The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

Mkishaanza uhanithi wa kuita kila kitu chai mnaishia kukata mood za wengine ambao walikuwa wanaifuatilia. We ukipendeza kasome ambazo si chai, acha uhanithi
 
Baada kama ya mwez since kurud dar akaniambia ni mjamzito nikafurah sana

Hapa ulikuwa safari miezi miwili na kujua kusoma kalenda ukapitiwa na umakini wote ulipokuwa nao.. lingine kukufananisha na wake ambaye lazima hakumuacha.. lazima alichagua wa maslahi mazuri kwake..
maisha haya duh!!! Pole
 
M
MZazi anafurahi mtoto kuza nje ya ndoa
 
Acha maringo muandishi .....kwa tabia hizi mke wako atazaa mtoto mwingine na mwanaume wa nje safari hii utajiua kwa maumivu....shwainiii weweee.
😅😅😅hawa waandishi wanafanya vitu bila kujipanga.

Pamoja na kusema ni simulizi yake binafsi inampa.uzoefu mwandishi kuwa mahili wa uandishi na sisi tunaosoma tunampa nguvu.

Sasa tabia kama hizi imagine ndio ziko kwenye mahusiano ataacha kupigiwa huyu?
 
UZI UMEVAMIWA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…