Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waaaache waowanee[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]Aiseee
Mie ningempata Evelyn Salt roho yangu ingefurahiHello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
NB: hii ni chitchat
Chakarika tukuone kwenye listMie ningempata Evelyn Salt roho yangu ingefurahi
Naijua[emoji2] [emoji2] [emoji2] siri ya mtungi. ..!
We wa kunichawia hvyo?Ukiona hivyo jua una bahati ya paka kupendwa na wachawi
dah we LadyAJ unashida na mimi yan kunambia nanyota ya kupendwa na wachawi haikutosha mpaka unambie na maneno hayo? njo unisitiri wewe nimeona hujatajwa popoteKila akinyongonyea ubongo na uko chini ajue kuna nyong'onyea mtafutie wa kumnusuru huyu kijana
haaa bibie sio hapa nakwambia umegonga mwamba mgumu @ Stunter njoo wathibitishieVigoda vichache ukiinuka acha na sie tukalie gogo tamu, au hukusoma ile hadith ya sungura na fisi
huna lolote wangu nilimkuta "..."kabisa. Hayo yote maneno ya mkosajiBinamu hujamtaja hapo [emoji23] [emoji23] weka binamu wa ngapi hapo maana michezo yoote umemkuta anajua mie ndo nimemfunza, chezea kazi ya binamu wewe
Bora angekuwepo na yeye jF angalau angenitaja[emoji23] [emoji23] [emoji23] wako namjua unampaishaga clouds fm..
Nipo sio kidogoHahaha...na wewe upo
mnanifanya niwe mnyonge bora nisingekuwa nimeanzisha hii idea ,kdgo maumivu yangepunguaHahahah jerrysonkiria Unaongea kwa unyonge mshkaji wangu