The Tanzania paradox: A nation at a crossroads

The Tanzania paradox: A nation at a crossroads

Kwa mambo yanavyoenda, hichi kizazi chetu kuishuhudia Tanzania tuitakayo ni ndoto. Watakaokuja kuiona ni vizazi vitatu au vinne vijavyo. Sie wakati huu tuzingatie milo mizuri, maziezi, utulivu wa akili, kuepuka migogoro na vurugu zisizo na ulazima, supu za mboga za majani hahahaa

Kwa ufupi kujikita kwenye kumalizia siku zetu kwa amani. Mambo ya Tanzania tuitakayo yameshatupita.
Ukishafika 45yrs old,pigania uzee mwema,achana na harakati,kibaya wapo ambao hawajui kupanga matukio kuendana na umri wao.
 
Mimi ni nadra kuota ndoto ..... Ila mara kadhaa naona kama movie ........labda kwavile nashinda humu ni ndoto za uchovu ..... Lakini itakuwa kama kufumba na kufumbua .....
 
Nimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!
(TUSIPATE RAIS MKATOLIKI TENA,AMEN)
Hao hata mambo madogo hawawezi kukubaliana wataweza ya nchi? Catholic Church kama mtu wao anazingua wanaweza kumuita na kumuonya! Hao wanapelekeshwa hadi na viwanasiasa uchwara wataweza kum hold mkuu wa kaya?
 
Mimi ni nadra kuota ndoto ..... Ila mara kadhaa naona kama movie ........labda kwavile nashinda humu ni ndoto za uchovu ..... Lakini itakuwa kama kufumba na kufumbua .....
Tufafanulie tafadhali
 
The last paragraph,I repeated three times till it sunk deep!

A Catholic,will ascend to the throne to steer the ship to a shore!
Am waiting patiently to see how the transition could be!!

(Vyuma vitakazwa sana)
Mkuu hapo unaposema vyuma vitakazwa sana...(ikiwa ni kwa mazuri ya taifa), wale inaosemekana kuwa wamevamia kule kwa mabaka mabaka na hata wale wale kuitwa wahuni chamani ambao wapo kulinda maslahi yao si wakiamua jambo (kumtoa) watamtoa na kuweka mtu wao?
Wanaofanya transition (wazalendo....the state) wanaweza kumlinda ambaye atawekwa baada ya transition kukamilika?
 
I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.

However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.

Britanicca
Mkatoliki yupi huyo?
Au Deo?
 
State Capture
 
Mkatoliki yupi huyo?
Au Deo?

kuna jambo khs islam ulipaswa kulijua kama ulikuwa bado, kwenye islam kama mzazi mmoja akiwa muslim basi huyo mtoto ni automatic muslim na haijalishi yeye au dunia itamuonaje kwa muslims huyo ni mtu wao, hivyo huyo mtu wako ni de facto muslim na hakuna "Mkatoliki" hapo, hivyo hata hizi drama za sijui jihan zote ni fake, muslims ni wadanganyifu imeandikwa kwenye Biblia.

muslims wanaruhusiwa kudanganya na kusema uongo inaitwa taqiyya (look it up), ndiyo dini pekee ambayo inaruhusu kusema uongo vs Christianity kusema uongo ni dhambi kubwa na unavunja moja kati amri kuu za Mungu, lkn muslims wanaruhusiwa kusema uongo, hivyo be careful na hawa watu..
never trust a muslim ...
 
Awamu inayokuja itabidi kwa vyovyote vile atawale mtu wa dini na madhehebu tofauti ya haya yaliokwisha kutawala Nchi hii !

Tumechoka kusikia eti akitoka mwislamu ataingia mkatoliki !
Haya mambo kwani yapo kwenye Katiba ipi au sheria ipi ya Nchi ???!!
 
Kwa mambo yanavyoenda, hichi kizazi chetu kuishuhudia Tanzania tuitakayo ni ndoto. Watakaokuja kuiona ni vizazi vitatu au vinne vijavyo. Sie wakati huu tuzingatie milo mizuri, maziezi, utulivu wa akili, kuepuka migogoro na vurugu zisizo na ulazima, supu za mboga za majani hahahaa

Kwa ufupi kujikita kwenye kumalizia siku zetu kwa amani. Mambo ya Tanzania tuitakayo yameshatupita.
Tunaishi nyakati za mabadiliko mengi ambayo hayakutarajiwa huko nyuma mkuu. Kwahiyo inawezekana kabisa kushuhudia mabadiliko mengi ambayo bado hatujayatabiri kutokea kizazi hikihiki, siyo cha kesho wala keshokutwa.
 
Back
Top Bottom