The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
Hakuna kitu kama hicho kiongozi, hapa nimeshavuka 40 imagine hapa tunahofia SSH ikitokea tofauti, msaidizi ndio tunaenda nae, unaweza kuelewa tunavyobaki dilema.Tunaishi nyakati za mabadiliko mengi ambayo hayakutarajiwa huko nyuma mkuu. Kwahiyo inawezekana kabisa kushuhudia mabadiliko mengi ambayo bado hatujayatabiri kutokea kizazi hikihiki, siyo cha kesho wala keshokutwa.
Sasa hadi mje mkae sawa, bado unaamini itakua ni wakati wetu?
Si ndio maana nikasema bora kuangalia namna ya kumalizia siku zilizosalia kwa amani na utulivu?