The so called 'GOD' from religions

The so called 'GOD' from religions

Unafahamu maana ya kuthibitisha?

Unajua tofauti ya uthibitisho, hadithi na mahubiri?
Vitabu vya Mungu vinasema wayahudi walipokua utumwani nchini misri walijenga pyramid....na hadi sasa ukienda misri masalia ya zile pyramid yapo je unakubali kwamba zile pyramid zilizopo misri hadi leo zilijengwa kipindi wayahudi wapo utumwani nchini misri kama vitabu vya Mungu vilivyoandika?
 
Unajuaje kwamba hivyo ni vitabu vya mungu na si vitabu vya hadithi za Wayahudi tu wanaotaka kujipaza?

Kama pyramids zimejengwa na Wayahudi, hilo linathibitishaje kwamba kuna mungu?
 
unajua swali kilipoanzia au unajibu mwisho?
 
Mi nimekupa uthibitisho huo katika maandiko matakatifu..ila unayapinga nakusema hadithi...unapopinga pinga kwa kuleta ya kwako ambayo sio hadithi kinyume cha hapo unapinga ilimradi kupinga
Maandiko yako unayoyaita matakatifu si matakatifu, ni ya kibinadamu tu.

Ukitumia kujua ni ya kibinadamu angalia yanavyojikanganya.

Kitabu gani unakiona ni kitakatifu?
 
Umehama katika swali tulioanza na tunaenda kwengine Mwanzo nlikwambia vitabu vya Mungu vimeelezea chanzo cha binadamu wa kwanza na Uhai ulimwenguni.....nikakwambia na nyie msie mwamini Mungu mueleze chanzo cha binadamu wa kwanza na Uhai ulimwenguni?
 
Dearth is just a process of dwelling the soul into another realm in the vast galaxy, so in the matter of fact I don't fear death.. Dearth to me is another step forward to the true nature of inner me n that super energy of God-state
Mkuu kwani pale mtu anapokua anakata roho inakuaje ?,me nadhani huwa anaogopa kufa hivyo anagangamala roho isiende lakini inabidi tu afe ? au me ndo sielewi ?
 
Umehama katika swali tulioanza na tunaenda kwengine Mwanzo nlikwambia vitabu vya Mungu vimeelezea chanzo cha binadamu wa kwanza na Uhai ulimwenguni.....nikakwambia na nyie msie mwamini Mungu mueleze chanzo cha binadamu wa kwanza na Uhai ulimwenguni?
Unajuaje kwamba hivyo vitabu ni vya mungu na mungu yupo na si hadithi tu?

Mimi sijui chanzo cha uhai, hilo halifanyi unachosema bila uthibitisho kiwe sahihi.

Vitabu vya mungu vinaweza kuwa na makosa au haviwezi?
 
unajua swali kilipoanzia au unajibu mwisho?
Hujajibu maswali niliyouliza.

Unajuaje kwamba hivyo vitabu ni vya mungu?

Unaweza kuthibutisha kwamba mungu yupo?

Vitabu vya mungu vinaweza kuwa na makosa?
 
Ni vitabu vya Mungu kwakua Mungu mwenyewe amejieleza ukuu wake katika hivyo vitabu pia vimeonyesha chanzo chetu ulimwenguni kwamba tumetokana na uumbaji wake

Kuwapo kwa ulimwengu wenye uhai,kuwepo kwa ulimwengu wenye vipimo sawa ambao haujatokea kwa bahati mbaya,Utashi aliopewa binadamu kuwa tofauti na viumbe vyengine vyote ni uthibitisho wa.uwepo wa Mungu

vitabu vya Mungu haviwezi kuwa na makosa
 
Unajua me kwamba Huyo aliyeandika ukuu wa mungu si mwanadamu tu na mungu hayupo?

Unasema unaamini mungu kwa sababu ya uumbaji wake.

Imekuwaje mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote anaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na mabaya kama tsunami linaloua mpaka vitoto vichanga?

Alikuwa hawezi kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya?

Au aliweza kuumba ulimwengu usio na mabaya hakutaka tu? Kwa nini?
 
Uasi unavyozidi ulimwenguni ndio haya majanga yanatokea na hii yote imeelezwa katika vitabu vya Mungu....je majanga zamani yalikuwepo kabla ya uasi wa mwanadamu?
 
Hujaelewa swali.

Numeukiza oale mungu alipokuwa anaumba ulimwengu.

Kabla chochote hakijaumbwa.

Kabla ya uasi.

Alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani.

Ulimwengu ambao tsunami haiwezekani.

Ulimwengu ambao hata uasi hauwezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
 
Siri iyo ya kuumba dunia ambayo ubaya unawezekana anaijua Mungu mwenyewe...ila kuumba ulimwengu kwa siri iyo haikupi sababu ya kusema Mungu hayupo!
 
Umekubali kwamba ynamkubali mungu usiyemuelewa.

Na kama unamkubali mungu usiyemuelewa, unaweza kumkubali kirahisi tu mungu asiyekuwepo.

Ukitaka kukubali kitu kipo, angalau kielewe basi.
 
Maandiko yananiambia njia zake Mungu hazichunguziki....kwaio uumbaji alioufanya ni mkamilifu na Yeye ndo anajua kwakua Uweza ni wake
 
Umekubali kwamba ynamkubali mungu usiyemuelewa.

Na kama unamkubali mungu usiyemuelewa, unaweza kumkubali kirahisi tu mungu asiyekuwepo.

Ukitaka kukubali kitu kipo, angalau kielewe basi.
kuna vitu Mungu katuwekea siri na binadamu hatuvijui.....tunaoamini Mungu tunaamini kuna mwisho wa dunia lakini hatukuambiwa ni lini sasa ulitaka tujue mwisho wa dunia ambapo siku ile ya hukumu ni siku flani ili tujue siri afu ndo tuamini???
 
Kwa nini mungu aweke siri? Anaogopa?

Unajua me kwamba mungu kasema siri na hudanganywi na binadamu tu kwamba mungu kaweka siri wakati mungu hayupo?
 
kuna sifa unazitoaga kuhusu Mungu kwamba Mungu ni muweza wa yote sasa ulitaka binadamu pia tuwe na uwezo wa kujua yote???Mungu lazima alinde sifa yake ya kuwa muweza wa yote
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote akiumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana atakuwa anajipinga mwenyewe.

Halafu hivyo vitabu vyenu mlivyopewa vimejaa uongo na kujikanganya. Ni vya binadamu, si kitakatifu.
 
Kuumba mabaya sio kwamba atakua kajipinga ilo swali nishakujibu nyuma

kwaio kumbe kuna vitabu vya Mungu vilivyo vitakatifu na visivyo vitakatifu???
 
Back
Top Bottom