Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuumba mabaya ushakiri hujui sababu, maana yake humuelewi mungu unayemkubali. Mimi nimekuambia humuelewi kwa sababu hayupo.Kuumba mabaya sio kwamba atakua kajipinga ilo swali nishakujibu nyuma
kwaio kumbe kuna vitabu vya Mungu vilivyo vitakatifu na visivyo vitakatifu???
Na kama hayupo, hawezi kuwa na kitabu. Vitabu vimetungwa na binadamu tu.
Ndiyo maana vina makosa ya kibinadamu.