Bado kuna denial kutoka serikalini na hususan Mkuu. Haya let us pretend kuwa tumeikubali tume ingawa kamwe haitakubalika. Basi kazi yake iwe ni KUCHUNGUZA MAUAJI YA HALAIKI NA SI UVUNJIFU WA AMANI.
Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI YA HALAIKI
Issue hapa ni mauaji ya HALAIKI, mengine yatakuja by default in the cause of kuchunguza MAUAJI YA HALAIKI