Hawa waliotoa hii list ni mabwege tu...
Waache upumbavu wao,wanapaka mafuta kwa mgongo wa chupa....!!
Wazungu nao ni matahira tu...
Ni kivipi waseme;
"Have you ever met anyone who knows anything about every thing,they know it all"
Tena waache kabisa kuchezea akili za watu, sheeenzzzz...
10.Kajamaa kamesoma soma MIT ,kajua vialgebra kidogo,kaingia kuigiza,kashinda vituzo vya uigizaji etii nae most intelligent....
09.Mdada;kaandika vimagazeti,masomaji wake wanamuuliza maswali ya "anti nisaidie",nae wanamregard kama most intelligent....
08.Jamaa kaanzisha kajumuiya ka wasomi,afu anawatungia maswali ya hapa na pale eti nae kawa most intelligent....khaaa
07.Mkaka,kacheza draft na wapuuzi wenzake,tena bahati mbaya alishakutana na watabe wakamchapa sijui super,nae ni most intelligent....khaaa
06.Huyu mkoreshia kawakusanya wasomi wenzake,wakaanza vimichezo vya kuchora chora copy and paste za Leonardo Da Vinci,nae ni intelligent.....khaaa
05.Huyu ndo kanivunja mbavu mpaka nimemwaga supu yangu,eti baunsa wa mlangoni,mara bar medi,mara mtunisha misuli,kaingia kwenye vipindi vya TV,kajitahidi kujibu maswali,kawa most intelligent...khaaa
04.Huyu dokta kajizolea vidigrii vichache nae kawa most intelligent;vipi yule prof. wa sierra leone,mwenye PhD kama
6 za kudomea....khaaaa
03.Kidogoo huyu mkorea ndio alikuwa anadeserve kuwemo kwenye hii list,ana vitu vya kipekee tofauti na hao wenzake....
02 na 01;hakuna kitu kabisa hawa watoto,
inaonekana hiki chuo cha Pincenton kinatoa degree za fasta ili kipate sifa,kijizolee umaarufu wa kijinga....
Mbona yule dogo (black-american)aliyekula PhD pale Havard with only 22,mbona hawajamuingiza kwenye list...
Huyu mtoto CORTLIN WICKLIFF,ndiye amevunja record ya Dr.Martin Luther King jr. kwa kuwa mwafrika mdogo kula gamba la PhD,tena kaivunja mbali 26 yrs for 22 yrs...
Eti wakati wana miaka mi3 walianza kusolve hesabu,wakati kijana wickliff at age of 2½,alikua anachezea umeme kama mhandisi wa umeme...
Hawa wazungu waache kabisa kuchezea akili za watu;