Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Ukishafika 45yrs old,pigania uzee mwema,achana na harakati,kibaya wapo ambao hawajui kupanga matukio kuendana na umri wao.Kwa mambo yanavyoenda, hichi kizazi chetu kuishuhudia Tanzania tuitakayo ni ndoto. Watakaokuja kuiona ni vizazi vitatu au vinne vijavyo. Sie wakati huu tuzingatie milo mizuri, maziezi, utulivu wa akili, kuepuka migogoro na vurugu zisizo na ulazima, supu za mboga za majani hahahaa
Kwa ufupi kujikita kwenye kumalizia siku zetu kwa amani. Mambo ya Tanzania tuitakayo yameshatupita.
May you be specific? For instance, "a transition from 'Public'ation to 'Private'zation.A country on transition
ThubutuuThe last paragraph,I repeated three times till it sunk deep!
A Catholic,will ascend to the throne to steer the ship to a shore!
Am waiting patiently to see how the transition could be!!
(Vyuma vitakazwa sana)
Rais ajaye ni Gwajima sio mkatoliki. Natumai minong'ono haitokuwepoNimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!
(TUSIPATE RAIS MKATOLIKI TENA,AMEN)
Hao hata mambo madogo hawawezi kukubaliana wataweza ya nchi? Catholic Church kama mtu wao anazingua wanaweza kumuita na kumuonya! Hao wanapelekeshwa hadi na viwanasiasa uchwara wataweza kum hold mkuu wa kaya?Nimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!
(TUSIPATE RAIS MKATOLIKI TENA,AMEN)
Tufafanulie tafadhaliMimi ni nadra kuota ndoto ..... Ila mara kadhaa naona kama movie ........labda kwavile nashinda humu ni ndoto za uchovu ..... Lakini itakuwa kama kufumba na kufumbua .....
Mkuu hapo unaposema vyuma vitakazwa sana...(ikiwa ni kwa mazuri ya taifa), wale inaosemekana kuwa wamevamia kule kwa mabaka mabaka na hata wale wale kuitwa wahuni chamani ambao wapo kulinda maslahi yao si wakiamua jambo (kumtoa) watamtoa na kuweka mtu wao?The last paragraph,I repeated three times till it sunk deep!
A Catholic,will ascend to the throne to steer the ship to a shore!
Am waiting patiently to see how the transition could be!!
(Vyuma vitakazwa sana)
Mkatoliki yupi huyo?I am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Mkuu mimi naona Britanicca na baadhi ya Ma prophet wanatulaza usingizi au kutupatia matumaini hewa.(Vyuma vitakazwa sana)
Ahaaa ahaaaa umenikumbusha maneno ya Achikuchi kada mahiri wa Cuf enzi hizoSijui ulichoandika ila najua Samia ataondoka madarakani kama alivyoondoka firauni
Ngwajima is impossible.Rais ajaye ni Gwajima sio mkatoliki. Natumai minong'ono haitokuwepo
State CaptureI am plunged into profound dubiety as to whether the Tanzania to which we presently aspire, or indeed the one we had erstwhile envisaged to erect, is verily the one that presently manifests itself before our eyes, alas.
However, should thou abide in tranquility and patient composure, it shall not be long ere a Catholic ascendeth to steer the helm of the state.
Britanicca
Naunga mkono hoja.Nimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!
(TUSIPATE RAIS MKATOLIKI TENA,AMEN)
Ikatokea bahati mbaya ndejembi akawa rais wakatoliki watafanya sherehe maana huyu jamaa ni mkatoloki kindaki ndaki 😃😃
Mkatoliki yupi huyo?
Au Deo?
Tunaishi nyakati za mabadiliko mengi ambayo hayakutarajiwa huko nyuma mkuu. Kwahiyo inawezekana kabisa kushuhudia mabadiliko mengi ambayo bado hatujayatabiri kutokea kizazi hikihiki, siyo cha kesho wala keshokutwa.Kwa mambo yanavyoenda, hichi kizazi chetu kuishuhudia Tanzania tuitakayo ni ndoto. Watakaokuja kuiona ni vizazi vitatu au vinne vijavyo. Sie wakati huu tuzingatie milo mizuri, maziezi, utulivu wa akili, kuepuka migogoro na vurugu zisizo na ulazima, supu za mboga za majani hahahaa
Kwa ufupi kujikita kwenye kumalizia siku zetu kwa amani. Mambo ya Tanzania tuitakayo yameshatupita.