Nasisitiza ficha upoyoyo wako. Mungu aliumba ukimwengu wenye tsunami na mengineyo yote uyajuayo na usio yajua lakini pia Mungu alimkabidhi Binadam mwenye hekima na maarifa ya kuweza kuyatambua na kuyadhibiti, sasa kama hutaki kutumia akili yako na kwa kadri ya uwezo wako WA sasa unasema yako nje ya uwezo wako wakati kuna wanyama hawadhuliwi na mahanga hayo wao huondoka kabla ya kutukia una maana hao wanyama wamekuzidi poyoyo wewe ?
Hoja inaonekana dhalili kwa kuwa wewe huna utu ni sawa na dafu Tu lakini sisi wenye utu tunajua wajibu wetu kama binadam kwenye ulimwengu huh
Upoyoyo wako mwingine ni kuwa pamoja na ukweli kuwa ninyi Chips incarnate maisha yenu yanakomea kufa kwenu sisi wengine kifo ni tiketi kuelekea maisha mapya
Sasa kwa mtazamo wa destiny yetu kati yangu na yako upoyoyo wako ndipo unajionesha zaidi.
Nasisitiza usiseme baadhi ya vitu "hatuwezi kamwe" huo ni upoyoyo ! Huwezi na nani ? Jisemee wewe na upoyoyo wako acha kulundika watu wote kwenye kundi la mapoyoyo, wengine tunaweza kukemea kwa jina la Yesu Kristo na tsunami na mengineyo yakatii
Kama dhoruba ya bahari ilimtii u nani wewe kutuweka na sisi wengine kwenye kundi lako la mapoyoyo ?
Kuelewa kunategemea uwezo wa akili pia sio kwamba kwa kujua kwako kusoma basi waweza elewa kila kilichoandikwa ,
Wewe na
Kiranga nimeshindwa kuthibitisha kama mnazo akili , hivyo nikifuata nadharia ya
Kiranga ninyi nyote hamna akili ndiyo sababu hamuelewi