Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Jibu zuri la swali lako utalipata kule jamii intelligence,tena nahisi wamepiga stick,hile topic ya kucalculate IQ ya mtu....!!
Ngoja nikapitie mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu zuri la swali lako utalipata kule jamii intelligence,tena nahisi wamepiga stick,hile topic ya kucalculate IQ ya mtu....!!
Kuna jamaa mmoja alisoma Mzumbe Sekondari miaka ya nyuma, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kusolve Pure Maths...kimsingi hakuna swali la hesabu lililokuwa linakatiza mbele yake iwe kitabu chochote....
Pia miaka ya nyuma pale Makongo Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja akiitwa Mzee Yona Kazibure. Kabla ya kuwa mwalimu pia alipata kuwa Fundi mitambo RTD na kabla ya hapo alipelekwa na Serikali kusoma nchini Uingereza.
Akiwa nchini Uingereza alipata kusoma na mwanaFizikia maarufu ambaye ni mtunzi wa vitabu almaarufu kama NELKON kwa elimu ya A-Level.
Inaaminika Tanzania haijawahi kutoa mtaalamu wa masuala ya Fizikia kama huyu jamaa. Kwa ubabe wa Kambarage alichoma vyeti vya huyu bwana kama alivyopata kuwanyanyasa wasomi wengine kama kina Tuntemeke.
Mifano ipo mingi...naungana nawe kuwa tatizo ni mfumo wa nchi yetu.
Once again no african! Tuna matatizo
Hanma hata mweus mmoja kwl ni laana kuzaliwa africa
dont be so mean with your race its just a list of 10 people
hoja yangu,ni kwamba kumekua na kasumba ya baadh ya wa2 humu kujiona wana IQ kubwa kwasb tu kasoma special school,k2 ambacho sio kweli na potofu kabsa mkuu,kuna wa2 mtaan wana inteligency kubwa sn na hawajasoma hzo shule,embu jiulize magwiji kama Archimedes,plato walisoma shule gan?!albert einstein alipenda kufanya kinyume kabsa na alichofundishwa na walim na hatimae kugraduate na maksi za chn kabsa,lkn huyu huyu aliyefanya mageuz makubwa ya kisayansi.NB..kwa kuhtimisha IQ ya m2 popote duniani haitokani na shule wala makazi.
Duh!!! Kambarage matatizo sana.
Cha ajabu binadamu wenye IQ kuliko wote diniani ni ORIENTALS i.e Wajapan na Wachina!!!Dah!watu wana mauwezo asee!
KWANI IQ NDIO NINI?....MBONA SIONI KITU CHA AJABU HAPO?...HATA KWETU KUNA WATOTO WANAZALIWA WANAONGEA SEUSE HAO MIEZI 6 TUU...NINI KIJERUMANI KICHINA SIE WATOTO WETU WANANENA HADI KWA LUGHA ZA MALAIKA....
YALEYALEEEE...KUNYA ANYE KUKU MZUNGU TUKINYA SIE BATA WAAFRIKA TUNAAMBIWA TUME-HARAAAAAAA.....IQ NI UJINGA MTUPU..MTU ANAKUWA NA IQ KWA KUTOFUNGWA CHESS?...MBONA SIE PALE KWA MJEE JAMBA MAENEO YA MCHAMBA WIMA KIJIWE CHA BAO MZEE SAIDI BWABWAJA HUU MWAKA WA 40 HAJAWAHI KUFUNGWA BAO NA MTU YEYOTE....AU KWA VILE SIE HATUPIGI MAYOWE INAMAANA HATUUMII KISA WAO WANALIA KWA SAUTI NDIO WANAUMIA ZAIDI.
UKOLONI MWENGINE IN MAKINGI....YALE YALEEE YA MZUNGU KUGUNDUA ZIWA VICTORIA NA MLIMA KILIMANJARO UTADHANI ALITOKA NAVYO ULAYA AKAVILETA KWA WACHAGA NA WASUKUMA KISHA AKAGUNDUA YEYE.
DONT BELIEVE EVERYTHING YOU READ IS REAL...by 2pac.
Kuna jamaa mmoja alisoma Mzumbe Sekondari miaka ya nyuma, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kusolve Pure Maths...kimsingi hakuna swali la hesabu lililokuwa linakatiza mbele yake iwe kitabu chochote....
Pia miaka ya nyuma pale Makongo Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja akiitwa Mzee Yona Kazibure. Kabla ya kuwa mwalimu pia alipata kuwa Fundi mitambo RTD na kabla ya hapo alipelekwa na Serikali kusoma nchini Uingereza.
Akiwa nchini Uingereza alipata kusoma na mwanaFizikia maarufu ambaye ni mtunzi wa vitabu almaarufu kama NELKON kwa elimu ya A-Level.
Inaaminika Tanzania haijawahi kutoa mtaalamu wa masuala ya Fizikia kama huyu jamaa. Kwa ubabe wa Kambarage alichoma vyeti vya huyu bwana kama alivyopata kuwanyanyasa wasomi wengine kama kina Tuntemeke.
Mifano ipo mingi...naungana nawe kuwa tatizo ni mfumo wa nchi yetu.
Kula 5 Mkuu! IQ kitu gani? Kisa Mzungu kasema? Tuvijali na kithamini vya kwetu bhana! Hao wooote waliotajwa ni hovyo tu! Humu nchini wamejaa saaaaana tena sana waliowazidi hao wazungu!
Hizo ni ngonjera na promo zao, nasi tuna zetu!