Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona cjaona ngozi nyeusi?GREAT THINKERS WA HUMU NDANI MBONA CJAONA HATA MMOJA??
Naomba kujua IQ ya Obama!
Once again no african! Tuna matatizo
Once again no african! Tuna matatizo
Kuna jamaa mmoja alisoma Mzumbe Sekondari miaka ya nyuma, alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kusolve Pure Maths...kimsingi hakuna swali la hesabu lililokuwa linakatiza mbele yake iwe kitabu chochote....
Pia miaka ya nyuma pale Makongo Sekondari kulikuwa na mwalimu mmoja akiitwa Mzee Yona Kazibure. Kabla ya kuwa mwalimu pia alipata kuwa Fundi mitambo RTD na kabla ya hapo alipelekwa na Serikali kusoma nchini Uingereza.
Akiwa nchini Uingereza alipata kusoma na mwanaFizikia maarufu ambaye ni mtunzi wa vitabu almaarufu kama NELKON kwa elimu ya A-Level.
Inaaminika Tanzania haijawahi kutoa mtaalamu wa masuala ya Fizikia kama huyu jamaa. Kwa ubabe wa Kambarage alichoma vyeti vya huyu bwana kama alivyopata kuwanyanyasa wasomi wengine kama kina Tuntemeke.
Mifano ipo mingi...naungana nawe kuwa tatizo ni mfumo wa nchi yetu.
Umesahau na % au module kwa kuitamka.sana sana natumia - ,+,/ na x
wale wa special school njooni huku,mnambwela mbwela jukwaani kujiona mna akili na Ma A yenu ya makaratasi yasiyo na maana kwa taifa(mnaboa sana), mpaka viwembe vya kunyolea v.uzy tu tunaagiza China halafu unaskia lijitu oo mi kichwa!
Watu wenye ufikiri mkubwa ni lazima hesabu ipande,ukijua hesabu mengine hayatasumbua sana,angalia watu uliokuwa unasoma nao o-level na advance,ambao wanafaham hesabu vyema hata masomo mengine wapo vizuri....hesabu inafikirisha sana tena sana na ina techniq nyingi sana za mitego.Inajulikana kuna binadamu zaidi ya billion 6 duniani na wengine sio rahisi kujua IQ zao kulingana na mazingira wanamoishi. Lakini kinachofikirisha na kufurahisha katika hii mada ni kuwa wengi wenye IQ za juu wanakuwa bora katika hesabu, kigezo kimojawapo kizuri cha kufikiri na kuelewa haraka badala ya kukariri. Ni nzuri