Wapi nimeandika sijui maana ya evidence?sasa unachodai uthibitishiwe ni nini kuhusu uwepo Mungu,......
kama hujui maana ya evidence,...
inaonyesha shule hikuusika apo,....
post zote umepinga za evidence,,.cjui unataka nini,..Wapi nimeandika sijui maana ya evidence?
Unajua kusoma wewe?
Umethibitisha kwamba mungu yupo?
Evidence gani? Iko wapi?post zote umepinga za evidence,,.cjui unataka nini,..
HUELEWI WEWE,,..UNAJITOA FAHAMU
Evidence gani? Iko wapi?
Wewe unaweza kusema mavi ya kuku ni evidence kwamba mungu yupo.
Mimi nikakwambia si hivyo, mavi ya kuku ni evidence kwamba kuku anakunya.
Leta evidence hapa tuijadili.
post zote umepinga za evidence,,.cjui unataka nini,..
HUELEWI WEWE,,..UNAJITOA FAHAMU
Copy hizo evidence mlizotoa kwenye post za nyuma upaste hapapost za nyuma zote baadhi tumewapa full evidence,..na wengine za maandiko,...but mnakataa na kupinga zaidi mnabaki kukejeli na vijembe,..
mie sikulazmishi uamini ktk hilo,....
ila najua ukweli mnaujua kuhusu Mungu bt mmeamua kupotosha watu,....
na hamtofanikiwa ktika hilo,...
mimi sibibishani na mtu ambaye ufahamu wake umepumbazika,....bakini na idea zenu za kudhihaki na kumpinga Mungu,...Wewe Baba yaga mbona Unarukaruka?
Unajua maana ya Evidence kwanza?
Una ushaidi wowote unaothibitisha kuwa Mungu yupo?
Au nyie ndiyo wale mnaosema kuwa Biblia ni neno la Mungu,kwa sababu Mungu mwenyewe amesema ndani ya hiyo hiyo Biblia
Hivi wewe mtoto,unajua Maana ya Circular Reference?
Sitaki kuamini, nataka kujua.post za nyuma zote baadhi tumewapa full evidence,..na wengine za maandiko,...but mnakataa na kupinga zaidi mnabaki kukejeli na vijembe,..
mie sikulazmishi uamini ktk hilo,....
ila najua ukweli mnaujua kuhusu Mungu bt mmeamua kupotosha watu,....
na hamtofanikiwa ktika hilo,...
acha uvivu wee mdada,..pitia soma uelewe,...usikurupukie vitu usivyovielewa,...Copy hizo evidence mlizotoa kwenye post za nyuma upaste hapa
Hakuna yyte kati yenu aliyewahi kuweka full evidence zaidi ya mahubiri.
Na wala hakuna mwenye haja ya kuamini Bali tunataka kuelewa tu
Kabla ya kusema mengi kuhusu mungu, unaweza kuthibitisha mungu huyo yupo?mimi sibibishani na mtu ambaye ufahamu wake umepumbazika,....bakini na idea zenu za kudhihaki na kumpinga Mungu,...
kila mtu na maisha yake,...nakuhurumia nafsi yako,..
ILA MJUE MUNGU YUPO,...NA YESU ANAOKOA,..
TS All about,..
Kuna sehemu ambapo hicho mnachokiita evidence haijajibiwa?acha uvivu wee mdada,..pitia soma uelewe,...usikurupukie vitu usivyovielewa,...
vitu vingine sio vya kuiga dada yangu,..sawa?????
post za nyuma zote baadhi tumewapa full evidence,..na wengine za maandiko,...but mnakataa na kupinga zaidi mnabaki kukejeli na vijembe,..
mie sikulazmishi uamini ktk hilo,....
ila najua ukweli mnaujua kuhusu Mungu bt mmeamua kupotosha watu,....
na hamtofanikiwa ktika hilo,...
Mitoto mingine Bure kabisaacha uvivu wee mdada,..pitia soma uelewe,...usikurupukie vitu usivyovielewa,...
vitu vingine sio vya kuiga dada yangu,..sawa?????
TAHADHALI,TAHADHALI TAFADHALI SOMA HAPA.....
Watu muwe makini na hizi thread za kupotosha uwepo wa Mungu
naona shetani anazidi kutafuta wafuasi kwa nguvuuuu
ili aende kwenye Ziwa la moto,...
watu wanatunga threads kuchanganganya watuu ili wapotee
..,,,mambo ya MUNGU Yanaenda kiroho na Mungu ni roho pia,..
watu wanatumika na shetani kupotosha ukweli kwa evidence za kidunia,
biological issues ni mambo ya duniani..,
tuwe makini sana tusimpe shetani nafas shetanii,
tunaweza tukaona
ni mambo ya kawaida ila shetani akatumia mwanya kuharibu,..kiroho inaweza kuteka watu sana na watu wengi
wakapotoshwa,,..tuishi kwa kumuogopa MUNGU ambao hawa watu wanapotosha ukweli wa jambo hili
tuwe makini sana sana na hili swala,...
RUMI14:11-2Kwakuwa imeandikwa kama niishivyo,anena BWANA(YAHWE)
Kwani nalazimika vp kujibu swali lako? Haya hebu niambie kwanza uumbaji ndio nini?maana kuna hilo neno kwenye swali lako.Swali langu hujalijibu.
Complexity ni lazima iumbwe?
Au si lazima?
Swali dogo tu hujalijibu umekuja na mzunguko mkubwaaa.
Naomba jibu, sitaki insha.
Must complexity come from a higher complexity?Kwani nalazimika vp kujibu swali lako? Haya hebu niambie kwanza uumbaji ndio nini?maana kuna hilo neno kwenye swali lako.
Unawezaje kuniambia mvivu wakati umeshindwa hata kuweka hayo maandishi unayoniambia nisome? Akili zako ziko sawa kweli?acha uvivu wee mdada,..pitia soma uelewe,...usikurupukie vitu usivyovielewa,...
vitu vingine sio vya kuiga dada yangu,..sawa?????