweli the world is near tribulation...i see storm coming...it funny how you find this type of people who want to impeach God and even hilarious those who question his existence...in this age ignorance is choice..
SIsi tupo tutawaambia ukweli humuhum mitandaoni,...kuja makanisani hawataki ila ujumbe tutawaletea humuhum
wasipotoshe watu,....
sio wao bali ni shetani anawatumia kupotosha ukweli ili shetani apate wafuas wengi ,...
kwenda nao ktk ziwa la moto wa milele,.....
wanapingana na MUNGU
ILa hukumu ipo ndugu uzima unawapa jeuri
 
unaomba msaada kwa jamaa zako mje mshirikiane kupinga uwepo wa MUNGU,...
KAMA UMESHINDWA kuamini uwepo wa Mungu,..mimi sikulazishi coz mimi ntataka kukupa points kutoka ktk maandiko,.
ila wewe huamini Mungu,..
1wakorintho 2:14
Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu,maana kwake huyo ni upuuzi,wala hawezi kuyafahamu
kwa kuwa yanatambulikana kwa jinsi ya rohoni,..
najua hata nikitumia maandiko kma UNaamini hamna Mungu utaaona upuuzi,..
ila jua jambo1
kwamba Mungu yupo,..na hayo unayofanya ni kupotosha wengine
MATHAYO 23:13
INASEMA-Ole wenu mafarisayo na waandishi,wanafiki kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni,.
ninyi wenyewe hamwingii wala wanaoingia hamwaachi waingie,..
check it out,...
usitumiwe na ibilisi kupoteza na watu wengine wasimjue Mungu,...
HUKUMU YA MUNGU IPO.,...
NAWEWE MRUDIE MUNGU UOKOKE,...
UACHE KIBULI CHA UZIMA HUO UZIMA UNAMWISHO
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Umehubiri.

Kuhubiri si kuthibitisha kwamba mungu yupo. Jua tofauti ya hayo mawili.

Acha kuhubiri.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.

Umehubiri.

Kuhubiri si kuthibitisha kwamba mungu yupo. Jua tofauti ya hayo mawili.

Acha kuhubiri.

Thibitisha kwamba mungu yupo.
soma vizuri wakorintho apo acha uvivu ndugu,...
mambo ya Mungu ni yakiroho kma wewe huamini ktk
hilo lazima utaona ni upuuzi,..jitafakari moyoni mwako,..neno la Mungu unalichukuliaje,..
kama ni upuuzi au ni neno jema,..
kma ni jema utasoma hapo na kuamini nliyokwambia
kma unayaona upuuz niwewe na nafs yako sasa
 
Roho ni nini? Unajuaje kwamba roho ipo na si hadithi tu isiyo na ukweli?
 
Roho ni nini? Unajuaje kwamba roho ipo na si hadithi tu isiyo na ukweli?
Maandiko yanaonyesha maana ya maneno hayo. Kwa mfano, andiko la Zaburi 104:29 [Yehova] ukiiondoa roho yao, wanakata pumzi, na kurudi katika mavumbi yao.
Yakobo2:26 mwili bila roho umekufa.
ushaelewa maana ya roho
Katika andiko hilo “roho” inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai. Bila roho, mwili umekufa. Kwa hiyo, katika Biblia neno halitafsiriwi tu “roho” bali pia “nguvu” au kani ya uhai. Kwa mfano, Mungu alisema hivi kuhusu Mafuriko ya siku ya Noah: “Ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka chini ya mbingu wote wenye mwili walio na nguvu za uhai ndani yao.” (Mwanzo 6:17; 7;15,.22) Hivyo, “roho” inarejelea nguvu isiyoonekana, inayotendesha viumbe vyote vilivyo hai.
ila kama huamini maandiko utaona upuuzi,..
according to 1corintho2;14
lete jipya,..minataka ubadili mawazo kijana
umrudie MUNGU
Na uamini uwepo wake ili uokoke,..
 
Nilichoandika hapo hakina uhusiano na unachosema.

Unachosema wewe ni kwamba ukiprove mungu yupo utakuwa umeondoa contradiction, nilichokuandikia mimi ni kwamba hili suala lina level mbili, ya juu kabisa, ya kuthibitisha kwamba mungu yupo, halafu kabla ya kufika hapo kuna kuondoa contradictiins. Ndiyo nikakuuliza, umeshindwa kuthibitisha mungu yupo (the final part) , sasa mbona unashindwa hata kuondoa contradictions (the preliminary part).

Kama umeshindwa kuelewa hilo tu, siwezi kushangaa una imani potofu kwamba mungu yupo.

Mungu ambaye nature yake ni upendo usio kikomo, mwenye uwezo usio kikomo na ujuzi usio kikomo ana kila sababu, uwezo, ijuzi na upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu hayawezekani.

Kama kweli yupo na kaumba ulimwengu huu, kwa nini kaumba ulimwengu ambao maovu yanawezekana wakati ana kila uwezo, ujuzi, sababu na upendo wa kuumba ulimwengu ambao maovu na mateso hayawezekani?

