The Tanzania paradox: A nation at a crossroads

Tunaishi nyakati za mabadiliko mengi ambayo hayakutarajiwa huko nyuma mkuu. Kwahiyo inawezekana kabisa kushuhudia mabadiliko mengi ambayo bado hatujayatabiri kutokea kizazi hikihiki, siyo cha kesho wala keshokutwa.
Hakuna kitu kama hicho kiongozi, hapa nimeshavuka 40 imagine hapa tunahofia SSH ikitokea tofauti, msaidizi ndio tunaenda nae, unaweza kuelewa tunavyobaki dilema.

Sasa hadi mje mkae sawa, bado unaamini itakua ni wakati wetu?

Si ndio maana nikasema bora kuangalia namna ya kumalizia siku zilizosalia kwa amani na utulivu?
 
How much longer shall we wait, we have awaited for transition for long enough
 
Gemini ameiweka in simple English.
.I am deeply doubtful about whether the Tanzania we are striving forโ€”or the one we once hoped to buildโ€”is actually the one we see today.
However, if you remain calm and patient, it won't be long before a Catholic becomes the leader of the country.
 
Vip kanisa la Gwajima
Makanisa yote makuu ya kimsingi,Roma,lutheri,anglika,hindu na bakwata,wawe wanapatiwa gawiwo kwa usawa sawa sawa,yaani kila mwaka,kuziboost taasisi hizi,na si mmoja apewe peke yake!.
KIMSINGI TAASISI HIZI ZIMEKUWA NA MSAADA WA MOJA KWA MOJA KWA JAMII YA KITANZANIA.
N.b,Kwa ajabu kabisa wapo ambao hudhani wao ni zaidi na bora kuliko wote!
 
Nimechoka kusikia taifa hili kuhusishwa na catholic,are they alone?....Anglican,Lutheran and etc!
(TUSIPATE RAIS MKATOLIKI TENA,AMEN)
Chawa,
Hutaki unahamia Burundi, simple.
Ubaguzi kwa kigezo cha dini ni uzwazwa
 
Upumbavu unaanzia kwenye akili mbovu za aina hiyo uliyonayo wewe.

After all, there's no "last paragraph", unless you meant to refer to the last sentence!
Mbona kama umehamaki...comment ya mtu ikufanye uhamaki hivyo kwanini..
 
Natamani nielewe kwa kina ila undani wa lugha iliyotumika hapa unanizidi kimo,nielewesheni ndugu zangu.
 
Kwa kweli hapa ni matumizi ya sikulu fiizii.
 
Mkatoliki ni Nchimbi?

Roman Lacuta Causa Finita est.
Huyk nchimbi tyr ana jalada la kesi ya oct 29 yule shoga Abduli alishatoa maagizo ila huyu Samia anatupanda kichwan sana dawa yake ipo jikoni
 
Upumbavu unaanzia kwenye akili mbovu za aina hiyo uliyonayo wewe.

After all, there's no "last paragraph", unless you meant to refer to the last sentence!
Hasira zote za nini comrade!!?

Mbona makasiriko!?kila mmoja anaandika lake humu,Wala sio msimamo halisi wa mambo hayo, speculations TU!
 
Mkatoliki ni Nchimbi?

Roman Lacuta Causa Finita est.
1.kikatiba ni Deo!

2.Kijasusi ni "Mpango ndio mpango mzima"

"Unatakiwa kubaki bila kuondoka,utajua wakati sahihi ukifika"

Kazi yetu ni ku speculate na kuchangia uchumi Mbs Kwa taifa letu!!

Wala sio maana halisi ya mambo hayo!
 
1.kikatiba ni Deo!

2.Kijasusi ni "Mpango ndio mpango mzima"

"Unatakiwa kubaki bila kuondoka,utajua wakati sahihi ukifika"

Kazi yetu ni ku speculate na kuchangia uchumi Mbs Kwa taifa letu!!

Wala sio maana halisi ya mambo hayo!
Ridhiwan ndio no moja ajaye
 
Mbona kama umehamaki...comment ya mtu ikufanye uhamaki hivyo kwanini..
"Mbona kama nimehamaki..."; kwa hiyo huna hakika kuwa nimehamaki!
Sasa hilo hitimisho lako linahusu nini?
 
Sijui ulichoandika ila najua Samia ataondoka madarakani kama alivyoondoka firauni
๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Mwisho umesahau kupiga waichukucha waichukucha ๐ŸŽต๐ŸŽต achukuucha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kama yule Mzee wa zenji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