Pray, dear Bri, might thou be so kind as to enlighten us as to who these mysterious Catholic souls might be, destined, perchance, to ascend unto the helm of our beloved nation and assume the mantle of its leadership?I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Engineer mi nilitaka nikuite hapa unisaidie ujue 😹😹Analeta cha Kigiriki kabisaa, mweeh hatarii sana.
😂😂😂😂
Sio Ai huyu wa Mello 😹Kwa wale wa kidumu na mfagio ,tafsiri yake ni hii:
Nimezama katika mashaka makubwa kuhusu iwapo Tanzania tunayoiota na kuitamani kwa sasa, au hata ile tuliyokuwa tumeikusudia kuijenga hapo awali, ndiyo hasa hii inayojidhihirisha mbele ya macho yetu kwa sasa. Lo!
Hata hivyo, ikiwa utaendelea kuwa mtulivu na mwenye subira, haitachukua muda mrefu kabla ya Mkatoliki kupanda na kushika usukani wa uongozi wa nchi.
Britanicca
😂😂😂 tuhamie Moscow huko, Bri siku hizi katuchoka waja, aloooEngineer mi nilitaka nikuite hapa unisaidie ujue 😹😹
Bri anataka kutuumiza ubongo na sisi hatukubali nakwambia, wafungua codes tuko lebulebu..!!😂😂😂 tuhamie Moscow huko, Bri siku hizi katuchoka waja, alooo
Philip isdor mpangoI am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Huu sio udini na superiority complex kweliI am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Kumbe yule mrembo ni injiniaEngineer mi nilitaka nikuite hapa unisaidie ujue 😹😹
Ndejembi ni Muanglikana mKuuLissu, Nchimbi or Ndejembi?
And when are we going to see this prophecy is fulfilled?
Why Catholic are not happy with awamu ya sita?Sijui ulichoandika ila najua Samia ataondoka madarakani kama alivyoondoka firauni
Unataka kusema Ufufuo na uzima wako happy na awamu ya sita?Why Catholic are not happy with awamu ya sita?
Au gawiwo limefungwa na usawa ukatamalaki kwa madhehebu yote?
britanicca ushauri wako tafadhali kwa hili.
Nilikuwa sijui hilo.Ndejembi ni Muanglikana mKuu
Mtumishi, are you insinuating that, at some point in the foreseeable future, an 'Altar Boy' will ascend to the ecclesiastical pinnacle and preside over divine liturgical proceedings in the capacity of the Archbishop of Tanzania?”I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Unazungumzia yule tapeli aliyesema atapeleka vijana wa kawe MAREKANI?,yule ana nongwa zake na ulafi na uchu wa madaraka.Unataka kusema Ufufuo na uzima wako happy na awamu ya sita?
Nimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!Mtumishi, are you insinuating that, at some point in the foreseeable future, an 'Altar Boy' will ascend to the ecclesiastical pinnacle and preside over divine liturgical proceedings in the capacity of the Archbishop of Tanzania?”
We kikubwa nimekuokoa maana naona ulikua unapata tabu kuelewaSio Ai huyu wa Mello 😹