Ulimwengu jinsi ulivyo unam contradict mungu wenu.
Hizo unazoeleza wewe ni baadhi ya sifa zake, lakini sioni ni kipi kinacho mlazimu aumbe ulimwengu ambao unaona wewe ungeendana na hizo sifa ulizozitaja ili niweze kujua kuwa kajipinga.

Bado sijaona contradiction.
 
Maandiko yanaonyesha maana ya maneno hayo. Kwa mfano, andiko la Zaburi 104:29 [Yehova] ukiiondoa roho yao, wanakata pumzi, na kurudi katika mavumbi yao.
Yakobo 2:26 mwili bila roho umekufa.
Katika andiko hilo “roho” inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai. Bila roho, mwili umekufa. Kwa hiyo, katika Biblia neno halitafsiriwi tu “roho” bali pia “nguvu” au kani ya uhai. Kwa mfano, Mungu alisema hivi kuhusu Mafuriko ya siku ya Noah: “Ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka chini ya mbingu wote wenye mwili walio na nguvu za uhai ndani yao.” (Mwanzo 6:17; 7;15,.22) Hivyo, “roho” inarejelea nguvu isiyoonekana, inayotendesha viumbe vyote vilivyo hai.
ila kama huamini maandiko utaona upuuzi,..
according to 1corintho2;14
lete jipya,..minataka ubadili mawazo kijana
umrudie MUNGU
Na uamini uwepo wake ili uokoke,..
Hujathibitisha kwamba mungu yupo au uhai unatoka kwa mungu.

Umetupa mythologies tu.
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo au uhai unatoka kwa mungu.

Umetupa mythologies tu.
nilichogundua wewe nakuelekeza kwanamna ya roho,...hutaki kuamini,..
na mUNGU NI ROHO,..
Sasa ok sawa,...kwahiyo unataka niamini hakuna Mungu au???????/
 
cyhper_kyrpton said:
Uwiiiiii....kweli the world is near tribulation...i see storm coming...it funny how you find this type of people who want to impeach God and even hilarious those who question his existence...in this age ignorance is choice..

You're right Buddy
Ignorance in 21 century is Option
But unfortunately,You've selected it

Let me ask you some Questions young man,and I want only non-silly response
I need you to prove existence of your Maker.
But before you do it,try first to solve this little paradox.

God is all powerfull,all loving,and all knowing
If such God exist then Evil would not exist

Because,All loving god would not allow his people to suffering from evil
Actually,it's obvious that,Evil is the source of pain in our planet

Then All knowing God,would know How exactly evil occur and the way to prevent it

Finally,All powerful God,would able prevent evil from existence
So From that line of thought,God and evil can't co-exist

But unfortunatelly,Evil exist,How does it possible?
 
TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....

Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana sana na hili swala,...
RUMI14:11-2Kwakuwa imeandikwa kama niishivyo,anena BWANA(YAHWE)
kila goti litapigwa mbele za Mungu ,na kila ulimi utamkili MUNGU
Mstari wa 12-bas ni hivyo kila mtu miongoni mwenu atatoa habari zake mwenyewe mbele za MUNGU,..
SIMAMA kwa zamu yako simamia nafsi yako siku ya hukumu kila mtu atatoa hesabu za matendo yake mbele
za Mungu,....
MUNGU Yupo na hawa watu ukiwapa evidence kimaandiko wanakwepa wana
taka kufos kwa namna ya kibinadamu,...WAKAti Mungu huwezi kumuelezea indeep kwa naamna ya kibinadamu istead of kimaandiko,..
NASISITIZA TUWE MAKINI SANA VIJANA,WAZEE NA MALIKA YOTE UKSIKUBALI KUPOTOSHWA,...
Kwa msaada zaidi
1WAKORINTHO 2:10:11b:13-16
tusifatishe roho chafu za ibilisi,..zinazotenda kazi
 
vCTRMA said:
mambo ya Mungu ni ya kiroho kama wewe huamini ktk
hilo lazima utaona ni upuuzi.

If God is spiritual in nature,Why did he create Matter which isn't spiritual?

And by the way,Usihubiri hili siyo Jukwaa la Dini

Toa hoja zakueleweka.
 
vCTRMA said:
TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....

Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana
RUMI14:11-2
Oya Mkuu,kaanzishe Thread yako basi kama Unataka kuwaonya Lunatic wenzako vizuri

Lakini katika hii thread,thibitisha kwanza Uwepo wa Mungu wako

Acha kuhubiri!
 
wakuu Kiranga , einstein newton ,hivi nyie mnawezaje kuendelea kubishana na watu wa design hii??ndo yale yale niliyosema,,kwenye scale ya 1 to 10,unatoka nao 1 mpka 9.9 then ghafla unarudishwa 1,,inakatisha tamaa,kila muda inabidi urudie mambo yale yale uliyotoka kueleza dakika mbili zilizo pita,mtu anavamia uzi from no where anaanza kupost same pumba ili tu aonekana naye amechangia!kwa style hii,tutabakia same place,,watu hawaji na hoja za maana za kuprove uwepo wa mungu wao,,wanakuja kusujudu.

Mkuu,usijali wataelewa tu
Kazi itabaki kwao,kukubali au kukataa

Naona tumevamiwa na huyu Preacher hapa chini

vCTRMA
 
Back
Top Bottom