magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Vitabu vya Mungu vinasema wayahudi walipokua utumwani nchini misri walijenga pyramid....na hadi sasa ukienda misri masalia ya zile pyramid yapo je unakubali kwamba zile pyramid zilizopo misri hadi leo zilijengwa kipindi wayahudi wapo utumwani nchini misri kama vitabu vya Mungu vilivyoandika?Unafahamu maana ya kuthibitisha?
Unajua tofauti ya uthibitisho, hadithi na mahubiri?