MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,203
- 35,840
Ni possible kama ni mole wa Catholic Church.Ngwajima is impossible.
Ni possible kama ni mole wa Catholic Church.Ngwajima is impossible.
Sio sheria zote zinaandikwa! Tradition ndio msingi! Mengine ni taratibu tu.Awamu inayokuja itabidi kwa vyovyote vile atawale mtu wa dini na madhehebu tofauti ya haya yaliokwisha kutawala Nchi hii !
Tumechoka kusikia eti akitoka mwislamu ataingia mkatoliki !
Haya mambo kwani yapo kwenye Katiba ipi au sheria ipi ya Nchi ???!!
Ndio maana taratibu tu huwa zinapoachwa kufuatwa wengine hudhani Katiba imevunjwa kumbe hawakujua kale kalikuwa ni kautaratibu tu !Sio sheria zote zinaandikwa! Tradition ndio msingi! Mengine ni taratibu tu.