UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Jitahidi kuelewa basi wewe Non-bergeoning Mind
Imani ni kile kitendo cha Mtu kuamini kitu bila kuwa na Ushaidi wowote unaothibitisha Anachokiamini
Watu wengi wanaamini kuwa Mungu yupo Ingawa hakuna Mtu yoyote aliyewahi kumuona,kumsikia,au kumshika
Kiufupi hakuna Ushaidi wowote unaothibitisha Uwepo wa Mungu Mpaka sasa.Ndiyo maana ikaitwa Imani
Atheism sio Imani bali ni Ukosefu wa Imani
Kwa sababu Atheist hawezi kuamini kitu bila kuwa na Ushaidi kwanza
Basi kwa Jinsi Ulivyo zero upstair utataka uthibitisho kwanini tunasema Hakuna Mungu
Listen moron,There isn't Evidence of Absence but Absence of Evidence can be regarded as Evidence of Absence.Ok?
Sasa IMANI ni nini? Maana umeeleza kuwa "imani" ni tendo la kuamini bila kuwa na ushahidi na ndiyo ikaitwa "imani", halafu unakuja kusema atheist hawezi kuamini bila ushahidi..!!
Si tu kwamba haujatoa tafsiri ya neno imani bali umejichanganya kabisa na kujipinga.
We kwa mambo ya kukariri ndio unayaweza haya mengine yanaonesha utupu wa kichwani mwako.