Awamu inayokuja itabidi kwa vyovyote vile atawale mtu wa dini na madhehebu tofauti ya haya yaliokwisha kutawala Nchi hii !
Tumechoka kusikia eti akitoka mwislamu ataingia mkatoliki !
Haya mambo kwani yapo kwenye Katiba ipi au sheria ipi ya Nchi ???!!