The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

-Kwanini ulimwachia vitu vyote hivyo?

-Alitoa asilimia 8 tu kwenye kununua gari. Angeenda kuanza upya na huo mchepuko wake. Alikudanganya sana hakustahili huruma ya kuachiwa vitu.

-Ila karma is a good teacher, yatamrudi ipo siku.

-Kama mwanaume mwenzio nimeumia roho sana. Umepitia mazito na magumu.

-Pole sana kaka.
 
banzy So hatma ya huyo mwanamke ikoje kwa sasa?

Je, aliolewa na mwanaume mwingine?

Je, bado ni mchepuko wa mzee?
 
Uzuri jamaa haitaji ushauri, amejaribu kushare nasi life experience yake.

Ila kiatu chake ni kikubwa, sio rahisi kukivaa

Wachuchu wapo wengi mkuu, jambo rahisi sana hilo...

Ingekuwa issue kama angeungwa gridi, lakini hili la mtu mmoja kutoa kitumbua chake kwa mwengine...nawe unatafuta kitumbua kipya maisha yanaanza kivingine
 
Wachuchu wapo wengi mkuu, jambo rahisi sana hilo...

Ingekuwa issue kama angeungwa gridi, lakini hili la mtu mmoja kutoa kitumbua chake kwa mwengine...nawe unatafuta kitumbua kipya maisha yanaanza kivingine
Ni kweli usemalo, ila kwenye maisha progress ni muhimu sana. Hakuna anayependa kuanza upya, tena baada ya jitihada kubwa sana alizofanya.

Jamaa kalea mimba mpaka imekuwa mtoto, fanya kazi usiku na mchana, ila mwishowe ikabidi aachie vyote. It's not easy kaka mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…