The so called 'GOD' from religions

Kuumba mabaya sio kwamba atakua kajipinga ilo swali nishakujibu nyuma

kwaio kumbe kuna vitabu vya Mungu vilivyo vitakatifu na visivyo vitakatifu???
Kuumba mabaya ushakiri hujui sababu, maana yake humuelewi mungu unayemkubali. Mimi nimekuambia humuelewi kwa sababu hayupo.

Na kama hayupo, hawezi kuwa na kitabu. Vitabu vimetungwa na binadamu tu.

Ndiyo maana vina makosa ya kibinadamu.
 
Mimi nimekujibu sielewi kwakua kaweka siri na maandiko matakatifu yananiambia njia zake Mungu hazichunguziki

Mungu yupo na vitabu ndo vinaelezea hizo sifa zake kuu ambazo wewe unatumia kujengea hoja ili kujibu hoja nyingine
 
Kama huelewi unachokubali, utajuaje kipo na si hadithi tu?
 
Kuumba mabaya ushakiri hujui sababu, maana yake humuelewi mungu unayemkubali. Mimi nimekuambia humuelewi kwa sababu hayupo.

Na kama hayupo, hawezi kuwa na kitabu. Vitabu vimetungwa na binadamu tu.

Ndiyo maana vina makosa ya kibinadamu.
Nimekwambia binadamu wa kwanza katika uumbaji ni adamu na vitabu vya Mungu vimeelezea uzao wake na vizazi vyake katika mtiririko sahihi nikakwambia unitajie binadamu wa kwanza kwa nyie msioamini Mungu ni yupi hadi sasa sijapata jibu
 
Mimi nisiyeamini mungu nikiwa sijui jibu, anaweza kutuambia ni kwa sababu mimi ni binadamu.

Wewe unayesema mungu yupo na vitabu vyake unavyo, ukishindwa kujibu maswali kuhusu Huyo mungu, utajuaje kwamba yupo?

Vitabu gani hivyo vya mungu unasoma ambavyo vimeshindwa kukupa uelewa wa Huyo mungu?
 
sijashindwa kujibu swali lolote ulilouliza kuhusu uwepo wa Mungu!
 
sijashindwa kujibu swali lolote ulilouliza kuhusu uwepo wa Mungu!
Nikakuuliza sababu za mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, umesema hujui.

Maana yake unamkubali mungu ambaye humuelewi.
 
Sema wewe ndo umeshindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu
 
Sema wewe ndo umeshindwa kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu
Wewe ni dini gani tuanze kuichambua?

Bila shaka utakuwa unaamini kwenye Biblia au Quran

Vitabu vyote hivyo vimejaa contradiction na nadharia zilizopitwa na wakati

Contradiction ambazo zisingekuwepo kama Mungu mwenye ujuzi wote ndiye mwandishi wa hivyo vitabu

Na vitabu vyenu vya dini havijaelezea chanzo cha uhai,usidanganye waugwana hapa.

Kisa kipi kinaelezea chanzo cha uhai katika kitabu chako cha dini?

Hicho cha kuumba mwanadamu kwa udongo na malaika kwa moto?

Biblia inaanza na maji kama kitu cha kwanza,unajua kwanini?

Unajua kuna mahusiano gani kati ya udongo,moto,maji na nadharia ya Aristotle?
 
What do you know about civilization?
 
kitabu changu cha dini hakina nadharia zilizopitwa na wakati wala contradiction labda weww ndo huelew

Chanzo cha uhai katika biblia kimeelezwa wazi kabisa baada ya adamu kuumbwa kwa udongo alipuliziwa pumzi na Mungu hapo ndo uhai ulipoingia

Nadharia ya aristotle na uumbaji wa binadamu wa kwanza kipi kilitangulia?
 
A List Of Biblical Contradictions

Ushawahi kujielimisha kuhusu contradictions za kwenye biblia?
 
magagafu said:
kitabu changu cha dini hakina nadharia zilizopitwa na wakati wala contradiction labda weww ndo huelew

Nadharia ya aristotle na uumbaji wa binadamu wa kwanza kipi
Nadharia za kale za kigiriki na sumerians zilikuwepo hata kabla ya biblia

Wayahudi walipata influence kubwa sana kwa wagiriki,kumbuka wayahudi hawakuwa wadadisi sana kama walivyokuwa wagiriki wa kale

Kwahiyo fikra nyingi wali copy kutoka kwa wagiriki.

Wagiriki walikuwa wanaamini,msingi mkuu wa maada[matter] ni vitu vinne

Maji,upepo,moto na udongo

Aristotle akaja kuongeza element ya tano ambayo ether

Kwahiyo nadharia nzima ya uumbaji katika biblia ime base katika hiyo nadharia
[The five elements theory]

Kumbuka hiyo nadharia ilikuwepo kabla ya biblia

Na ndiyo nadharia iliyotukuzwa sana na wasomi na wanafalsafa wa wakati huo

Musa[mwandishi wa biblia] angegeuka kichekesho kama angepingana na nadharia hiyo

Ndo maana,unaona mwanadamu ameumbwa kwa udongo

Pia biblia inatetea Geocentric theory
 
Sio kweli kwamba musa aliandika vile vitabu kutokana na hizo nadharia....bali aliandika kutokana na masimulizi yaliyokua katika jamii yake ambayo ni jamii iliyokua imechaguliwa na Mungu kipindi icho kama jamii itakayotumika kuonyesha nguvu na uwezo wa Mungu wa kweli.....ndomana hadi leo vitabu alivyoandika musa vina nguvu kuliko hizo nadharia zilizojaribu ku copy uumbaji wa Mungu
 
Kitu cha kutunga na cha ukweli ni tofauti,kutunga ni uongo.Na njia ya muongo ni fupi.
Kitu chochote cha uongo hakindelei,njia yake ni fupi.
 
So evil na good vinaweza kuwepo mpka kwa mtu anaeamini mungu wa wayahundi. Hahaha nacheka,unajua watu mmelewa na dini za kuletewa ndio maana wafrika kidunia mnazaulika kwa kuacha african traditional society mkaenda kuchukua vitu ambavyo vya watu wengine na tena vitu venyewe wa africa mmevipokea kwa kuuunyonywa kwa waarabu walitumia dini kwa kuuwachukua watu watu kwa utumwa watuwalikuwa wanachapwa mabakora.

So turudi kwenye point ya msingi, so society ambazo hamna watu wanao amini mungu wa wayahudi hamna kutenganisha good na evil. Hivi wewe unafikiria kweli kwani huko china ambapo percent kwa wa watu ni wa non theist na hamna hizi dini zenu za wayahudi. Hamna good wala evil au kipindi cha african tradition society kulikuwa hamna good na evil kama umesoma history vizuri lakini.
 
Naona uko kwenye auto pilot au ? Good and evil ni inherent kwa human kind sijui habari ya wayahudi na nini vile umeitoa wapi ?
 
Kama kweli Mungu ndio alieumba hizo law zote za physics kwenye universe huwezi niambia alishindwa kutengeza binadam perfect, instead akaumba wadhaifu alafu akawawashia zinga la moto ili aje awachomee huko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…